nyerere

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, Nyerere angeogopa mikutano ya hadhara?

    Siku sikia kabisa wakati wa awamu ya Mkapa mwalimu Nyerere akipinga hata mara moja mikutano ya hadhara. Sasa inashangaza miaka hii bado kuna watu wanaogopa upinzani kiasi cha kuwatumia polisi kunyima vibali vya mikutano. Mimi namshauri Raisi na serikali yake kuruhusu mikutano na kujibizana kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Marais Bora wa muda wote wa Tanzania ni Nyerere halafu Kikwete

    Narudia tena na tena hatutakuja kupata Marais wanaojua siasa, Uongozi na utawala Kama Rais Hayati Nyerere na mstaafu Kikwete. Nyerere pamoja na misukosuko yote ya vita ila alisimama na watanzania na Tanzania ilibaki kuwa moja. Nyerere alikataa uchawa Kama ilivyokuwa kwa Kikwete mambo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya Dar es Salaam dockworker's union 1948 katika Nyerere square 2022

    KUMBUKUMBU YA DAR ES SALAAM DOCKWORKER'S UNION 1948 KATIKA NYERERE SQUARE DAR ES SALAAM 2022 Hapo Nyerere Square palipojengwa jengo la kuvutia mwaka wa 1948 palikuwa na jengo la mbao na paa la mabati. Katika jengo hilo ndipo ilipokuwa ofisi ya Abdul Sykes Secretary General wa Dar es Salaam...
  4. JamiiForums Tanzania Unabii wa Mwl Nyerere watimia

    Mwl Nyerere aliweza kutabiri kwa usahihi kabisa wangetokea Wanasiasa wajinga,wapuuzi ambao kazi kubwa ngekuwa kusifu tu. Dr Kigwangallah,Msukuma,Kibajaji .....
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tanesco yasema Ujenzi bwawa la Nyerere wafikia 77% utakapoisha tatizo la Umeme litakuwa Historia

    Kaimu mkurugenzi wa Huduma za Wateja mh Mwambene amesema Ujenzi wa bwawa la Nyerere umefikia 77% Source ITV Habari
  6. JamiiForums Tanzania Bashiru anaongea kama Nyerere

    Habari wakuu, Hivi ninyi hamjagundua Bashiru anaongea kama Nyerere. Nilichogundua Bashiru angepewa cheo pale CCM 😃😃😃 hawa chawa wangetulia kimya. Chawa bwana 😀😀inabidi kungefanyika majibizano ya hoja kati ya chawa na Bashiru. Wawekwe kwenye chumba kimoja 😋😋 Nasubiri huu mtifuano chawa wakiona...
  7. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku, kwanini umeifanya Taasisi ya Mwalimu Nyerere mali yako binafsi mpaka wafadhili wameisusa?

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere ilitarajiwa iwe nzito, reference point kwenye tafakuri za kikanda na nchi. Mambo ni tofauti, taasisi hii imegeuka ni mti wa huyu Mzee wa Butiama kuota jua wakati huu wa uzee wake. Haina mvuto, ipoipo tu inavizia matukio ya kisiasa, hesabu zake hazijakaguliwa miaka...
  8. JamiiForums Tanzania Butiku: Viongozi watambue wanaongoza watu siyo kuku au mbuzi

    Akizungumzia haki na uhuru wa watu kuzungumza, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema viongozi wanatakiwa kuthamini utu wa watu, hivyo wana haki ya kulinda uhuru na haki ya kila mtu. “Kwangu mimi viongozi anatakiwa kutamba kuwa anaongoza watu na siyo Mbuzi, Ng’ombe au...
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe bwawa la Nyerere yalikuwa maono, Kenya yafunga mkataba wa miaka 25 kununua umeme wa bwawani kutoka Ethiopia

    Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo ni mara mbili ya umeme uliokuwa unazalishwa Ethiopia kabla ya bwawa hilo. Kenya wamewahi kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wazanzibari tambueni Mwalimu Nyerere alikuwa Rais wa kwanza, kwanini Benki ya Watu wa Zanzibari haina picha ya Nyerere, ina ya Mwinyi na Samia?

