nyani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwimbaji wa Wimbo wa "Mnatuona Nyani" afikishwa Mahakamani, tuhuma za Uchochezi zayeyuka yawa kesi ya kusambaza Uongo

    Kwa mujibu wa Wakili Jebra Kambole ambaye yuko upande wa utetezi, amesema Watuhumiwa wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini humo kwaajili ya kusomewa Mashtaka yanayowakabili. Sifa Bujune, Mkazi wa Isyesye anashikiliwa tangu Septemba 13, 2023 pamoja na Mtayarishaji wa muziki aitwaye...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Viongozi gani hao waliomuona “Dada wa Watu Nyani” na waimbaji wenzake?

    Habari za jumapili! Leo nimebahatika kuusikia wimbo wa mwanadada mmoja ambaye nimemfahamu kupitia wimbo huo. "Mnatuona Nyani" ndio jina la wimbo huo. Huyo dada amelalama, amelalamika, ametoa dukuduku lake, ametoa yamoyoni mwake, ametoa yanayomsibu, ametoa mtazamo wake dhidi ya wale...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kina Mbarikiwa Mwakupesile "Tatizo Wanatuona Nyani" umezua songombingo aka patashika nguo kuchanika!

    Wana jamvi, Ni matumaini yangu wote hamjambo. Lengo la hii thread ni kuhusiana na wimbo wa washiriki wa kanisa la Mbarikiwa Mwakipesile wa kanisa la Kikosi cha Injili huko Mbeya. Kibao hiki kilicholeta shida kinaenda kwa jina "Tatizo wanatuona nyani" ambao ndani yake wamejaribu kuelezea...
  4. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Bandari na Vita vya Misemo: Kupanguliwa kwa Mipango na Uongozi

    Habari zenu wanaJF wenzangu? Kwa wale tuliokuwa tunafuatilia methali, na misemo mbali mbali ya wahenga shuleni. Bila shaka mnaukumbuka msemo huu unaosema kuwa siku ya kufa nyani basi miti yote atakayoshika itamtereza. Msemo huu kwa wale vichwa nazi mnaweza kuuchukulia poa, lkn kiuhalisia una...
  5. tpaul

    JamiiForums Tanzania Nyani mwenye tabia kama za CCM huyu hapa!

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya kutafakari tabia za huyu nyani na pia kutafakari jinsi mafisadi wa CCM wanavyouza rasilimali za taifa kwa waarabu na mabeberu bila huruma, nimejiridhisha pasi na shaka kwamba tabia za mafisadi wa CCM zinawiana na tabia za huyu nyani...
  6. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ni vyema mafundisho kama ya binadamu wa kwanza alitokana na nyani yaondolewe kwenye mitaala yetu ya elimu kwasababu yanachochea ubaguzi wa rangi

    NI VYEMA MAFUNDISHO KAMA YA BINADAMU WA KWANZA ALITOKANA NA NYANI YAONDOLEWE KWENYE MITAALA YETU YA ELIMU KWASABABU YANACHOCHEA UBAGUZI WA RANGI KWA WATU WEUSI UTANGULIZI Ubaguzi wa rangi, kwa maana fupi ni hali ya kumpagua binadamu mwenzio kwasababu ya rangi yake ya ngozi. ambapo kwa mara...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Balozi wa Romania nchini Kenya, awafananisha Wakenya na nyani mkutanoni

    Romania kumuondoa balozi wake nchini Kenya kwa matamshi yake ya ubaguzi Matamshi ya balozi huyo kuwaita waafrika Nyani yameshutumiwa vikali Afisa mmoja wa Kenya anaelezea majaribio ya ubalozi wa Romania kuficha tukio hilo kama ‘fedheha’. Photo: TRT Afrika Katika taarifa iliyotumwa kwa vyombo...
  8. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maadili ya Uongozi: Hadithi ya Simba Mfalme na Nyani Mjanja

    MAADILI YA UONGOZI: HADITHI YA SIMBA MFALME NA NYANI MJANJA Imeandikwa na: Mwl.RCT Katika hadithi hii, nataka kufikisha ujumbe kuhusu maadili ya uongozi na jinsi yanavyoathiri jamii. Hadithi yangu inahusu simba, mfalme wa wanyama, na nyani, mshauri wake. Hadithi yangu inatokea katika hifadhi ya...
  9. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Homa ya Nyani (Mpox) sio tena Janga la Dharura ya Kimataifa

    Shirika la Afya Duniani (WHO) leo Mei 11, 2023 limetangaza rasmi kuwa Ugonjwa wa Homa ya Nyani (Mpox) sio tena janga la Dharura ya Kimataifa. Taarifa hii inakuja siku moja baada ya kamati ya Dharura ya ugonjwa huo kuketi na kutoa tathimini kuwa kwa sasa ugonjwa huo haustahili tena kuwa...
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Yesu Kubambikiwa alitakasa vyakula vyote ina maana alimkaidi Mungu alietuchagulia vya kula? Ni ruksa kula nzi, paka, mbwa, chura, kinyonga, nyoka?

