no reforms no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: 'No reforms no Election' si hoja ya kisiasa ni kuvunja katiba

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kauli ya “No Reforms No Election” inayopigiwa chapuo na baadhi ya vyama vya upinzani si hoja ya kisiasa, bali ni wito wa makusudi wa kuvuruga amani na kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza...
  2. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Hii No reforms no election siokwa CHADEMA wala CUF Bali ni kwa ajili ya kesho iliyo bora kwa Watanzania

    Hatupigi kura. Nasema tena hatupigi kura.. Oiii wazee miaka 60 ya uhuru hata mmeshindwa kulinda rasilimali na kutupea manouver ya kutukomboa na kipindupindu, Umaskini, malaria na ujinga. Kila siku wale wale ndio hukamata hatamu na keki ya taifa tumechoka. Watoto wa maskini hawnaa kazi ila...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanafunzi UDSM: kusipokuwepo uwajibikaji mwananchi ndiye anadhurika, No reforms, No election itaiwajibisha serikali

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Martin Samson Abdul ameeeleza kuwa kampeni mbalimbali za uchaguzi zinazoendelea kuhimizwa nchini Tanzania zipo kwa maslahi ya nchi lakini akibainisha kuwa kampeni ya No Reforms No Election inaweza kuangaliwa kwa jicho la kipekee dhidi ya kampeni...
  4. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025, CHADEMA warudishwa uwanjani na serikali ya CCM, Je, CHADEMA watakubali au watagoma? 5 questions to answer!

    Nina maswali matano juu ya sakata hili? Wala Sina maelezo mengi. Kwa ufupi, Serikali imetoa tangazo rasmi kwamba CHADEMA wanaweza kusaini kanuni za Uchaguzi hata sasa na kuingia kwenye Uchaguzi wa 2025. Soma, Pia: Wakili Ado November: CHADEMA bado wanayo nafasi kutia saini kanuni za maadili...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mzee mstaafu, ikiwa Reforms zimeshafanyika, na pesa ya uchaguzi ipo, na wapinzani wapo, kwanini kuhangaika na CHADEMA na NRNE?

    Salaam! Nimesikia Mzee Mstaafu akidai Reforms zote muhimu zimeshafanyika. Sasa ikiwa Reforms zimeshafanyika, 1. Je, Tundu lissu Yuko gerezani kwa kesi ya uhaini kwa tuhuma zipi? 2. Anashtakiwa uhaini juu ya Nini? Alitamka Nini au alishinikiza Nini na kumfanya awe jella? 3. Na ikiwa kweli...
  6. kagoshima

    JamiiForums Tanzania No reforms no election ni mkakati wa kurudisha mamlaka, maamuzi, heshima kwa wananchi

    1. Wananchi ndio waamue kiongozi wanaye mtaka, tofauti na sasa ambapo kura ya raia haina thamani 2. Wananchi ndio wawe sauti ya mwisho kwenye maamuzi 3. Lipatikane bunge lan wananchi litakalo isimamia serkalo na siyo bunge serikali 4. Chaguzi zetu ziwe na mashiko na sio za bora lipite...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makonda simuoni kwenye vichwa vya habari au na yeye ni no reforms no ELECTION kama wakina mpina ?

    Yuko wapi Makonda simuoni kwenye vichwa vya habari au na yeye ni no reforms no ELECTION kama wakina mpina ? Makonda amepoa sana kuelekea uchaguzi mkuu vipi anaunga mkono yanayoendelea au haungi mkono.
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanasheria mkuu wa serikali ashangazwa Kauli za No reforms No election, asema reforms zimeshafanyika

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema anashangazwa na kauli ya “No reforms, no election” ikizingatiwa kuwa mabadiliko ya kisheria yaliyopendekezwa na vyama vya siasa tayari yamefanyika. Akizungumza leo Jumamosi Juni 21, 2025, kwenye kongamano la kwanza la kitaifa la kisheria...
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Hebu nisaidieni. Kwa tafsiri ya Civil Society Registrar, hii nayo si ni kuhubiri siasa za No Reforms No Election ndani ya kanisa? Mnaona polisi hapo?

    https://youtu.be/0RcWs0IziCE?si=0gxkMRR2MshWJnoT 👉🏻Hivi huyu jamaa aitwaye Kihampa, Msajili wa makanisa huko Wizara ya Mambo ya ndani ameona hii...? 👉🏻Inakuwaje Nabii huyu amtaje taje Rais Samia (mwanasiasa) katika mahubiri yake wakati huyo ni mwanasiasa...? 👉🏻Hakuishia hapo, akaenda mbele na...
  10. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, mnajua kwanini serikali ya CCM kamwe haitaki kusikia kauli ya No Reforms No Election? Angalia hapa moja ya sababu kubwa iliyonaswa hivi karibuni

    Moja ya mambo yanayowafanya CCM kutotaka kamwe kusikia kauli mbiu ya CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION ni pamoja na ukweli kwamba tayari CCM wameshatumia mabilioni ya wananchi kuagiza na kuandaa vifaa mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya uchaguzi mwishoni mwa mwaka huu. Hap chini ni moja ya...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio yule kijana aliyepigwa ngumi jiwe alipoenda kufanya vurugu kwenye mkutano wa no reforms no ELECTION wa CHADEMA

    Huyu ndio yule kijana aliye pigwa ngumi jiwe na mlinzi wa chadema alipoenda kufanya vurugu kwenye mkutano wa no reforms no ELECTION wa CHADEMA. kuna video inatrend mitandaoni ikimuonesha mlinzi wa chadema aliye valia suti nyeusi akiwa na upara akamrushia ngumi nzito kijana mwenye t shirt...
  12. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kampeni ya No Reforms No Election (No-No Campaign) ni Mtego Usionasa? CHADEMA Matatani

    Kampeni ya No Reforms No Elections (No-No Campaign) imeanza kupamba moto. Maneno yake yanasikika vizuri masikioni mwa Watanzania na Watanzania wengi hasa mitandaoni wamekuwa wakirudia kauli hii kuonesha kuunga kwao mkono harakati za mabadiliko nchini. Kauli hii si ngeni katika eneo letu la...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msanii Lulu Mapunda anayeiunga mkono ajenda ya 'No reforms No election' huko Instagram amelalamikia kupewa vitisho

    Wakuu hapa tulipofika mbona kama pabaya. Kuna haja gani ya kumtishia kisa tu ameisapoti No reforms, mbona hao chawa wao wanasapoti Oktoba wanatiki na hakuna aliyewatishia? Hakuna haja ya kutishiana wakuu. === "Lulu Mapunda kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Ndugu @saidi8310 umekuja...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Waziri Mwigulu kusoma Bajeti ya 25/26 njoo utuambie kama ni 'No Reforms, No Election' au 'October Tunatiki'

    Wakuu, Bajeti kuu ya serikali Mwaka 2025/2026 inawasilishwa leo Bungeni na Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba, ikieleza mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti mwaka 2024/2025 na mapendekezo ya mpango na bajeti ya wizara ya fedha kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 leo Juni 12, bungeni Dodoma
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania No reforms no election ya Dodoma ilikuwa ni Tishio kubwa sana kwa Mamlaka

    GT Aisee nimepitia twiter kuangalia ile nyomi ya dodoma yaani makao makuu ya nchi na bunge, kwa kweli sijshangaa chadema kupigwa stop, watu waliitwa wakaitika hakuna mfano. Ukweli usemwe tu kwa sasa watanzania kuna kitu wanahitaji ambacho CCM hawana, ni suala la mda tu hizi sarakasi za CCM...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wakili Wasonga: 'No Reforms No Election" sio Uhaini, Serikali iache Ugomvi na Vyama vya Siasa

    Wakili Godfrey Wasonga ambaye anadaiwa kuwa ni mwanachama kindakindaki wa CCM lakini anayaona mamho tofauti kabisa na wakubwa wake wa chama. Wakili Godfrey Wasonga anasema Lissu sio Muhaini. Anasisitiza kuwa kusema No Reforms No Election, hakuwezi kuwa Uhaini. Wakili Godrey Wasonga...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama Vya Siasa Tumieni Majukwaa yenu ya kisiasa kuhubiri kuhusu mazingira

    wakuu Ivi karibuni kumekuwa na mikutano ya vyama siasa ila sijasikia kuhusu mazingira? Hawa akina Heche,Makala,wasira na Lema wanaosema kuhusu ajira,elimu,na barabara na afya wanajua chochote kuhusu mazingira? Hawajui kwamba utekelezaji wa mambo hayo yanahitaji mazingira hawasemi kuhusu jinsi...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msigwa: Sikusema 'Wanao-comment NO reforms NO election tutawapata'

    wakuu ni kweli hakusema? maneno ya "wanao comments No Reforms No election tutawapata" ===== Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Msemaji mkuu wa serikali ameandika; "Sikusema maneno haya katika taarifa yangu ya jana, Ndugu zangu Waandishi wa Habari tuzingatie USAHIHI (ACCURACY) katika...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video song: No Reforms No Election

    Hii Ngoma imeachiwa huko YouTube channel Ama kweli No Reforms No Election ni moto wa nyika huu na definitely ndio habari ya mjini na duniani kwa sasa... Actually kama ulisoma Fasihi shuleni na ukaambiwa kuwa; ".......Literature is a reflection of social realities...." Basi maudhui ya wimbo...
  20. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Heche asema operesheni ya 'No reforms No Election ni ya kijinga sana, ni ya hovyo

Back
Top Bottom