nyerere

  1. U

    JamiiForums Tanzania Nyerere alituuza na kuzalisha umasikini

    Habari ndugu wanajamii. Aisee kwanza Mimi Sio mtanzania ni mtanganyika. Kama Zanzibar ipo iweje Tanganyika? Je, mzanzibar ni mtanzania?? Hapa ndo utaona mwalimu Nyerere pamoja na sifa mnazompa ni batili. Huyu BABA alijenga mfumo wa nchiiii kutegemea mtu mmoja Yaani watu milioni 60 mnategemea...
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania TPA yahamishia shughuli zake Dodoma

  3. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliwahi sema “Nilitegemea majitu yenye nguvu ndani ya CCM yangehamia upinzani ili kupambania mabadiliko ya nguvu”

    1. RIP kwa wote waliotangulia, miongoni mwa watu maarufu na wenye ushawishi / mvuto Mrema alihamia upinzani kwa shinikizo la Mwl Nyerere Sumaye alihamia upinzani kutafuta umaarufu alioukuwa akiendelea kuutamani Lowasa alienda kwa kusukumwa na tamaa yake ya Urais Kingunge alihamia huko kufukuzia...
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujenzi wa bwawa la Nyerere sio suluhisho la umeme kwani umeme wa maji sio chanzo sahihi cha nishati nchini Tanzania, itumike njia hii

    Umeme ni nishati muhimu sanaa katika maendeleo ya taifa la Tanzania kwani uzalishaji wa bidhaa nyingi viwandani, migodini, mashambani, wajasiriamali na nyumbani hutegemea nishati ya umeme ambayo kwa kiasi kikubwa unaotokana na maji ambao ndio unaosemekana kua nishati yenye gharama nafuu zaidi...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu yazinduliwa leo 12/09/2022

    Profesa Penina Mlama Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu anazungumza “Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ujenzi wa taifa ni kujenga tabia za Wananchi, mitazamo ya kuweza kuishi pamoja. “Kila taifa lina mitazamo yake ili watu waweze kuishi...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere, Julius Caesar, Sahib na vitabu vya Sheikh Ponda

    JULIUS NYERERE, JULIUS CAESAR, SAHIB NA VITABU VIJAVYO VYA SHEIKH PONDA Kuna rafiki yangu kaniambia kuwa wakati alipokuwa anafanyakazi katika shirika moja kubwa la kimataifa linaloshughulika na Afrika ndipo alipomjua Mwalimu Nyerere vizuri sana. Anasema hakuna kilichokuwa kinampita...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu

    Majina mazito mazito haya ni kielelezo kamili cha wapigania haki wenye kutukuka. Nini kisimame mbele ya watu kama hao kuzuia haki kutamalaki? Nini thamani ya maisha ya awaye yote kama ukosefu wa haki ndiyo unaozidi kuota mizizi? Nini kimetupata watanzania sisi leo kutokuwa na kizazi cha...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kisa Cha Yusuf Athumani Marsha, Peter Mbimbwo na Julius Nyerere Mwanza 1950s

    KISA CHA YUSUF ATHUMANI MARSHA, PETER MBWIMBO NA JULIUS NYERERE MWANZA 1950s Tuanze na Peter Mbwimbo. Peter Mbwimbo ameandika kitabu, ''Peter D. M. Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere.'' Wakati TANU inaundwa na harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika zinaanza Peter Mbwimbo alikuwa katika...
  10. N

    JamiiForums Tanzania YERIKO NYERERE ADAI WANA YANGA WAMETAPELIWA LEO

    Baada ya simba kuonyesha jezi kwenye mkataba wa m-bet wana utopolo wakiongozwa na kubwa la ma NINCOMPOOPS Alhaji sope takadini zeru square waliwasikitikia sana wanasimba kwamba wametapeliwa kwa kuwa hawakuonyeshwa mkataba wakaishia kuonyeshwa jezi Sasa ukishangaa ya Pwaguzi albino shangaa ya...
  11. Stroke

    JamiiForums Tanzania Li Jinglan Mkalimani wa Nyerere aliyefariki akisubiria malipo ya fidia dhidi ya NHC kwa miaka 19

