no reforms no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. Five55

    GE2025 Butiku: No reforms no election ni kuvunja katiba ya nchi

    Hatimaye Mzee Butiku atofautiana na Mzee Waryoba kuhusu "NO REFORMS NO ELECTION" ya CHADEMA. Mzee Butiku ambaye ni mwenyekiti wa taasi ya Kigoda cha Mwl Nyerere kupitia Kipindi cha DKT 45 kinachorushwa na runinga ya ITV amewataka CHADEMA kuachana na hoja yao ya kususia uchaguzi kwani kufanya...
  2. I

    GE2025 Tukiwaambia 'no reforms no election' ni mradi wa watu wachache mnabisha! haya sasa!

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika [TLS] Boniface Mwabukusi ambae alikuwa mstari wa mbele pamoja na makamanda wa CHADEMA katika kuhubiri NRNE tayari amewageuka wenzake na sasa anahamasisha watu waende kwenye uchaguzi. Yaani kiufupi iko hivi, Mwabukusi akiwa na CHADEMA anasema No Rifomu No...
  3. W

    GE2025 "No reforms, No election" yatawala maziko kada wa CHADEMA

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), marehemu Anastazia Mwamongi (72), aliyekutwa ameuawa kikatili ndani ya nyumba yake na watu wasiojulikana, amezikwa katika makaburi ya Igeleke, yaliyopo Kihesa Kilolo, Manispaa ya Iringa. Maziko ya marehemu huyo yamehudhuriwa na...
  4. McLaren

    GE2025 Kamanda Muliro: Haiwezekani kwa CHADEMA kutekeleza agenda yao ya “No Reforms No Election”

    Wakuu, Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba https://www.youtube.com/watch?v=caUT4k_qHjs
  5. DuaZaMama

    GE2025 Steven Wasira akichambua No reforms No election na October Tunatiki

    "....(No Reforms no election) na yenyewe ni kauli mbiu, nchi lazima iongee...hakuna wakati ambapo kumekuwepo na nchi bila maneno..."-Makamu Mwenyekiti CCM -Stephen Wasira.
  6. Erythrocyte

    GE2025 Nkasi: Huu ni Mkutano wa Ndani wa No Reforms No Election, Kwa Hali hii ni nani atajitokeza kupiga kura?

    Hakuna haja ya kupiga Porojo nyingi, Angalia Mwenyewe Julai 20, 2025 Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini Mhe. Aida Khenani amefanya kikao cha ndani katika kata ya Kirando Jimbo la Nkasi Kaskazini Mkoani Rukwa ikiwa ni mwendelezo wa kuimarisha Toa Maoni yako
  7. BLUE DOG

    Ndugu Watanganyika wenzangu Kataa wahuni, hatutiki gizani, no reforms no election

    Wandugu, tuna mshukuru sana ndugu Slowslow kwa kutuonyesha yalioko ndani ya chama chakavu na kutuonyesha ni kwa jinsi gani mambo yale yenye tija kwa wananchi yanavyoendeshwa kihuni Kumbe ndani ya chama chakavu kila mtu yuko kwa maslahi yake na si kwaajili ya sisi waajiri wao Sasa basi inabidi...
  8. Just Pray

    GE2025 Kigaila awajia juu wanaosema 'no reforms no election' asema walikuwa wabunge kwa sheria hizi hizi

    "Sheria hizihizi zimetupeleka bungeni, wote wanaosema 'no reforms no election' wamekuwa wabunge miaka 10, miaka mitano na sheria hizihizi, zilitufanya tukiwa CHADEMA tukafika wabunge 72, na madiwani 1108 sheria hizihizi. Kinachotakiwa, kuwe na sheria mbaya, kuwe na sheria nzuri, kushinda...
  9. Kipenzi Changu

    GE2025 Mbowe akwepa kuzungumzia No reforms No Election, asema yeye sio kiongozi wa Chama

    Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA aliyesaliti mapambano Freeman Mbowe akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kumalizikwa kwa uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 amekwepa kujibu swali la Mwandishi wa Habari kuhusu kampeni ya No reforms no election inayoanzishwa na Chama chake. Mbowe akijibu hilo...
  10. Waufukweni

