Ndugu zangu Watanzania,
Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda amekuwa akipata vyeo na nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya serikali na...
Anaandika Yericko Nyerere
Wengi mmeomba nitoe maoni yangu kuhusu kauli za mtu anayejiita Paulo Makonda kwamba kuna mawazi wanawalipa watu ili kumtuna Rais na kwamba mawaziri hao wana wawatu nyuma ambao ni watu wa kuheshimika katika nchi.
Kabla sijazungumzia kauli hiyo naomba niwarejeshe...
Happy birthday Mwalimu Nyerere #Tanzania We will appreciate your contribution to the building of the Nation and Africa Miaka 102 iliyopita alizaliwa Julius Kambarage Nyerere!
Leo ndo ilitakiwa iwe #NyerereDay Archive:
Siku ya leo ndio ingefaa kuwa Nyerere Day au ile ya Mwezi wa kumi? Je, siku...
Leo ni mfanano wa siku ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere.
Kama angelikuwa hai basi leo angekuwa anatimiza miaka 102 yankuzaliwa kwake.
Heri ya kuzaliwa kwako Mwl. Julius Kambarage Nyerere
Kuanzia muonekano wa bwawa la Nyerere hadi kiasi cha umeme unaotengenezwa katika bwawa hilo ambao ni megawatt 2115 tu, kila kitu kimekuwa underplanned and underestimated (finyu). Tumepoteza nafasi adimu ya kutengeneza umeme wa kutosha kwa Taifa letu kwa miaka mingi ijayo kwa kutumia ka-sehemu...
Hongera kwako Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusimama kidete na hatimaye mradi huu mkubwa wa kimkakati na uliopigwa vita na Wakoloni, Wakoloni mamboleo,vibaraka wa wakoloni na wasiojitambua ...hatimaye umekamilika na umeanza kutoa huduma.
Mradi huu ni mkombozi wa nchi na kamwe kama mzalendo...
Nadhani tusiangalie binadamu tu, bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa katikati ya Mbuga ya Wanyama, haya mafuriko yanawaathiri kiasi gani?
Hii ni hifadhi ambayo iko katika orodha ya hifadhi zenye maliasili adhimu. Wizara ya maliasili, mnasemaje?
Pia hifadhi hii ina madini ya urani (uranium)...
Wakati watu wenye akili wakishauri mradi wa umeme wa bwawa la mwalimu Nyerere ufanyiwe tathmini ya mazingira, genge la JPM lilikuwa linabeza huku likijivisha uzalendo mapepe kwamba mradi utachelewa. Sasa Rufiji iko hatarini kumezwa na maji.
Maji hayo yanatokana na bwawa kujaa na mto kujaa, na...
Mlango wa bwawa upo kati ya Mkoa wa Pwani na Morogoro, Lakini mawanda ya bwawa Kwa asilimia kubwa yatakuwa kwenye Jimbo la Liwale.
Kwani serikali ikisema hivyo watapungukiwa nini?
Watanzania huwa tunatazama mabaya tu ya kila jambo, hatutazami upande unaoweza kutunufaisha kiuchumi.
Bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere, mto Rufuji inabidi litufumbue macho.
Its time to think big.
Kuna miradi kadhaa inaweza kuibuliwa.
1. A Major Waterway kusafirisha mazao na binadamu...
Mshindi wa Tuzo ya Mwandishi bora wa vitabu barani Afrika na mdau wa JamiiForums ndugu Yericko Nyerere ametangaza leo kuachia kitabu kipya kinachoelezea vita vya Urusi kinachapishwa,
Katika utangulizi wa Kitabu hicho, Yericko Nyerere anasema, Kitabu cha MOSCOW: Operesheni ya Ukraine, ni mahsusi...
Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle amesema kuwa mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) umepunguza kwa kiasi kikubwa mafuriko na athari zake yaliyokuwa yakitokea katika wilaya hiyo.
Meja Gowelle ameyasema hayo tarehe 05.04.2024 katika mazungumzo yake na wawakilishi...
Jukumu langu Kubwa GENTAMYCINE katika huu Uzi ni Kusoma tu Maoni yenu ili niujue Udhaifu wa Asili wa Mtu, Taasisi zake na Wasaidizi wake Wapuuzi na Wasioijua Kazi yao vyema.
Hii Picha kwanini wasingemweka na nyerere?
Najua kuna watu mtaniona kama nimewehuka ila mjue hizi issue ndio hua zinafanya wamchukulie poa Nyerere kabisa.
Nyerere kafanya makubwa Mengi kwa Afrika ila hua hatambuliwi hadi hapa unaona kabisa..wameona huyo Askari ndie mkubwa Nchini kuliko...
"Kama ningeweza kukivuta kisiwa hicho katikati ya Bahari ya Hindi, ningefanya hivyo."
Alisema kwamba anafikiri mojawapo ya matatizo makubwa ya Tanganyika katika miaka ya baadaye itakuwa Zanzibar. Hapana, sifanyi mzaha," alisema
Aliyasema hayo katika tafrija ya chakula cha jioni jijini Dar es...
Air Tanzania Company(ATCL) ina mpango kuwa na uwanja wake utakaohudumia ndege zake pekee ndani ya uwanja wa ndege wa Jylius Nyerere. Mipango hiyo ilitangazwa na waziri mkuu, Kassim Majaliwa wakati akipokea ndege mpya aina ya Boeng.
Uwezekano ni Serikali itatenga uwanja wa ndege za...
Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda.
Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists:
https://youtu.be/ldgW7lBYKkU?si=d-vHRKTNhV24DW6u
Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife.
Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.