Nyani haoni....., kama analiona, anajifanya kutoliona: Mrema amuonya Mbatia asivuruge upinzani

Kweli Mrema ni wa kumuonya Mbatia kuvuruga upinzani au ni janja yake kwa vile amemchukulia wanachama. nadhani yeye ndiye anaongoza kwa usaliti wa Upinzani nchini!
Kumbe mkuki kwa nguruwe! Kweli Nyani ni nyani!!!!!!!
Tanzania hakuna upinzani stable ila kuna upinzani maslahi.
 
Kweli Mrema ni wa kumuonya Mbatia kuvuruga upinzani au ni janja yake kwa vile amemchukulia wanachama. nadhani yeye ndiye anaongoza kwa usaliti wa Upinzani nchini!
Kumbe mkuki kwa nguruwe! Kweli Nyani ni nyani!!!!!!!
Hapo ni kondomu iliyotumika na inayogonja kutumika at the end zitatupwa chooni
 
nyani haoni kundi lake hao watu wawili mbatia na kiraracha hawaoni makundi yao.
 
:D:DSema unamsingizia... yaani Mrema huyu huyu ndie mwenye uchungu na upinzani... yaani Augustino Lyatonga Mrema, aliyewapata kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Naibu Waziri Mkuu, au kuna Mrema mwingine?!

Na pale COVID-19 ikigusa tu, ndani ya dakika 5 anaanza kuonesha dalili zote, hadi kesho tukiamka tunaongelea "Bwana Alitoa, na Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe; Ameeeen"
 
Haya bwashee!
giphy-8.gif

Chill man
 
Huwezi toa jibu kwa hisia, unafeli sana kama jamaa wa Chadema.
Kwasababu hicho kitengo hakiweki mambo yake wazi kwa hiyo tunatumia instinct kuwang'amua

Mimi ni mwanaChadema naweka wazi na sifichi niko huru sana kuliko nilipokuwa ccm
 
Back
Top Bottom