nyani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PLOII

    JamiiForums Tanzania Kama hii ndio simba tulioitaka bora wazee

    Habari zenu wana sport wa Jukwaa hili, Kama wote tunavyojua Jana Timu yenye Jina na sifa kubwa ndani ya bara la Afrika ilikipiga pale Libya. Kiukweli Jana Timu ilicheza vibaya poor control skills, dribbling, marking & concentration. Timu ilikuwa down sana hamna pace, no clear target &...
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki latoa tahadhari ya homa ya nyani

    Barua hii hapa USSR
  3. L

    JamiiForums Tanzania Enyi Wanyamwezi wa Tabora United Simba ya fungua dimba imewakosa sana mmepigwa kono la nyani jumapili

    Nawaasa washabiki na wanachama wa Simba, suala la usajili limekwisha na sasa tuunge mkono chama letu. Simba itakaa sawa baada ya mechi tano au sita, huyo Mukwala mnayedhani sio striker atawanyamazisha muda c mrefu. Kama wewe umekuja kwenye football kama Baba levo au Mwijaku tafadhali jitoe...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kula Masongwe Kama Nyani Uepuke Magonjwa Kibao!

    Denis Mpagaze 1. Haya matunda watu wa Songwe, Mbeya, Iringa na Njombe wanayaita masongwe; wahaya, wanyambo na waganda wanayaita tuntunu! 2. Waha, warundi na wanyarwanda wanayaita intumbaswa! Kongo wanayaita mbumba, wasangu wanayaita manjangu, wakurya na wazanaki wanayaita ichintonono! 3. Kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania UKICHEKA NA NYANI UTAVUNA MABUA

    Ndugu zangu nawajulia Hali Kwa jina la mwenyezimungu mwingi wa Rehema na mwenyewingi wa kusamehe. Nilitembelea nchi moja ya east African ambako kuna kiongozi mkubwa wa Taifa Hilo alifariki, hivyo kulazimika makamu wake kuchukua kijiti cha uongozi. Yule makamu wakati anaingia madarakani...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi mchina alivyopiga pesa nyingi Sana Kwa biashara ya Nyani

    Hapo Zaman za kale kulikuwa na mchina katika kijijin kimoja kilichojulikana Kwa jina la Ngwa' mchina huyo aliamua kuwekeza kwa Kununua nyani mmoja Kwa shilingi 200, alitembelea Maeneo mengi kijijini na Wananchi walimuuzia nyani Kwa shilingi Mia 200, na hadi nyani waliandimika na yeye alivyoona...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Serikali ina cheka na nyani: Wizi wa kimtandao Arusha inaelekea ni nchi nzima!

    Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya. Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi? Yes, serikali inaibiwa kibwege na wateule walewale wa Rais. Tumesikia kuwa kule Mbeya mtandao kama huo ulikuwepo. Hapo tusimung'unye...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nairobi Kenya: Mzungu apigwa kipigo Cha mbwa Koko na Security wa Petrol Station baada ya kumwita Nyani mhudumu wa kuuza mafuta

    Shalom, Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo huku ikionekana huyu mzungu ni Baharia wa kugaurd ila bahati mbaya alizidiwa na ukubwa na uzito wa...
  9. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili ya Dodoma jiji kuupokea mkono wa nyani

    Eid fitriiii JF leo ndiyo timu ya wananchi inashuka dimbani kuyaondoa machungu ya dhulma hivyo Nawaambia Dodoma na simba wasishangae vipigo watakavyokutana navyo. NAWASILISHA
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Tumecheka sana na nyani, na sasa tunavuna mabua

    Asalaam Aleykum wana jamvi. Waswahili walisema, ukicheka nyani, utavuna mabua. Hiki ndicho kinachotokea Tanzania. Reports nyingi za CAG zinazoonesha "nyani" wanaolitesa Taifa hili zimekuwa zinapuuzwa kila mwaka, na matokeo yake ndo haya tunayoyaona sasa. Sauti za Watanzania wengi wazalendo...
  11. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Mtu mpaka unakuja kuitwa muheshimiwa maghayo au Nyani Ngabu(PhD) unapitia Mengi sana

  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Kijana mweusi aigiza kuwa nyani mbele ya Wazungu

    Kumekuwa na mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, na moja kati ya maneno yanayoashiria ubaguzi ni mtu mweusi kuitwa Nyani. Kijana huyu ameonekana kwenye fukwe akiigiza na kufanya matendo ya mnyama Nyani hali iliyopelekea baadhi ya wazungu kucheka. ANGALIA VIDEO HAPA Unahisi kijana huyu...
  13. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania Picha: Debate Nyani Ngabu Vs Makonda

    ??
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

    Paul Makonda kadai anataka mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Wao wamemjibu kwa kuweka masharti ili mdahalo huo ufanyike. Here I come. Mbeba maboksi niliyeishia kidato cha nne na kufeli. Siweki masharti yoyote yale. Mimi na yeye tufanye mdahalo kuhusu mada yoyote ile…katiba mpya, ufisadi, global...
  15. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Nyani Ngabu yuko wapi?

    Huyu jamaa siku hizi yuko wapi?? Mzee wa mayai ya malkia, ni wachache sana humu wanaofikia akili ya yule jamaa. Super Genius. Wengine nao wamekuja humu wanajifanya fanya wachambuzi uchwara lakini wapi, nikiwaangalia hawafikii uzani wa Nyani Ngabu katika mizani ya kiakili. Nafikiri atakuwa...
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nje ya Tanzania hakuna anayejua matokeo ya Simba vs Yanga

    Niliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu wakanibishia. Kuna kaclip kanasambaa kakionyesha Rais wa Yanga akiwa South Africa akisambaza umbea kwa Rais...
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Rombo wanaume walalamika madume ya nyani kushika shika wake zao

    Wanaume wilaya ya Rombo walalamika madume ya nyani kushika shika wake zao bila ridhaa yao. Wakuu sikilizeni wenyewe. ===== Wanaume wanaoishi pembezoni mwa Mto Mlembea, Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro wamelalamika wake zao kuvamiwa na nyani wa kiume na wakati mwingine kuhatarisha usalama...
  18. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Ireland bado kuna ubaguzi wa rangi

    Racial abuse in gymnastics: Irish body apologises after racism controversy involving young gymnast AFP "We would like to unreservedly apologise to the gymnast and her family for the upset that has been caused by the incident,” said a statement by Gymnastic Ireland (GI) posted on its website...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ewe askari soma hii na uielewe

  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

    Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye anatuhumiwa kuimba wimbo unaojulikana kwa jina la “Tanzania Inaelekea Wapi?” wenye maudhui ya uchochezi na kisha kuurusha katika Mitandao ya Kijamii pamoja na YouTube. Kamanda wa Polisi Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema Mtuhumiwa...
Back
Top Bottom