nyerere

  1. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuteua Mgombea wa Urais - Hayati Mwalim Nyerere

    Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere akisimama na kuhutubia mkutano mkuu wa kuteua Mgombea Wa CCM bara katika nafasi ya Urais . Alizisitiza "Watanzania wanataka mabadiliko , wasipo yapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM". Aidha mwalimu Nyerere aliwataka wajumbe kuteua Mgombea atakayekidhi matakwa ya...
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nyerere alikuwa ni mlevi wa madaraka

    Yaani katika watu ninaowachukia Tanzania hii ni Nyerere, ndiye aliingia madarakani na akakaa miaka 25 mwisho wa siku akawarithisha watanzania ujinga na umasikini yaani huyu mzee Mimi natamani nichape maiti take viboko mia sababu alikuwa ni mlevi wa madaraka ila nashangaa kuna mijitu inamuita...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Nyerere ndio waasisi wa kuteka watu,hawa wa sasa hivi wanajaribu tu

    Kipindi Nyerere anachukua nchi kulikuwa na sheria ya kuweka watu kizuizini,sikumbuki ilifutwalini. Yaani ni ile hali unachukuliwa ubatupwa selo hakuna kupelekwa mahakamani mpaka waone umekoma au umekufa ndio mwisho wako. Enzi za mwalimu kuna mzee mmoja jirani yetu kule Oysterbay,ilikuja Land...
  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

    Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani. Mtoto wa Nyerere ametoroka Butiama bila begi,ameondoka na nguo tu alizovaa. Sasa yupo Mwanza anasubiri kurudi Dar. Hii...
  5. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania HONGERA SANA AFISA MTENDAJI WA MTAA WA NYERERE HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA

    Sasa unaingia mkoa wa Mara!Utakutana na maandishi yakiwa kwenye hiki kibao mara tu unapoiacha Simiyu na kuingia mkoa wa Mara.Jina la mkoa halijulikani sana ukilinganisha na jina la makao makuu ya mkoa,Musoma.Ndio maana wengi wanajua jina la mkoa ni Musoma!Huu ni mkoa ambao mfumo dume ni mahali...
  6. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu limetutenga Watanzania

    Jeshi letu limetutenga Watanzania. Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah. Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Prof. Shivji na Wengine Wamkumbuka Mwalimu Nyerere

    PROF. SHIVJI AMWELEZA MWALIMU NYERERE Ilikuwa siku ya uzinduzi wa nyumba ya Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere baada ya kufanyiwa ukarabati. Baada ya uzinduzi wadau wa historia ya Mwalimu Nyerere tulijumuika kuzungumza. Kabla ya shighuli hii nilitembelewa na maofisa wa nyumba hii ya kumbukuzi...
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyerere hakuweka vituo vya kijeshi kwenye nchi alizozisaidia kupata uhuru?

    Marekani ina jumla ya vituo vya Kijeshi (overseas military bases) 38 katika mataifa mbalimbali! Ukiacha Marekani, kuna mataifa mengine zaidi ya kumi na tano yenye vituo vya kijeshi sehemu tofauti tofauti. Ni gharama sana kulihudumia Jeshi. Ukiona nchi inaamua kuanzisha vituo vya kijeshi nje ya...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere na Tatizo la Udini na Ukabila

    Hotuba nzuri sana iko hapo chini Mwalimu akionya kuhusu tatizo la udini na ukabila. Msomaji wangu mmoja kaniletea na kuniomba nimpe fikra zangu kuhusu hii kansa. Nami nimejitahidi kuliangalia tatizo hili nikipitia historia yake mwenyewe Mwalimu. Mwalimu Nyerere alipigiwa kura kuwa Rais wa TAA...
  10. T

    JamiiForums Tanzania "Ni Tanzania tu utasikia biashara inakufa kwa sababu ina wateja wengi" Yerico Nyerere

    "Unaweza usiamini kwamba ni Tanzania tu inatokea kwa mara ya kwanza duniani, kwamba biashara inakufa kwa sababu ina wateja wengi. Yes amini Mwendokasi inakufa huku ongezeko la wateja ni kubwa sana na haina mpinzani ni wao tu Dar nzima. Hivi sisi ni akina nani? sisi ni MANYANI" Anasema Yerico...
  11. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Miaka 63 ya uhuru Bado tunatumia katiba ile ile ya mkoloni. Tumlaumu nani? Nyerere au waliomfuatia?

