nyerere

  1. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi KUSEMA hivi

    “DEMOKRASIA SIO CHUPA YA Coca-Cola ambayo unaweza kuiagiza kutoka nje ya nchi. Demokrasia inapaswa kujengwa na kuendelezwa kulingana na utamaduni na mahitaji ya nchi husika”. Hayati Baba Taifa Mwalimu Julius K Nyerere (1922 - 1999)
  2. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere katika Mkoa wa Kilimanjaro anatakiwa kuwa na sifa hizi

    Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere katika Mkoa wa Kilimanjaro hujulikana kwa sifa kadhaa, ambazo ni pamoja na: 1. Elimu: Mara nyingi, inatarajiwa kuwa mwenyekiti ana elimu ya juu, kama digrii katika fani zinazohusiana na elimu, siasa, au sayansi ya jamii. Ingawa umakini zaidi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu watanzania 5 walioiteka ndege ya Tanzania wakitaka Nyerere ajiuzulu

    mwaka 1982 february taree 26 ipo miamba mitano ilihisi inaweza kuitikisa serikali kwa kuteka ndege ya Tanzania ATC. ndege hiyo ilikua inatoka mwanza inakuja Dar es salaam imetua saa 11 jioni, kwa kipindi hicho uwanja wa ndege wa Mwanza ulikua hauna ulinzi kwahiyo hao jamaa watano walikuwemo...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania KWELI Hayati Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa chama chake tangu 1954 mapaka 1977

    Kumekuwa na post ya Jenerali Ulimwengu aliyoichapisha kwenye mtandao wa X kwamba Mwalimu Julius Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa chama chake kuanzia mwaka 1954 mpaka 1977, ukweli wa kauli hii upoje?
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku Ilipodhaniwa Nyerere Kalishwa Sumu

    Katika mambo yaliyotokea yakawatisha waliokuwa wamemzunguka Julius Nyerere ilikuwa siku alipougua ghafla na kudhaniwa kalishwa sumu katika chakula nyumbani kwa Abdulwahid Sykes. Angalia video hiyo hapo chini: https://youtu.be/Wx6imbCTAB8?si=ZsvZBYeYdvthGtAv
  6. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Huwezi nishawishi Nyerere alikuwa Rais bora

    Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana. Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora. Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu na genius Taifa halijawahi kupata mtu wa hivyo. Indoctrination imefanyika toka utotoni Nyerere...
  7. OLS

    JamiiForums Tanzania Kuna kero za Muungano au Muungano ni kero?

    Muungano ulioasisiwa na Karume na Nyerere ni tofauti sana na muungano tunaouona leo. Maana baada ya muda tayari tunawaza uwepo wa Tanganyika baada ya kuona uwepo wa Zanzibar. Wakati awali Karume alikuwa makamu wa Rais, leo Zanzibar ina Rais kamili na ina makamu wako. Na hiki ndicho chanzo cha...
  8. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyochafua hewa ukumbi wa Mwalimu Nyerere

    Tulikuwa kwenye hafla moja ya kikazi hapo dar, maafsa wote tulialikwa kwenda kushiriki na kutoa hoja za kimijadala. Nilikula suti yangu kali na moka za kuchongoka, huku kakitambi nacho mashallaaah, na nyuma nalo wowowo limo basi nikawa nanesa tu, Singida dodoma, Singida Dodoma, Weweeee...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

    Nimezaliwa miaka 1970, nimekutana na maisha magumu Sana, kulikuwa hakuna Sabuni, Sukari, Mafuta na hata nguo. Watu walivaa magunia, kulikuwa hakuna vyakula na wakati tunapata uhuru aliikuta Tanganyika iko vyema kutoka kwa mkoloni nchi ikiwa vizuri. Je, Uongozi ulimshinda? Soma Pia: Kumuelewa...
  10. econonist

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Nyerere akamshinda Sykes?

