Nyerere anatumika kwa kiki za kisiasa na familia yake haifurahishwi na siasa kwenye swala la kitaifa. Sherehe za Nyerere zifanyike alikotokea Mara au kama kama ni kwa mzunguko basi zifanyike sehemu tofauti. Lakini hizi sherehe zimekuwa kama ni za Mwanza day! kufanya kampeni za siasa Mwanza...
Familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere imewataka wasanii wanaoigiza sauti za viongozi akiwemo Baba wa Taifa kuanza kutumia majina yao halisi badala ya kujitambulisha kwa majina ya viongozi wanaoigiza sauti zao na kuleta mkanganyiko.
Msemaji wa familia hiyo ambaye ni mtoto wa sita wa...
“Kizazi baada ya Nyerere ndiyo kimefanya Tanzania imekuwa maskini. Kizazi kimeuza viwanda. Kizazi kinang’ang’ania kubaki madarakani. Kizazi kimewekeza kwenda bungeni na kununua V8. Kizazi kinasifu kila kitu Rais anachofanya. Ni kizazi chenye watu wasiokuwa na akili timamu”
Ukiingia kwenye ukurasa wao wa Instagram,utaona watu hao wanaojiita wachokonozi wakisema maneno hayo juu.
Ni maneno ya karaha lakini huyo jamaa anajitanabahisha kama msomi wa chuo kikuu.
Naamini ndani ya kizazi tajwa yupo mama yake pia.Taja viongozi wote unaowajua waliopo madarakani sasa,hilo...
Nashauri au Naomba Wananchi (hasa Sisi wenye Akili Kubwa) humu Mitandaoni na katika Jamii zetu tuwe tunashirikishwa katika ama Kubuni au Kuratibu namna nzuri ya Kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwani naona kwa yanayofanyika sasa siyo Kumuenzi bali ni Kumsanifu...
Kwako Mwalimu Nyerere;
Wiki hii tunaitumia kukukumbuka wewe na uongozi wako.
Sisi wazee tunakumbuka mbali zaidi hasa zile nyakati za vita Kagera ambavyo wapo wenzetu ambao waliambulia vilema na mpaka leo tunao wakiwa hai na huku wakilipwa Pension ya Laki 1 kwa mwezi na Hazina na hakuna msaada...
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
Nimekuta mahali kipande hiki cha hotuba ya baba wa taifa kwa tafsiri niliyojaaliwa mimi, ni kuwa mwalimu anasisitiza kwamba kwa afya ya bara la Africa ni tusipanbane na watu wa misimamo mikali kwa sababu kupambana nao kutamaanisha wao pia wajibu mashambulizi.
Sasa kama hoja ni hiyo mbona ni...
Ndege za Burundi zinazosadikiwa kuendeshwa na wafaransa zavamia vijiji vya Mkoa wa Kigoma.
Ilibainika baadae South Africa, Msumbiji, Ufaransa na Marekani walikuwa nyuma ya Burundi.
South Africa na Msumbiji zilikuwa bado chini ya serikali za kikoloni huku Rais wa Kenya Jomo Kenyatta akimuonya...
HISTORIA YA JULIUS NYERERE (1922 - 1999)
Kuadhimisha Nyerere Day In Shaa Allah kuanzia tarehe 1 Oktoba nitakuwa naweka video ambazo nimemzungumza Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kama nilivyohifadhi historia yake Maktaba.
https://youtu.be/bQlNnpWluCE
Eti nitume laki na 95 elf, dereva aanze safari kuuleta nilipo hahah..nikichelewa mzigo utawekwa store kwa kila siku 20k inaongezeka.. Namwambia namtumia ndugu yangu aje abebe eti hapana tuma ela kwa namba tulikupa hutaki tunaweka mzigo store. Hahaa kumeanza kuchangamka. Kupitia uzi wangu watu...
Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.
Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.
Halafu ndani ya miaka...
Huu uwanja ulijenga enzi za mwalimu Nyerere,Leo kichaa mmoja anaropoka TU!
Kama ukarabati ufafanywa na Samia, mbunge wa eneo Hilo amefanya kazi Gani?
Huu usemi utafanya wabunge wasipewe kura kwenye maeneo yao,inaonyesha hawakufanya chochote.
Pia haijulikani Kodi za wananchi zimefanya kazi...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula.
Na ambaye amekuwa...
Viongozi wanaoheshimika wamekwisha Afrika. ANC kitasambaratika kwasababu ya kukamiana wenyewe kwa wenyewe na kutengeneza a vicious cycle. Ramaphosa na mbeki wanamsulubu legendary mwenzao Zuma, dhambi hii itaimaliza South Africa na hasa chama tawala ANC.
Kama Mwl Nyerere (RIP) angekuwepo bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.