no reforms no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Secretarybird nahitaji ushauri nasaha, no reforms no election imenitia matatani

    Asalamaleku wakuu! Wakuu naombeni mnipe ushauri Kwa hili lililonitokea maana yaonekana nimejichanganya na masikitiko pamoja na majuto yamenijaa hadi pomoni. Kama mnavyojua sasa hivi Kuna vuguvugu la "no reforms no election" na mimi ni mmoja wa mtu ninayeunga mkono hii movement na katika...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa...
  3. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Ajenda ya No Reforms No Election inawapiginisha Chadema katika mikutano ya hadhara

    Wingu zito la mgogoro ndani ya CHADEMA juu ya wanaounga mkono na wanaopinga Kampeni ya No Reforms na No Election limeendelea kutanda na sasa limefikia hatua mbaya zaidi, wameshindwa kuuficha mgogoro wao na sasa wameamua kuchapana makonde kwenye mikutano ya hadhara. Chokochoko zilianza kwenye...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Mbeya, Homera: Wataumiza vidole kwa kuandika 'No Reforms No Election' sisi tunagonga uchaguzi wetu

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Homera amesema wanaoandika No Reforms No Election wataumiza mikono yao kwa kuwa uchaguzi uko pale pale. "No Reform No Election wala nini! Hiyo tunaishuhudia tu mitandaoni, wataendelea kuandia wataumiza mikono yao bure, sisi tunagonga Uchaguzi mwezi Oktoba...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Serikali imepanic na 'No Reforms No Election', Green Guard na MADC watuhumiwa kuratibu fujo!

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amedai kuwa serikali imepanic kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kwa kampeni ya 'No Reforms No Election' inayopigania mabadiliko kabla ya uchaguzi. Kupitia X, Heche amesema kuna makundi ya vijana wa Green Guard na baadhi ya wafuasi wa CCM...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Moto wa No reforms No Election kuendelea kanda ya Magharibi hii leo

    Baada ya jana vijana wa CCM kuingilia mkutano wa Chadema pale Singida leo ni zamu ya tabora ,tegemeeni "october tunatiki" katikati ya no reforms no election ni moto juu ya moto.
  7. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No reforms, no election itakuwa kama UKAWA tu!

    If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA. Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation. Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA. Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh...
  8. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania ''No Reforms No Election'' Kwa lugha tofauti Dunian

    1. Kiswahili – Hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi 💪 2. Kifaransa – Pas de réforme, pas d’élection 💪 3. Kihispania – Sin reforma, no hay elección 💪 4. Kijerumani – Keine Reform, keine Wahl 💪 5. Kireno – Sem reforma, sem eleição 💪 6. Kiarabu – لا إصلاح، لا انتخابات 💪 7. Kichina (Mandarin) –...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu na wanasiasa mtandaoni wa kerwa na no reforms no ELECTION huku wengine wakipoteza wafuasi kwa kupinga kampeni hiyo

    Baadhi ya watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania wameelezea kukerwa na maoni ya wafuasi wa kampeni ya “No Reform, No Election” yanayoachwa kwenye machapisho yao binafsi. Miongoni mwao ni Wema Sepetu — Miss Tanzania 2006, msanii wa filamu, na mfuasi wa chama tawala CCM — ambaye...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shekhe Abuu Jadawi: Achaneni na wapumbavu wanaosema No reforms No election

    Mwalimu wa Dini ya kiislamu na mtaalam wa Dua Shekhe Abuu Jadawi amewataka kuachana na watu wanaoisukuma ajenda ya No reforms No election na kudai kuwa wametumwa na wanafanya Kwa maslahi yao, akisema kuwa mbwa wanopanda juu ya mtu kuwa si kawaida na kama amepanda amepandishwa na mtu. Aidha...
  11. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia anaonekana kuwa na msongo mkubwa wa mawazo. Je, ni pressure ya No reform No election?

    Kupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida? My take: Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa mustakabali wa nchi yetu pendwa.
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Hata ungepost Mamilioni ya post 'No Reform, No Election' haisadii, Uchaguzi uko pale pale

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kama ilivyopangwa, hivyo hata watu wakichapisha (kupost) na kutuma ‘No Reform No Election’ haisaidii. Makalla ameeleza...
  13. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma kumekucha, CHADEMA yatikisa ngome ya CCM. Mamia wamsindikiza John Heche wakiimba 'CCM wauaji'

    Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema. No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu. Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...
  14. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms, No Election inazidi kupaa, Gen Z wameamka na kuipokea vilivyo. What a time kushuhudia haya yakitokea

    Aiseeeee hadi raha kuona huko mtandaoni na mtaani hali inavyofurahisha. Kilichonifurahisha zaidi ni Gen Z kuamka, wameacha kupuuzia siasa, wameacha kupuuzia masuala ya utekaji na watu kupotea, wameacha kupuuzia huduma mbovu tunazopatiwa na serikali, wameacha kupuuzia machawa wanaochangia...
  15. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kibango cha "No reforms No election" chatua Club ya Small Planet, wamiliki wakikana

    Baada ya video iliyoonyesha bango mjongeo lilikokuwa na ujumbe wa no reforms no elections, uongozi wa Bar ya Small Planet iliyopo Sinza waibuka na kulaani vikali tukio hilo ukisema hawahusiki na kilichotokea. --- Uongozi wa kampuni ya SMALL PLANET ENTERPRISES LIMITED ambayo ni miliki wa bar ya...
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani atishika na 'No reforms no election' asema jambo la msingi ni kulinda amani 'kuna vita huko duniani'

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mbunge wa Jimbo la Babati vijijini Daniel Sillo amewahakikishia Wananchi wa Jimbo Lake kuwa serikali itaendelea kuwasogezea huduma zote muhimu na wapinzani wasiotaka uchaguzi watajua wenyewe. Akizungumza kuelekea uchaguzi mkuu Sillo amesema jambo la msingi...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tunaposema no reforms no ELECTION ni mpaka mabadiliko yafanyike na sio uchaguzi wa mchongo upite tutaendelea hadi mabadiliko

    Tunaposema no reforms no ELECTION ni mpaka mabadiliko yafanyike na sio uchaguzi wa mchongo uishe tutaendelea hadi mabadiliko. Kama samia anajikimbiza kwenye uchaguzi wa mchongo ili kujiwaisha sisi wimbo ni ule ule no reforms no ELECTION hatuutambui uchaguzi bila mabadiliko.
  18. A view to a kill

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kumrudisha mzee Wassira kwenye siasa za majukwaani ni dhahiri hata CCM inahitaji reforms

    CCM twende na wakati ,kila nyakati na watu wake na changamoto zake, kijana wa 1960s sio wa kijana wa leo, wengi wameenda shule na wanajua kinachoendelea duniani,
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kampeni ya upinzani inayoendelea mtandaoni itakufa kifo cha kawaida ndani ya muda mfupi

    Wananchi wazalendo na wanaCCM wenzangu msiwe na hofu kuhusu hii kampeni ya kijinga iliyoanzishwa na mwanamke katili asiye na utu kwa jina la Mange. Ni kampeni ya kijinga sana kuwahi kutokea. Mbaya zaidi imeanzishwa na mtu asiye na utu.... Mange ashaharibu maisha ya watu wengi sana hivyo kwa sasa...
  20. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gerson Msigwa ajibu kuhusu vijana waliomzomea UDOM wakisema 'No reforms No election' asema ni walevi wachache waliotumwa kupiga kelele

    Kupitia Instagram story yake Msemaji mkuu wa serikali na katibu mkuu wa wizara ya habari utamaduni sanaa na michezo Gerson Msigwa ameweka ujumbe unaojibu tukio la kuzomewa jukwaani na wanafunzi wa UDOM wakisema 'No reforms, No election' kwa chochote alichothubutu kukisema jukwaani hapo, ambapo...
Back
Top Bottom