    Mkalimani wa Mwalimu Nyerere Bi. Li Jinglan amefariki Agosti 5 huku akisotea malipo ya Tsh. 1. Bilioni alizoshinda kama fidia dhidi ya NHC. Baada ya kushinda kesi mwaka 2003 dhidi ya NHC na Nyingine mbili, Mkalimani huyo wa Mwalimu Nyerere hakuwahi pata malipo yake. Pole Bi. Li Jinglan.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais Samia atimiza ndoto za Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere

    Ndugu zangu zilikuwa ni ndoto za baba wa Taifa kuijenga Tanzania yenye usawa na haki kwa watu wote, Tanzania ambayo kila mtu alikuwa ana nafas sawa katika kuijenga na kunufaika na matunda yake, Tanzania iliyokuwa inaheshimika na mataifa yote bila kujali uchumi wetu. Katika kuifikia azima hiyo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Bwawa la Mwalimu Nyerere sasa kazi ni usiku na mchana

    Waziri wa Nishati, January Makamba ametembelea mradi wa Bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere Agosti 08 2022 ili kukagua na kuangalia hatua mbalimbali zilizofikiwa na mradi huo. "kwa sasa tumefika asilimia 67, Katika Miaka Miwili na nusu ya Mwanzo (Kuanzia Disemba 2018 - June 2021) tulifikia...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Huyu Tajiri wa Mabasi ya Mbulu Trading Co. Ltd(au Sunvic Express Ltd) Ameiweka Serikali Mfukoni km yule Mgiriki wa Mwl. Nyerere?

    Kuna Kampuni ya mabasi inayofanya safari zake kati ya Arusha na Haydom kupitia Karatu na Mbulu km ilivyotajwa hapo juu. Ktk kibali chake cha biashara ilitakiwa kila siku iwe inasafirisha mabasi manne, mawili kutoka Arusha kwenda Haydom(basi la kwanza inatakiwa iondoke saa 12 asubuhi na la pili...
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania 4 Land Surveyor Jobs at JVACEE, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP)

    4 Land Surveyors Morogoro, Dar es Salaam JVACEE, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) In joint venture with The Arab Contractors of Egypt (Osman A. Osman & Co.), ELSEWEDY ELECTRIC is entrusted by the people and government of Tanzania to execute, The Julius Nyerere Hydropower Project. JOB...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere: Nimenusurika, kama ningeondolewa ningesikitika maana ndio kwanza nimeanza kuwazoea

    Saa chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa na kuwaondoa tisa, leo Alhamisi Julai 28, 2022, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere amemshukuru mkuu huyo wa nchi kwa kuendelea kuhudumu katika mkoa huo na kusisitiza kuwa amenusurika. “Rais (Samia Suluhu...
  17. Mdaka Mdaka

    JamiiForums Tanzania SoC02 Barua kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Ilikuwa kwamiaka 23 au nazaidi sikumbuki, ninachokumbuka nikwamba ulifanya kila uwezalo kuipatia nchi uhuru, ukaweka jitihada kubwa za kuliunganisha Taifa na mwisho mikakati madhubuti yakuleta maendeleo. Mwalimu; uliwachukia maadui watatu waletao udhalili; umaskini, ujinga na maradhi...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Julius Kambarage Nyerere alipokuwa mwalimu wa shile 1953

    JULIUS KAMBARAGE NYERERE ALIPOKUWA MWALIMU WA SHULE 1953 Ilikuwa wakati huu kwa mara ya pili Abdul Sykes alimshauri Nyerere kujiuzulu kufundisha ili ashughulike na kazi za TAA. Wazo hili halikumvutia Nyerere kama vile ambavyo halikumvutia Chifu Kidaha Makwaia miaka minne iliyopita. Lakini...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alivyonisaidia mwaka 2011 akiwa kaburini

    Mwaka 2011 nilipewa kazi ya kutafuta almasi na kumtumia mfanyabiashara mmoja wa Ulaya. Katika harakati za kutimiza jukumu hilo nikajikuta nalazimika kwenda nchini Namibia ambako kuna wauzaji wa almasi ambao mfanyabiashara huyo alikuwa ameshaonana nao na akanituma nikakague almasi zao na...
  20. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Siku niliyomuona Nyerere live nilisikitika sana

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze katika mada husika. Nakumbuka siku 1 mimi na mjomba wangu tulikuwa tunatoka feri kula samaki, tukijielekeza mnazi mmoja kupanda basi turudi nyumbani. Hii ilikuwa mwanzoni mwa mwaka 1995, kabla ya uchaguzi mkuu. Basi...
Back
Top Bottom