    Viongozi wengi wa waAfrika ambao Nyie mliwaita freedom fighters wengi walipigania uhuru kwa manufaa yao na familia pengine na koo zao Mimi Nina hakika na hilo hususani kwa hapa Africa mashariki labda kidogo Patrice lumumba na wengine wengi ila kwa Africa mashariki wengi walipigania kwa maslahi...
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Julius Nyerere wakamilisha mtambo namba nane na kuingiza umeme kwenye Gridi ya taifa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema tayari mtambo namba nane kutoka kwenye Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere umekamilika na sasa unaingiza megawati 235 kwenye gridi ya taifa. Dkt Biteko ametoa taarifa hiyo tarehe 14 juni 2024 wakati akizindua taarifa za...
  13. Logikos

    JamiiForums Tanzania Mabeberu Interest yao ni Viongozi watakaowasaidia kwenye Maslahi yao (JK Nyerere)

    Reminiscing from the Past; Hotuba ya Nyerere kuhusu Flip Flopping ya kina USA et al... https://youtu.be/lcu329NAWtM?si=me5_3i-aA6xcJ-Od
  14. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mkufunzi anayeitwa Majura anaenda kukiharibu chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy

    Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili. Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe , anatumia hasira na kiburi katika kuwahudumia wanafunzi na kuwatisha. Chuo cha Mwalimu Nyerere memorial...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Tanzania Inaandaa Mashindano Mapya ya Mwalimu Nyerere Liberation Cup

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesema Tanzania imeandaa mashindano mapya yaliyopewa jina la ‘Mwalimu Nyerere Liberation Cup’ ambayo yatakuwa ni mashindano ya vijana wenye umri wa miaka 20 yatakayojumuisha Bara lote la Afrika. Dkt. Ndumbaro amesema hayo katika...
  16. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Rais gani mstaafu, amekuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere?

    Katika kumbukumbu zangu, hakuna Rais mstaafu wa nchi hii ameweza kuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Mwalimu Nyerere alikuwa na ujasiri wa aina yake, hadi katika moja ya hotuba zake alidiriki kuwaambia CCM kuwa chama hicho siyo mama yake...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Nyerere aliukataa Utanganyika akaruhusu Uzanzibar?

    Kwa mujibu wa clip: 1. Anajinasibu kwa Utanzania na si Utanganyika 2. Anakiri kuwa Wazanzibar ni Wazanzibar 3. Inaonekana kuna watu walitamani ajitambulishe kwa Utanganyika lakini yeye akaamua kukomaa na Utanzania Kama Wazanzibar waliweza kubaki na Uzanzibar wao, kwa nini yeye aliukana...
  18. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Afrika historia inatuadhibu na utandawazi unatudidimiza

    Binafsi Naona historia ya afrika imekuwa ndiyo chanzo kikubwa cha maafa hapa barani,hatupo active kwa changamoto za kihistoria kuna pandikizi kubwa la maisha ya ukoloni ambao ulijenga misingi ya kutudumaza kupitia elimu,dini na biashara,ni nani hajui kuwa utumwa wa leo ni matokeo ya jana...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere bado yupo sahihi kwenye muungano, Umoja haujapoteza maana

    Nikiwa mtoto mdogo pale Ikulu niliwahi kumona Mwalimu akitoa hotuba ndefu pembeni ya hayati Rashid Kawawa miaka ile ya 80 mwanzoni. Mwalimu alijaliwa karama binafsi za ushawishi {charismatic leader}, alikuwa akiufahamu uwezo huo aliojaaliwa na Mungu lakini haikumfanya akavimba kichwa na kujiona...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere Mtume wa Afrika 1950s - Julius Nyerere Mtakatifu Mwenye Kheri 2000s

    Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana. Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000. Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia ya Mwalimu na Waislam wa Tanganyika. Sijui kwa nini. Kukosekana kwa hili kumeondoa utamu na...
Back
Top Bottom