    Mungu alishaweka sheria tule vyakula vifuatavyo Wanyama - wawe wenye kwato + miguu ya kupasuka kati + mwenye kucheua walioruhusiwa: Ng;ombe, mbuzi, kondoo, swala, nyati, n.k wasioruhusiwa: Nguruwe, Kobe, punda, mbwa, nyau, panya, n.k. Samaki - wawe na magamba + mapazi walioruhusiwa...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa FIFA imeifungia Yanga kusajili madirisha matatu kutokana na deni la Kocha Luc Aymael

    Kwa mujibu wa @FARPostZA, FIFA imeifungia klabu ya Yanga kusajili wachezaji kwa madirisha matatu (3) mfululizo baada ya kushindwa kumlipa fidia ya kuvunja mkataba aliyewahi kuwa Kocha wao Luc Aymael. Kocha huyo raia wa Ubelgiji ambaye pia amewahi kuzifundisha Free State Stars na Polokwane City...
  12. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wakristo wasio Wasabato wanaruhusiwa kula paka, panya, kobe, kinyonga, kenge, kunguru, nyani, n.k?

    Kwa kuwa sisi ni wakristo ni kwamba sisi tunafata nyayo za Yesu Kristo. Ni vipi kitu ambacho hakusema Yesu Kristo kinawekewa mabano ya kuweka uchambuzi wa maono ya waliotafsiri biblia? mbaya zaidi kuna biblia hata hayo mabano hayamo, uchambuzi umeunganishwa kuonekana ni maandiko matakatifu...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini ya Tsh. Milioni 345 kutoka FIFA, yatakiwa kumlipa Kocha Luc Eymael

    Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu. Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3! Yanga instructed...
  14. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania WHO: Hatushangai kuona maambukizi ya kwanza ya homa ya nyani (Monkeypox) kutoka kwa binadamu kwenda kwa mbwa

    Shirika la Afya Ulimwenguni limesema kuwa halijashangazwa na ripoti ya kwanza iliyotolewa hivi karibuni inayoonesha kuwa mbwa ameambukizwa ugonjwa wa homa ya nyani kutoka kwa binadamu aliyekuwa anaishi naye. Kwa mujibu wa Dr. Rosamund Lewis, kiongozi wa jopo linalofuatilia kwa ukaribu ugonjwa...
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali: Hakuna mgonjwa wa Homa ya Nyani nchini

    Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa Mpaka sasa hakuna mgonjwa aliyetambulika na kuthibitika kuwa na ugonjwa homa ya nyani (Monkeypox) hapa nchini. Kauli hiyo imebainishwa na Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe leo Mkoani Manyara wakati akitoa taarfa kuhusu Ugonjwa wa Homa ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Nyani wamnyakua mtoto mikononi mwa mama yake, afariki dunia

    Kigoma. Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wakati akimnyonyesha na kutokomea naye porini ambapo baadaye mtoto huyo alifariki dunia. Akizungumza leo Jumatatu Juni 20, 2022 Kamanda wa...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mlima nyani uko katika milima ya Usambara

    Milima nyani
  18. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Harrier new model (tako la nyani) kwa 21mil only

    Jichukulie Hii Gari kwa Bei ya January Gari ni 6 cylinder Year of made: 2006 Mahali iliko: Dar Mileage: 120,000km haizidi hapo Bei: 21 Mil Negotiable (inazungumzika) Inahitaji Marekebisho kidogo MAREKEBISHO YENYEWE Bushes Baadhi. Steering Rack ibadilishwe. Shoch up za nyuma...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kupiga & kugombeza watoto kwasababu ya uwezo shuleni ni ujinga

    A. KUPIGA & KUGOMBEZA WATOTO KWASABABU YA UWEZO SHULENI NI UJINGA Unakuta mtoto kila siku anaenda shuleni, anahudhuria kila kipindi, anafanya home work, n.k. ya nini kumchapa au kumgombeza huyu pale anaposhika namba za kawaida au chini darasani. nimesema namba kwasababu ndicho kigezo ambacho...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Je, nyani jike au sokwe jike wanapata hedhi?

    Naomba nifahamishwe Kama Kuna anayejua jibu la swali langu maana nyani jike au sokwe wapo Kama sisi.
Back
Top Bottom