nyerere

  1. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Siioni Yanga ya enzi za Nyerere ikijirudia kwenye Ligi ya Mabingwa CAF kwa miaka 50 mbele

    Ukitizama kwa mbali unaona Yanga (Utopolo) malengo yao ni kuifunga Simba tu, ukisogea karibu kumbe ni kweli bwana! Wakati timu za Afrika zikiweka malengo Ligi ya Mabingwa Afrika na Shirikisho, wao Yanga wamewekeza akili zao Derby ya Watani😅 . Inajithibitisha usajil wa hovyo kuikomoa Simba...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2022: Mwalimu na Edouard Masengo 1958

    NYERERE DAY 2022: EDOUARD MASSENGO ALIPOKUTANA NA JULIUS KAMBARAGE NYERERE Jioni hii rafiki yangu moja kutoka Ulaya kanipitia kunijua hali na kaniletea CD ya muziki wa Edouard Masengo na Mwenda Jean Bosco. Ikawa kanikumbusha kuwa Masengo alipata kuja Dar es Salaam wakati akiwa katika kilele...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nitakulipa vizuri ukinipa hotuba ya Nyerere kama India Republic Day Guest of Honour, 26 January 1971

    Natafuta sana hii hotuba ya Nyerere aliyotoa India pale alipoalikwa kama mgeni rasmi katika sherehe za India kuwa Jamhuri, tarehe 26 January, 1971. Kuna jambo kubwa sana alilisema ambalo tunapaswa tuliandike katika herufi za dhahabu katika historia ya Tanzania na India Nimeuliza ubalozi wa...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Mradi wa Umeme Bwawa la Julius Nyerere wafikia 74%, Kamati ya Nishati na Madini yaridhishwa

    Ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere umefikia 74%, hatua ambayo imebainishwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini iliyofanya ziara katika mradi huo Oktoba 15, 2022. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Stella Manyanya amesema...
  5. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyerere ni uamuzi mgumu na wa kijasiri uliofanywa na Magufuli!

    Tunaposema Hayati Magufuli alikuwa mtu na nusu hasa kwenye mambo yaliyohusu kuamliwa kijasiri bila kujali faida na hasara zake hakika alikuwa kinara kwalo. Mfano ni uamuzi wa kujenga hilo bwawa hapo juu (Bwawa la Nyerere) ki-ukweli ili ujenzi wake uanze ilihitaji mtu jasiri na asiyeyumbishwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini baada ya Uhuru, Nyerere aliwatema waliopambana tangu mwanzo

    Kwanini aliwatema watu Kama Abdulwahid Sykes Bibi Titi Na baadhi katika serikali yake Nawasilisha
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Yajue magari 6 ya kifahari yaliyotumiwa na Mwalimu Nyerere

    Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam, imehifadhi magari 6 yaliyotumiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, wakati wa uhai wake, likiwemo gari ambalo lilitumika katika awamu tatu za uongozi. Mhifadhi wa Makumbusho, Pius Gondeka amesema magari yote kila moja lina historia yake, likiwemo gari aina...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Julius Nyerere, Dossa Aziz na Ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam 1958

    NYERERE DAY: MWALIMU NYERERE NA DOSSA AZIZ WALIPOKUBALIANA KUJENGA CHUO KIKUU WAKIWA WAMEEGESHA GARI MLIMANI Viongozi wa TANU walikuwa na kawaida wakimaliza mkutano wa hadhara Mnazi Mmoja watakatiza barabara kwa miguu kuja Princess Hotel wakafanya tathmini ya mkutano, kula chakula na kunywa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tunakosea tunaposema mazuri aliyofanya hayati Julius Nyerere huku hatusemi mabaya aliyofanya na yametugharimu kama taifa

    Kweli alipambana akasomesha wananchi wake na akahakikisha kuwa taifa linakuwa na umoja na mshikano. Lakini ukweli kuwa aliharibu uchumi wa taifa na kuliacha masikini huwa hauwekwi wazi. Hayati Nyerere alisahau kupambania uchumi wa taifa lake. Akabaki kupigana vita kuzikomboa Uganda, Zimbabwe...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya Mwalimu Nyerere

    Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage alipinga vikali ukabila na kusisitiza umoja katika taifa letu. Rais Samia Suluhu anaishi falsafa za Mwalimu Nyerere na kuzitekeleza kwa vitendo. Leo ikiwa ni siku ya kuhitimisha mbio za mwenge wa uhuru uliowaka nchi nzima kumulika maendeleo...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mimi binafsi simuenzi Mwalimu Nyerere

    Habari wadau. Najua nitawaudhi wengi ila naomba tu Uhuru wa maoni uzingatiwe.Mwalimu Nyerere kitu kikubwa alichofanya ni kupigania Uhuru hapa namshukuru sana. Baada ya Uhuru Nyerere akaturudisha kwenye ukoloni mpya mpaka leo hatujawahi kujitawala na bado mapambano ya kupata Uhuru yanaendelea...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day StBongo TV

    Nyerere Day STBONGO TV STARTIMES NYERERE DAY 2022 KEVIN LAMECK NA MOHAMED SAID Kipindi kitarushwa saa tatu kamili asubuhi leo na marudio ni saa nne kamili usiku.
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere day 2022

  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini: Nyerere alikuwa Mtu Mwema. Mwana wa Kanisa, Baba wa Taifa na mwanadamu mwenye harufu ya Utakatifu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Takatifu ya kumuombea Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere inayofanyika Kwenye Kanisa Kuu Katoliki Jimbo la Bukoba Mjini Mkoani Kagera leo tarehe 14 Oktoba, 2022 Misa hii inayoongozwa na Mhashamu Askofu Methodius...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Stbongo Tv Nyerere Day 2022

    BONGO TV NA NYERERE DAY Kevin Lameck wa Bongo TV leo asubuhi alinitembelea nyumbani kwa nia ya kufanya kipindi cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya Nyerere Day kesho. Bwana Kevin kanirushia maswali mazito moja akitaka kujua kama historia ya Mwalimu imekamilka...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Historia ya Baba wa Taifa kwa mukhtasari

  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Nyerere “Mtume” wa Afrika

  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Baba wa Taifa katika vitabu

  19. R

    JamiiForums Tanzania Maji ya kujaza Bwawa la Nyerere yatatoka wapi?

    Tanesco wametutaarifu kuwa vyanzo vyote vya mabwawa yanayofua umeme yamepatwa na upungufu wa maji na hivyo uwezo wa kuzalisha umeme ni mdogo. Consequently jana tulikuwa hatuna umeme (total blackout) kuanzia saa 4 usiku hadi saa 2 asubuhi ya leo. Sasa hizo hela kwanini tunaziharibu na kuharibu...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme uliotangazwa na TANESCO kwa ajili ya ukame. Je, tutegemee mgao zaidi hata litakapokamilika bwawa la Nyerere?

    Nimeona vigogo wa TANESCO wakitutahadharisha watanzania kuwa kutokana na ukame uliolikumba Taifa letu, kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, wamelazimika wao TANESCO kuanzisha mgao wa umeme nchi nzima, kutokana na mabwawa ya Kihansi, Mtera na Kidatu, kupungukiwa maji ya kuyajaza mabwawa hayo...
Back
Top Bottom