Vijana nyie wajinga sana

Vijana nyie wajinga sana

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
57,838
Reaction score
165,692
Kuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanangu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia tu, yeye akusanye tu maokoto ya boss , now boss wake ananipigia simu dongo miyeyusho, analeta pesa pungufu na kalewa vibaya sana , nikamwamba mtimue .

Hivyo kwanza humu kausheni kuniomba connection , mpaka mpate akili timamu gademitt
 
Tangazo limenyooka sana.
Usiwapige nyingi za udalali.
downloadfile-20.jpg
 
Kuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanagu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia tu, yeye akusanye tu maokoto ya boss , now boss wake ananipigia simu dongo miyeyusho analeta pesa pungufu na kalewa vibaya sana , nikamwamba mtimue .

Hivyo kwanza humu kausheni kuniomba connection , mpaka mpate akili timamu gademitt
tenda wema na uende zako gentleman 🐒
 
Kuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanangu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia tu, yeye akusanye tu maokoto ya boss , now boss wake ananipigia simu dongo miyeyusho, analeta pesa pungufu na kalewa vibaya sana , nikamwamba mtimue .

Hivyo kwanza humu kausheni kuniomba connection , mpaka mpate akili timamu gademitt
Hivi bado unaendekeza mambo hayo.Mada zangu usomi kuelewa kuna mda akiba ya daraja achana nazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom