nyakati

  1. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ni muda wa kuishi kama nyakati za Adam na Hawa

    Unatafuta mrembo mzuri humu jf alafu mnatafuta pori huko msituni ambapo hakuna binadamu yeyote zaidi ya wanyama na ndege, mnaji-lock down wenyewe hata kwa mwaka mzima, huku mkila mizizi, matunda, majani na kufurahia uumbaji. Huko hakuna kuvaa mask, hakuna hofu ya maambukizi n.k Naona itakuwa...
  2. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya tarehe, miaka, na nyakati katika jamii mbali mbali shida ni nini?

    Habari wana JF na poleni sana na ugonjwa huu wa corona, hakika tutavuka kwa kudra za Mola. Kama mada inavyojieleza nimetafakari sana nimejiuliza maswali mengi kwanini tarehe, miaka na nyakati zinatofautiana kutoka jamii moja hadi nyingine. Wachina wana mwaka wao na mwaka mpya wao, waislam wanazo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Nyakati: Mbatia, Prof Lipumba, Maalim Seif na Mrema watarejea CCM kabla ya Uchaguzi Mkuu. CHADEMA itabaki kwa mzee Mtei

    Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi. Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo? Halafu iangalie vizuri historia ya Prof...
  4. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mambosasa soma alama za nyakati

    Tumeiona taarifa ya Secretary of State wa USA, Mike Pompeo akithibitisha kuwa Paul Christian Makonda amekuwa blacklisted kuingia USA. Anyway unaweza ukapuuza kuwa mbona haendagi mara kwa mara na akiwa na shida atakwenda Ulaya au China. Nina ushauri kwa RPC wa Kanda Maalum Lazaro Mambosasa. Kwa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tunaopitia kwenye nyakati ngumu za kiuchumi na kimaisha, tutiane moyo!

    Hali (situations) zinaniambia nimekwishafeli, naona km situations zinanipa both public and private insults. Real insults and I have no power to argue. Nimebaki nainamisha kichwa chini tu na kusikilizia jinsi hali inavyouma. Mambo yanakwama mbele ya uso wangu, mbele ya macho yangu naona...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wawili (2) walizaliwa hapa Tanganyika/Tanzania nyakati zisizo sahihi kwao!

    1. Mwl. Julius Kambarage Nyerere Ukitazama akili, ushawishi na maarifa aliyokuwa nayo ingepaswa azaliwe kipindi ambacho nchi inao wasomi wa kutosha kumpa changamoto. Waliokuwepo wachache kama akina Hayati Kambona lakini kwa nchi kutokuwa na wasomi akina Hayati Kambona waliishia kuonwa wasaliti...
  7. S

    JamiiForums Tanzania "Hakuna umoja wa wenye njaa". Kwa nyakati hizi nje ya Mbowe, Sumaye angefaa sana kuwa m/kiti CHADEMA

    Kuna usemi kwamba "hakuna umoja wa wenye njaa". Usemi huu unamaanisha kwamba mtu mwenye chakula akipita karibu na watu ambao wako pamoja lkn wana njaa watasambaratika kwa kasi ya kimbunga. CHADEMA ni umoja wa watu wa wenye njaa, maana hakuna nafasi za uteuzi/vyeo. Wakati ambapo CCM kuna nafasi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Katika nyakati kama hizi tuliwahitaji sana akina Tundu Antipas Lisu na Mtemi Andrew Chenge baada ya Rev Mtikila kutwaliwa

    Huu ubishi wa uhalali wa kustaafu kwa CAG Assad ungeweza kumalizwa kwa hoja za kisomi kabisa kutoka kwa nguli hawa wawili wa sheria nchini Tundu Antipas Lisu na Mtemi Andrew Chenge. Hawa wanasheria wengine waliobaki si wabobezi na wengine wanaishi kwa kukariri vifungu badala ya kujenga hoja...
  9. English Kona

    JamiiForums Tanzania Jifunze TENSES hapa

    Habari wakuu ! Natumaini wote ni wazima wa afya , kwa upande wangu niko poa . Sasa twende moja kwa moja kwenye mada yetu . g Tenses huelezea wakati au muda tendo linafanyika , lilifanyika au litafanyika . Katika kiingereza kuna tenses ( nyakati ) kuu tatu , ambazo ni : The present tense (...
Back
Top Bottom