nyakati

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kurudisha kodi ya kichwa nyakati hizi za ulimwengu ulioendelea ni aibu kubwa. Mwigulu Nchemba kuwa na aibu. Mbona kuna vyanzo mbadala vingi

    Kwanza ieleweke wazi kuwa kodi ya itayolipwa na wananchi kupitia manunuzi ya vocha za simu ni sawa na kodi ya kichwa waliokuwa wanatoza wakoloni kisha tukairithi na baadae kuondolewa miaka tisini baada ya kuwa ni kodi inayodhalilisha watu. Kwamba ukiongeza salio unakatwa pesa ili kuchangia...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nani anajua Taifa linapita nyakati gani kwa sasa?

    Wengi tunasikia nakuona mengi katika giza na nuru lakini ni nani ajuaye nyakati Taifa linapita. Wengi hatujuwi ila wakati ni darasa. Huenda kukawa na nyakati ngumu katika Utawala wa sasa na hii nikutokana na kiti kutamani kukaa kwenye kiti Sasa hili limezuwa sintofahamu hasa ikizingatiwa...
  3. boniuso

    JamiiForums Tanzania Nyakati ngumu huwa kwajiili ya kutufunza na nyakati za furaha ni kwaajili ya kumbukumbu nzuri za maana ya kuishi

    UKIBADILI NAMNA UNAVYO TAZAMA VITU NA VITU UNAVYOTAZAMA HUBADILIKA Kinachotokea sio tatizo ila tafsiri unayoweka juu yake ndio inaweza kuuwa tatizo Kikwazo chochote kinachotokea huwa kinakuja kuboresha sehemu ya maisha yetu Usitazame vikwazo kwa ubaya wake tazama vikwazo kwa mazuri yake...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awekeze kwenye utawala wa sheria, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi

    La muhimu ni kwa Rais Samia kwa hii miaka minne, au mitatu, aipatie Tanzania katiba mpya. Asijikweze sana kutaka kugombea hapo 2025, hilo si lake. Awaachie wenyewe. Zaidi ajikite kwenye kuwekeza utawala wa sheria, Katiba mpya na tume huru ya Taifa ya Uchaguzi, mambo matatu hayo yatamuweka...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe historia ya TANU kwa picha na maelezo ya nyakati kutoka Maktaba ya Ali Msham

    PICHA ADIMU ZA TANU, JULIUS NYERERE NA WAZALENDO WALIOSAHAULIKA KATIKA HISTORIA YA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA 1954 - 1961 Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania May 02, 2015 1 Abdulrahman Ali Msham Akiwa Amesimama Lilipokuwa Tawi la TANU Alilofungua Marehemu Baba Yake Ali Msham...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama Wabunge wana Magari yao ya 'Kifahari' unadhani ni kwanini hupenda Kutumia 'Bodaboda' na 'Bajaji' tena Nyakati za Usiku tu wakiwa Dodoma?

    Hatimaye Spika Ndugai Uvumilivu umemshinda na kaamua Kuwaonya Wabunge wanaopenda Kupanda 'Bodaboda' na 'Bajaji' wakati wana Magari yao tena ya 'Kifahari' kabisa kuwa yakiwakuta ya kuwakuta Wasilaumu. Chanzo: Daily News Ukurasa wa Pili Na nyie Wabunge ifike muda mjitathmini hivi Magari yenu...
  7. sammosses

    JamiiForums Tanzania R.I.P Rais Magufuli; Ni nyakati mpya na kurasa mpya kwa watanzania

    Mwenyezi Mungu akurehemu katika Safari yako JPM, sisi ni wake na hakika kwake ni marejeo. Umetangulia hatujui inayo fuata ni zamu ya nani kati yangu Mimi na wewe unaye soma mada hii,ila inshallah Allah atufanyie wepesi katika Safari yetu tuondokane na ujasiri na kibri usio na tija kwa jamii...
  8. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Ninachokumbuka kuhusu Nyakati za John Pombe Magufuli

    Habari na poleni sana kwa msiba. Niseme tu kwamba wengi wanaweza kusema mengi kuhusu Msiba huu ila mimi naweza kusema Jambo Moja. Maisha ni zawadi, tuyaenzi. ujifunze kutoka katika maisha ya Magufuli; Maisha ambayo yaliacha alama. Mwaka 2010 mara baada ya uchaguzi mama yangu mzazi aliniuliza...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo watanzania masikini wanavyotumika nyakati za uchaguzi, Je baada ya hapo wanakumbukwa?

    Tumeona miaka yote wananchi wa kawaida wakitumika kama ngazi wakati wa kampeni za uchaguzi, wamekuwa wakivishwa fulana au vitambaa vya kichwani huku wengine wakisimika bendera za vyama vyao mbele ya nyumba zao. Sasa swali ni hili, baada ya chaguzi hizo kufanyika watu hawa hukumbukwa?
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho Kuukubali 'Unafiki' huu wa 'Kisiasa' hasa katika nyakati hizi za 'Kampeni' za lala salama nchini

    TAARIFA MPYA: Mhusika Mkuu wa uharibifu uliotokea kwenye studio za prodyuza @S2kizzy ameshakamatwa na wenzake 17 wanatafutwa. Aidha, wafanyakazi wa studio hiyo waliokuwa wameshikiliwa na polisi wameachiwa. Tunaendelea kuhakikisha haki inatendeka. msemajimkuuwaserikali Nadhani kama kuna tukio...
  11. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wasipojua nyakati wanaweza kuchelewa kugundua wanaongozwa na siasa na sio Bibilia au Msahafu

    Trend inaonyesha licha ya kuwepo maagizo ya kidini kusambaza imani zao. Bado wanasiasa wa ulaya watafuta Mali wakiarabu waliwatangulia wana dini kusambaa duniani. Yaani walianza wapererezi wamisionary nao wakafuata. Wengi walijikuta wanasambaza dini kisiasa. Wanasiasa walipoanza kuhimiza Elimu...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe, soma alama za nyakati

    Siasa ni mchezo mmoja wa ajabu. Siasa haitaki hasira wala kuilazimisha. Taabu anayopata Mh Magufuli kujinadi sasa hivi haikutegemewa, pamoja na mazuri mengi aliyofanya. Ndugu yetu Membe kaingia siasa kwa mdundiko wa wengi. Wapiga mdundiko walipotuliza ngoma sasa ndo tunaona mambo dhahiri...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amefuta mauaji ya Albino nyakati za uchaguzi

    Ukweli lazima usemwe na utasimama. Kati ya mambo muhimu ambayo Watanzania wanapata moyo na hamu ya kuendelea kumuunga mkono Rais John Magufuli ni pamoja na hili la kuondoa uhalifu na dhulma dhidi ya albino. Kwa miaka mingi na kwa chaguzi zaidi ya tatu Tanzania ilishuhudia mauaji ya albino au...
  14. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msitumie CORONA kama moja ya ajenda ya kwenda Ikulu. Someni alama za nyakati. Kwa hoja ya CORONA Magufuli ni Shujaa kwa Watanzania walio wengi

    Mods naomba msiunganishe Uzi huu ubaki kama ulivyo. Natumaini hamjambo wana JF wenzangu. Nilirudi kwenye hoja yangu ya msingi. Ni dhahiri kuwa kutokana na janga lililoikumba dunia na hatua zilizochukuliwa na kila nchi, hapa kwetu Tanzania hatua zilizochukuliwa na Rais wetu zimeonekana...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa ninaowaongelea, waliokomaa na wanaosoma alama za nyakati ni kama hawa ambapo hapa kwetu hawapo na kama wapo, basi ni wachache sana

    Senator Bernie Sanders of Vermont announced that he would exit the presidential race, saying he no longer saw a realistic path to the Democratic nomination. I cannot in good conscience continue to mount a campaign that cannot win and which would interfere with the important work required of all...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna kauli huwa 'zinanikwaza' sana tu Nyakati za Misiba mbalimbali

    Utasikia. Namuona Mjane akiwa katika Huzuni kabisa. Hivi 'Logically' tu kuna Mtu ambaye Akifiwa huwa anakuwa katika hali ya Furaha na Kutabasamu? Hili ndilo Kaburi ambalo Marehemu atazikwa. Hivi 'Logically' tu kuna Marehemu yoyote ambaye akifa / akifariki huwa anazikwa katika Pipa? Hebu...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki analichokifanya Freeman Mbowe ameshindwa tu kuwa muwazi kama TLP

    Habari wanaJamiiForums, Siasa nzuri pale mmoja wao akiwahi kusoma akama za nyakati halisi. Na hili nimesisitiza sana huko nyuma Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kama atasoma nyakati vyema apumzike kugombea uraisi Else atakutana na aibu kubwa kilichofanyika ni sawa na kusema CHADEMA...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wanaCCM mtandao waliokuwa wanakitishia Chama nyakati za uchaguzi imekoma!

    Wapo baadhi ya wanaccm waliokuwa wanajiona ni wanamtandao na wakiamua kuleta taharuki ndani ya chama katika ngazi mbalimbali hasa nyakati za uchaguzi. Zama hizo zimeshapita kwani CCM ilishaonesha Umma kuwa inaweza kumshughulikia mwanaCCM yoyote iwapo hatozingatia maadili ya Chama. Wapo baadhi...
  19. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Paka wengi wa Uswahilini hulia kama Watoto Wachanga (Wadogo) tena kwa Nyakati za Usiku tu pekee huku Wakiwa Madirishani kwa Watu?

    Kuna mahala fulani nilihamia Uswahilini na Siku moja nikasikia Kilio kama cha Mtoto Mdogo anamlilia Mama yake na nilipotoka zangu tu nje kwa nia njema ya kwenda Kumuangalia huyo Mtoto nikihisi ametelekezwa na Mama yake nikaishia kukutana na Paka Wawili wakilia hivyo tena kwa Sauti ya pamoja na...
  20. samkul

    JamiiForums Tanzania Kupaa kwa usingizi nyakati za usiku

    Wadau nini chaweza kuwa chanzo halisi cha kupaa kwa usingizi nyakati za usiku hususani kuanzia mida ya saa saba na kushindwa kabisa kupata usingizi tena.😴😴😴😴
Back
Top Bottom