nyani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ukicheka na Nyani utavuna mabua

    Nimefuatilia yanayoendelea katika taifa letu kwa sasa naona kila siku zanavyosonga mbele matumaini yanazidi kupotea. Kimsingi kuna ombwe la uongozi katika taifa letu kwa sasa linaloonyesha kuwa viongozi wetu hawa wameshindwa ku-perfom na sasa wamebaki kuhangaika na Chadema. Ukiona kiongozi...
  2. Rais Samia usicheke na nyani

    Kwa matukio ya hivi karibuni na dhahiri kuna wanaotaka kum upstage mama Samia. Wito wangu ni mmoja tu, mama usicheke na nyani, utakula mabua. Na wahenga walisema kikulacho ki nguoni mwako. UPDATE Tulisema na yameshaanza kutokea -Gwajima anamtunishia msuli Mwenyekiti wake wa CCM -Pole pole na...
  3. Rais Samia, chukua tahadhari kuwa "Ukicheka na nyani utavuna mabua"

    Usipende sana mama kufanya jambo ili kuwafurahisha hawa jamaa utaambulia failure. Tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu ndani yao hakuna nia njema. Baba yao ni baba wa uongo kama inavyojulikana. Lengo ni kuangusha state kwa gharama yoyote. Alitokea nabii mmoja katika roho ya Elia, huyo alikuwa...
  4. Mama ua nyani usiangalie usoni

    Asaalam Mama. Mama kuna watu tulisema tangu mwanzo sio wakuwabeba lakini ume wabeba ukasema mkubwa hakosei. Tena ukampa mkoba akushikie na akupangie matumizi, mtu carwad asiyeeleweka msimamo wake, Wala taaluma yake. Mama Leo umeona alivyomtukana mtangulizi wako na kukukebehi hadharani kabisa...
  5. J

    Simba imefanikiwa kupata nyani (seng'wa) mwenye vidole 5 mguu wa kulia na 4 mguu wa kushoto milima ya Uluguru, Simba 5 Kaizer Chiefs 0!

    Game imeisha Simba inaelekea nusu fainali kwa mbinu ile ile waliyoitumia kuwatoa Mufulira Wonders ya Zambia kwenye mtanange unaofanana kwa 100% na huu. Hatimaye Simba wamempata nyani kama yule wa wakati ule aliyefanikisha ushindi ule. Safari hii shukrani za pekee zimwendee babu tale wa...
  6. M

    Janja ya nyani: Tuoleane, Ukioa kwangu sitakutoza mahari! Huku nikijua kabisa sina mabinti wa kutosha kuozesha maana wengi walishaolewa

    Haya makubaliano ya kuoleana baina ya jamii mbili bila kutozana mahari tuyamulike! Jamii moja mabinti zake wengi walishaolewa tayari! Ndiyo inakuwa ya kwanza kupendekeza mambo ya kuoleana bila kulipishana mahari! Jamii nyingine bado ina mabinti wengi ambao hawajaolewa. Japo kila jamii inapewa...
  7. Mbowe akubaliana na Nyani Ngabu?

    Hey, ni mimi na si mwingine ambaye nishasema mara nyingi sana humu kuwa, ingekuwa ni juu yangu mimi basi nisingeshiriki chaguzi zozote zile zifanyikazo Tanzania chini ya usimamizi na uendeshwaji wa tume ya taifa ya uchaguzi yenye muundo iliyonayo sasa hivi ambapo kimsingi huwa inaundwa na...
  8. Pendekezo: Dkt. Hassan Abassi afukuzwe kazi kwa kiburi cha kukataa amri halali ya Rais wa Nchi

    Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu...
  9. J

    Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

    Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana. Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani? Je, ni Ufipa? Na kwanini mwakani watakosa chakula? Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe. Maendeleo hayana...
  10. HIVI HAWA JAMAA WANA AKILI KWELI KUMPA NYANI BUNDUKI (AK-47) ???

