nyerere

  1. Bwawa la Julius Nyerere mto Rufiji: The Silver Lining!

    Watanzania huwa tunatazama mabaya tu ya kila jambo, hatutazami upande unaoweza kutunufaisha kiuchumi. Bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere, mto Rufuji inabidi litufumbue macho. Its time to think big. Kuna miradi kadhaa inaweza kuibuliwa. 1. A Major Waterway kusafirisha mazao na binadamu...
  2. S

    Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Mshindi wa Tuzo ya Mwandishi bora wa vitabu barani Afrika na mdau wa JamiiForums ndugu Yericko Nyerere ametangaza leo kuachia kitabu kipya kinachoelezea vita vya Urusi kinachapishwa, Katika utangulizi wa Kitabu hicho, Yericko Nyerere anasema, Kitabu cha MOSCOW: Operesheni ya Ukraine, ni mahsusi...
  3. Mkuu wa Wilaya ya Rufiji: Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere limepunguza athari za mafuriko Rufiji

    Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle amesema kuwa mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) umepunguza kwa kiasi kikubwa mafuriko na athari zake yaliyokuwa yakitokea katika wilaya hiyo. Meja Gowelle ameyasema hayo tarehe 05.04.2024 katika mazungumzo yake na wawakilishi...
  4. Historia ya Mzee Mshume Kiyate na Julius Nyerere 1950s

    Historia Mzee Mshume Kiyate na Mwalimu Julius Nyerere 1950s https://youtu.be/YgT0LS-qGUg
  5. Kwanini hii Teua Tengua haikuwepo kwa akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa na hata Kikwete, ila kwa Magufuli ilikuwepo na sasa kwa Samia ndiyo imeshazoeleka?

    Jukumu langu Kubwa GENTAMYCINE katika huu Uzi ni Kusoma tu Maoni yenu ili niujue Udhaifu wa Asili wa Mtu, Taasisi zake na Wasaidizi wake Wapuuzi na Wasioijua Kazi yao vyema.
  6. CAF kama mmeweza kutumia Picha ya Mandela kwa upande wa Mamelodi kwanini Msingeweka picha ya Nyerere upande wa Yanga?

    Hii Picha kwanini wasingemweka na nyerere? Najua kuna watu mtaniona kama nimewehuka ila mjue hizi issue ndio hua zinafanya wamchukulie poa Nyerere kabisa. Nyerere kafanya makubwa Mengi kwa Afrika ila hua hatambuliwi hadi hapa unaona kabisa..wameona huyo Askari ndie mkubwa Nchini kuliko...
  7. Mwalimu Nyerere: Matatizo makubwa ya Tanganyika katika miaka ya baadaye itakuwa Zanzibar

    "Kama ningeweza kukivuta kisiwa hicho katikati ya Bahari ya Hindi, ningefanya hivyo." Alisema kwamba anafikiri mojawapo ya matatizo makubwa ya Tanganyika katika miaka ya baadaye itakuwa Zanzibar. Hapana, sifanyi mzaha," alisema Aliyasema hayo katika tafrija ya chakula cha jioni jijini Dar es...
  8. ATCL yapanga kuwa na uwanja wake ndani ya Julius Nyerere Airport

    Air Tanzania Company(ATCL) ina mpango kuwa na uwanja wake utakaohudumia ndege zake pekee ndani ya uwanja wa ndege wa Jylius Nyerere. Mipango hiyo ilitangazwa na waziri mkuu, Kassim Majaliwa wakati akipokea ndege mpya aina ya Boeng. Uwezekano ni Serikali itatenga uwanja wa ndege za...
  9. Julius Nyerere akijibu maswali ya waandishi wa habari nchini Uganda, Julai 1988

    Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda. Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists: https://youtu.be/ldgW7lBYKkU?si=d-vHRKTNhV24DW6u
  10. Kati ya Nyerere aliyetulisha unga wa njano, mahindi ya mifugo Marekani na Michele wa virutubisho yupi bora?

    Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife. Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na...
  11. U

    TANESCO watorosha Maji Bwawa la Nyerere, na kuharibu mazao Kwa mafuriko

    Licha ya TANESCO kutoa adhabu ya kugawa Umeme Kwa wananchi wa TANZANIA na kuendeleza mateso hawajaridhika na sasa wameamua kufungulia maji ya bwawa la nyerere na kusababisha mafuriko makubwa na uharibifu wa mazao katika vijiji vilivyopo mkondo wa chini wa bwawa hilo. Maji hayo ambayo...
  12. Japokuwa Taasisi ya Mwalimu Nyerere imejikita katika biashara ya togwa kwa wazanaki na wasizaki, iwe na utaratibu wa kuwa na kitabu kila mwaka

    Nashauri taasisi hii iwe na kitabu, au tuite journal ambayo itatoka kila mwaka ikiwa na makala(articles) za wanasiasa mbalimbali, wataalamu, wa ndani na nje ya nchi wakijadili mambo ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Imagine umwambie Ziito, Jk, Samia, Museveni, Kagame(japo mtu wa hovyo, ila hata...
  13. Kama CHADEMA imechukua miaka zaidi ya 30 kujenga ofisi ya makao makuu, SGR au bwawa la Mwalimu Nyerere ingewachukua miaka 300 au 500

    Tangu CHADEMA ianze kupokea ruzuku, imepata zaidi ya bilioni 300, lakini imewachukua miaka 30 kupata jengo la ofisi la ghorofa moja. Je, wakikabidhiwa nchi, wataweza kujenga miradi mikubwa mikubwa ndani ya muda mfupi?
  14. I

    Bwawa la Mwalimu Nyerere na athari kwa vijiji vilivyopo bondeni mwa bwawa hilo

    Juzi niliona katika taarifa ya habari ya ITV wananchi wa vijiji mbalimbali bondeni mwa Bwawa la Mwalimu Nyerere wakihaha kuokoa maisha yao baada ya kuzingirwa na maji ya mto Rufiji. Hii inatokana na kujaa kwa bwawa hivyo kulazimisha kufungulia maji kutoka bwawani. Pia tumekwisha fahamishwa kuwa...
  15. U

    Bwawa la Mwalimu Nyerere lafikia MITA 185 ujazo, lajaa mpaka kikomo

    Bwawa la mwalimu Nyerere limejaa kabisa mpaka kufikia ujazo wa MITA 185 kati ya mita 186 kutoka usawa wa Bahari. Hivyo Serikali kuanzia Muda wowote itaanza kumwaga maji au kufungulia maji Kwa lugha ya Magufuli, hili zoezi linafanyika kwakuwa mitambo ya uzalishaji umeme haijakamilika yote kama...
  16. Yericko Nyerere: Naziona Simba na Yanga nusu fainali

    Very interesting, @simbasctanzania vs @alahly hii game ni 50/50 hata Simba akitoa sare Kwa Mkapa bado game itabaki 50/50 na uamuzi utafanywa Cairo kwa mikwaju ya penati. Katika hili naiona bahati kwa Simba japo kuna marekebisho makubwa ya haraka yanatakiwa kufanywa kwa kikosi hiki safu ya...
  17. Afrika Kusini yaenzi mchango wa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere

    Serikali ya Afrika Kusini imeendelea kutambua na kuuenzi mchango wa Baba wa Taifa la Tanzania, Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hiyo na bara la Afrika kwa jumla. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini, Mhe. Candith...
  18. Steve Nyerere afanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu, amsifia kwa kuondoa tatizo la umeme, reli ya kisasa

    Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
  19. R

    Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

    Salaam, Shalom. Mwenyezi Mungu amembariki ndugu Andrew Nyerere BUSARA zilizonifanya kuanzisha Uzi huu wa Leo kuongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kuogopa kuchukua sifa za Mungu. Jiulize kwanini wengi wanapoteza ndugu zao waliowategemea bila kujua kuwa sifa mlizokuwa mkimimina kwake ndizo...
  20. Steve Nyerere: Kikwete alinisisitiza nisome, niache kuuza Big G

    "Wakati nipo Form One nilianza biashara ya kuuza Big G pale shopaz ili nimsaidie mama kupata ada. Nilikutana na Jakaya Mrisho Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya Nje. Mimi nilikuwa mtu wa kuongea sana. Nilikuwa namjua. Siku hiyo alifika na akiwa amevaa kanzu nilikuwa naongea huku nauza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…