    Kwanza nimekataa kupewa huduma ya ufunguzi wa akaunti baada ya kukuta picha ya Samia Suluhu Hassani na Dkt. Mwinyi kwenye Benki ya Zanzibari. Hii ina maana nyie hamtambui ya kuwa Baba wa Taifa alikuwa Baba wa Tanzania means Tanganyika na Zanzibar?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere mbona Zitto Kabwe uko kimya kulikoni?

    BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo. Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya...
  12. JamiiForums Tanzania UFISADI: Mpina aibua tuhuma za upigaji wa Sh. Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameibua tuhuma nzito bungeni kuhusiana malipo ya shilingi triliioni 1.5 ambazo hazijulikani zilipo alizotakiwa kulipa Mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors kama malipo ya CSR na faini kuchelewesha mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwa miaka miwili kinyume cha...
  13. JamiiForums Tanzania Nyerere kuweka Bendera kwenye Mlima Kilimanjaro alikuwa na maana gani? Alikuwa anatimiza unabii?

  14. JamiiForums Tanzania Kukopa Trillion 4 ndani ya wiki 1 huku Mradi wa Bwawa la Nyerere umekwama kwa kukosa pesa si busara

    Hizo trillion 4 zinaenda wapi wakati hata pesa za miradi muhimu kabisa hakuna?! Ni kwanini tusikope fedha kukamilisha miradi strategic ambayo tumeshaianza?
  15. JamiiForums Tanzania Tangu tumepata uhuru ni hayati Julius Nyerere na hayati John P. Magufuli waliujua kwa undani na umaskini wa watanzania wengi na kuwaonea huruma

    Julius alikuwa na huruma juu ya raia wa chini. Hakutaka wateseke na tozo, kodi, ada za shule na hata kuhangaika kupata chakula. Julius alipambana kila Mtanzania angalau asipate tabu sana ila mabeberu na vibaraka wa mabeberu walimkwamisha. Hayati John Pombe alipambana masikini wasihangaike...
  16. I

    JamiiForums Tanzania JULIUS KAMBARAGE NYERERE GENIOUS OF BONGOLAND

    Huyu mzee ndio GENIOUS SISI LEO TUNAIAHI VIZURI ILA ALIKAA NA WAZUNGU KWA AKILI ZAKE NYINGI AKACHUKUA NCHI ANGEAMUA KUWA DICTATOR ANGEWEZA ILA MIAKILI YAKE NCHI NZIMA TUNA UHUURU WETU RESPECT TO THE FATHER OF THE NATION
  17. JamiiForums Tanzania Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT)

    Serikali kutoa Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT). Chuo kikuu cha sokoine kilianzishwa mwaka 1984 hadi leo wasomi wake wanahaha mitaani hawana ajira na wameshindwa kujiajiri, wengine wameamua kutengeneza mapanya ya...
  18. JamiiForums Tanzania Nyerere DAY 2022: Picha adimu

    NYERERE DAY 2022: MWANZO WA HARAKATI ZA KUDAI UHURU - UCHAGUZI WA TAA 1953 (NYONGEZA YA PICHA) Katika video iliyotangulia kipindi cha Zumari watu wengi wamevutiwa na historia ya uchaguzi wa TAA wa 1953 katika ya Abdul Sykes na Julius Nyerere. Maswali yamekuwa mengi kwangu kuwa imekuwaje miaka...
  19. JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2023: Mwanzo wa harakati za kudai uhuru

  20. K

    JamiiForums Tanzania Nyerere and Nkrumah: Towards African Unity

    Nyerere and Nkrumah: Towards African Unity From the Book written by Godfrey Mwakigile Book title "Nyerere and Africa End of an Era" THEY WERE some of the most influential...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…