    Tangu huu mwaka uanze nadhani hakuna siku niliyocheka kama leo aisee. Sijui ni kweli au uongo, lakini hawa jamaa wana mashudu kichwani. Hivi kweli unampaje nyani bunduki ya AK-47 ambayo iko loaded ?? Happy Holidays Good People....
  11. J

    Spika wa Bunge la JMT siyo lazima awe Mbunge. Mnaoshangilia anguko la Makonda angalieni furaha ya nyani isije kuishia jangwani

    Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi. Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza. So wale watani zangu wa Ufipa...
  12. Mtumishi wa Mungu, Bagonza kahamasisha maandamano ni dhambi kama dhambi nyingine

    Baba Askofu Rev. Dr. Benson Bagonza (PhD) Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, katika makala yako umezungumzia namna ambavyo mtu anamfanyia mtu mwingine jambo na kisha kutangaza adharani kuwa amemfanyia kitu fulani. Bila shaka uliilenga serikali ya awamu ya tano kwa kutangaza maendeleo iliyowaletea...
  13. India : Taharuki baada ya Nyani kuiba sampuli za damu za waonjwa wa COVID19 kuzitafuna na kukimbia

    Hali ya taharuki imetokea katika mji wa Meerut baada ya kundi la nyani kumvamia mfanyakazi wa maabara aliyekuwa amebeba sampuli za damu za wagonjwa wa COVID-19. Nyani hao walikimbia baada ya kuiba sampuli tatu na kuzitafuna wakiwa juu ya mti. Tukio hili lilirekodiwa na camera ikimuonyesha...
  14. R

    Nyani haoni....., kama analiona, anajifanya kutoliona: Mrema amuonya Mbatia asivuruge upinzani

    Kweli Mrema ni wa kumuonya Mbatia kuvuruga upinzani au ni janja yake kwa vile amemchukulia wanachama. Nadhani yeye ndiye anaongoza kwa usaliti wa Upinzani nchini! Kumbe mkuki kwa nguruwe! Kweli nyani ni nyani!
  15. M

    Mkuu wa WHO aliyepondwa na Trump kuwatetea wachina aitwa Nyani na wachina wenyewe

    Inasikitisha sana jinsi wachina sasa hivi wanavyotunyanyasa eti watu weusi tunasambaza maambukizi ya Corona. Licha ya yote Inahuzunisha zaidi hadi kumuita nyani na kumdhiahaki kwa rangi yake mkuu wa WHO raia wa Ethiopia Tedro Adhanon Gebreyesus licha ya kuitetea serikali ya China kwenye...
  16. M

    Harrier Tako la Nyani Linahitajika

    Wadau, kuna mdau anahitaji gari tajwa hapo juu.. Iwe haijasafiri Sana Haijapata ajali na kurudiwa rangi Iwe na cc 2.4 Iwe na hali nzuri Iwe namba D Bajeti yake ni tshs 16 m Karibuni..
  17. Je, umewahi kuona Nyani na Simba pamoja?

    Afisa mmoja wa utalii nchini Afriika Kusini ambaye alifanikiwa kupata picha isio ya kawaida ya nyani akimbeba mwana wa simba katika mbuga ya kitaifa ya wanyamapori ya Kruger, amesema kwamba hajawaona tena wanyama hao tangu alipowapiga picha hiyo wiki iliopita. Katika taarifa kwa BBC, mkurugenzi...
  18. Mabeberu ni Mabeberu tu hata iweje ni Mabeberu na ni Manyonyaji hatari mioyo yao inatuona sisi nyani na Midomo yao inatuhurumia kinafiki

    Hawa watu hawapendi sisi tule bata wanaamini sisi ni nyani wa kula mizizi tu wanaamini raha so Dunia wameumbiwa wao Trump alivyotuita Choo hatukutaka kusikia ukweli wa vile moyo wake usemavyo tukamlazikisha atamke unafiki wa mdomo wetu Vijana wajinga mbumbumbu nimewashangaa kujadili kauli za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…