    Kulingana na mahojiano ya Tundu Lissu na mtangazaji wa ITV , Lissu alidai mara ya Mwisho CCM kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti kwa ushindani ilikuwa mwaka 1954 kati ya Julius Nyerere na Abdulwahid Sykes. Ambapo Nyerere alimbwaga Abdulwahid Sykes. Uchaguzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Anatoglou...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Anakumbusha Uchaguzi wa Urais wa TAA Kati ya Abdulwahid Sykes na Julius Nyerere 1953

    TUNDU LISSU AKUMBUSHA UCHAGUZI WA PRESIDENT WA TAA KATI YA ABDULWAHID SYKES NA JULIUS NYERERE 1953 Kila uchao tunakumbushana na kuazima ukurasa kusoma kutoka historia ambayo ilifutika. Leo usiku katika kipindi cha ITV Dak. 45 Tundu Lissu akihojiwa na Mtangazaji Farhia Middle katika kujadili...
  12. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mohammed Said anasema Nyerere ndiye aliyemuondoa Sultani wa Unguja 1964

    Katika video anaelezea kwamba jambo la kwanza lililotokea baada ya Mapinduzi printing press zilizokuwa zinatengeneza vitabu vya Kiislamu vilivunjwa. Ipo katika YouTube Hausemwi ila huu ndiyo ukweli mchungu nyumba ya Mapinduzi ya Zanzibar. Mohammed Said akishazungumza nadhani tunajua tayari nani...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayotendeka ya mauaji ya watanganyika kwa kuwateka, sababu ya katiba ya UFALME, aliyoiacha Nyerere, siyo baba wa Taifa na si mtakatifu

    Nyerere alijua kabisa na alisema hadharani kuwa katiba hii ni mbovu, akiingia RAIS mpumbavu anaweza kuwa dikteita wa kufa mtu! Na bado akaiacha hivyo hivyo na sasa inazalisha madikiteita! Rais-Mfalme quotes Tangu angalau tuwe Jamhuri mwaka 1962, Rais wa nchi yetu amekuwa na mamlaka makubwa...
  14. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Moja wapo ya hotuba bora ya mwalimu Nyerere

    Japo alikua anazungumza na waalimu ila aligusia mambo mengi ambayo hata wakati huu yanatuhusu sana. Nukuu niliyoipenda ni ile ya maskini ama mnyonge hana cha kupoteza inapokuja suala la kudai mustakabali mwema, sana akipoteza ni huo umaskini na unyonge wake, hii nukuuu inatufaa sana wakati huu.
  15. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Shida ya Lissu na Nyerere ni nini hasa?

    Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza. Alipoulizwa na Chief Odemba kwa maoni yake kuwa ipi ilikuwa awamu iliyoongoza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, bila kumumunya maneno alidai ni awamu ya kwanza. Kwa mtazamo wa Lissu, Nyerere...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kaka unasafilisha mali ya asili - Julius Nyerere International Airport -Yamenikuta ya ajabu na kweli

    Nasafiri kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere International Airport. baada ya mabegi kupita kwenye scanner, begi moja likaonekana lina tatizo. Likaekwa pembeni, nikaitwa, mpekuzi akalifungua na kupekuwa akatoa pakiti ambayo ilikuwa na ubuyu, ule ubuyu wa rangi nyekundu ambao...
  17. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Madaraka Nyerere

    Leo Madaraka anatimiza miaka 64. Ni mtoto wa mwisho wa Mwalimu Nyerere ( now that Rose Nyerere has passed away). Madaraka amesoma Banking, Italy na Canada. Madaraka ana predilection for going to Uhuru Peak,( Uhuru Peak,that is the summit of Mount Kilimanjaro).
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza na ukumbusho wa nukuu ya Mwl Nyerere mwaka 1990

    Utangulizi kama alivyoweka kwenye ukurasa wake wa Facebook "Unaweza kupigwa kwa niaba lakini huwezi kupiga kwa niaba. Huwezi kuua kwa niaba lakini unaweza kuuawa kwa niaba." Askofu Bagonza
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kujaribu kuwazodoa kina Mandela, Nyerere, Lissu, nk ni kujidhalilisha!

    Yamekuwa yakisikika maneno: "JF ni Raha sana." Kwa hakika ni kwa maana yake kamili. Hayo ni pamoja na kuwaona baadhi ya wajumbe wakijitutumua kujaribu kuwazodoa watu ambao dunia Kwa ujumla wake imewavulia kofia. Wandugu kwa level za kwetu kujimwambafai dhidi ya kina Lissu au Nyerere ni wenda...
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee tukio la uvunjaji wa sheria linakuwa back up na tukio lengine la uvunjaji wa sheria

    Kuna mambo mengi hutokea katika hivi viwanja vya mfumo wa kisiasa,kimsingi hua ni hitilafu/utata wa sheria au uvunjaji wa sheria unaofanya na moja watendaji wa kiserikali may be kwa kujua au kutokujua. Kwa bahati mbaya zaidi,hutumiwa propaganda za wasanii,timu za mipira au uvunjaji wa sheria...
Back
Top Bottom