Kuna kauli huwa 'zinanikwaza' sana tu Nyakati za Misiba mbalimbali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,242
110,762
Utasikia.

Namuona Mjane akiwa katika Huzuni kabisa. Hivi 'Logically' tu kuna Mtu ambaye Akifiwa huwa anakuwa katika hali ya Furaha na Kutabasamu?

Hili ndilo Kaburi ambalo Marehemu atazikwa. Hivi 'Logically' tu kuna Marehemu yoyote ambaye akifa / akifariki huwa anazikwa katika Pipa?

Hebu badilikeni na tupeni Mambo mengine ya Muhimu Kwetu na siyo haya ambayo ni ' very obvious ' kwani mnatukera kama hata siyo Kutuboa!!!
 
Back
Top Bottom