    GE2025 Askofu Gwajima: Kutawala Nchi wakati imemeguka kwa makovu ya Uchaguzi ni kazi ngumu sana, tuwape Reforms CHADEMA

    Askofu Gwajima amesema, "Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi lakini kuitawala Nchi na kuiletea Maendeleo iliyomeguka meguka kutokana na Makovu na Majeraha ya Kiuchaguzi ni kazi ngumu sana, sisi kama CCM tunaweza kuamua kuendelea [na Uchaguzi] na tukashinda lakini jaribu kuwaza tangu siku unapo...
  11. Lord Denning

    No Reforms No Election haizuiliki wala kushikika: Wananchi sasa wanasema wazi hawatopiga kura Oktoba 2025

    Muda huu Chombo cha Habari cha ITV wameripoti kuhusu Tume ya Uchaguzi kuwataka Watendaji kuzingatia Sheria. Kilichonifurahisha ni maoni ya Watanzania kwenye post hii. Angalia mwenyewe. Watanzania tujipongeze sana. Lazima CCM watambue sisi sio mafala tena. No Reform No Election ✊️ ✌️
  12. Waufukweni

    GE2025 Tundu Lissu: Ulimwengu unajua hakuna Kesi bali ni Siasa, nimepewa Kesi ili wasisumbuliwe na No Reforms, No Election

    Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amesema "Mahakama yako vilevile iko kwenye Mahakama ya Umma, iko kwenye Kizimba cha Umma" "Watu wa Taifa hili wanajua na Ulimwengu unajua hakuna Kesi hapa bali ni Siasa, ni mwaka wa Uchaguzi, na mwaka wa Uchaguzi Kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani...
  13. Waufukweni

    GE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa tena Mahakama ya Kisutu, hadi Julai 30, 2025

    Wakuu! Mwenyekiti CHADEMA Taifa Tundu Lissu kufikishwa katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili kesi ya Uhaini inayomhusu. Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea mwenyewe. Je, leo mwamba anaachiwa au atarudishwa tena 'kukamilisha na kumalizia...
  14. The Burning Spear

    Huyu Bibi ana hoja asikilizwe no reforms no election.

    1
  15. Gabeji

    Moto wa No reforms No election umeanza kuwaingia walimu watanzania, freedom is coming tomorrow!

    Hakika Mungu ni mwema, baada ya miaka mingi kupita sasa walimu wameanza kuelewa na kutumia elimu yao kwa ajili ya manufaa ya Taifa zima. Hii imetokea kwa kukataa na kugoma kujishughulisha na maswala ya uchaguzi na kuwa sehumu ya laana katika vizazi vyao vyote. Tume inayojiita tume huru ya...
  16. Youbettersleep

    NO REFORMS NO ELECTION ni kauli mbiu kuu ya wananchi na CHADEMA

    NO REFORMS NO ELECTION ni kauli mbiu kuu ya wananchi na CHADEMA kwa ujumla, yaani ni kwamba hii statement sio ya CHAMA bali tangu 2005 watu walitaka mabadiliko ila watu wenye IQ kubwa kutoka CHADEMA wakaja kuiweka na kuipa moto. Kwasasa kila raia anaijua sio mtoto wala mtu mzima yaan hadi wafu...
  17. Waufukweni

    GE2025 RC Chalamila: 'No Reforms No Election' ni Lugha ya Kitaa, sio ya Kitaalamu

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa 'no reform no election' ni lugha ya 'kitaa' lakini kwenye lugha ya kitaalamu kinachozungumzia uchaguzi ni katiba inayoelekezea ukomo wa uongozi na namna ya kufanya uchaguzi. Chalamila ameyasema hayo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu...
  18. G Sam

    Huyu mjasiramali "Sirjeff" anapewa mashitaka ya uhujumu uchumi siku chache tu baada ya kuanza kampeni ya No reforms No election!

    Vijana wa umri wa 30s ambao wanajipambanua kiuchumi kwa ujasiriamali then from No where wanapewa kesi za uhujumu uchumi. Hivi hili rika letu lina nini cha kuhujumu nchi? Kijana ndo kwanza unajitafuta kimaisha ila kutokana na mambo tu ya kisiasa mmetofautiana unatafuta kesi popote pale ili mradi...
  19. The Palm Beach

    Martin Maranja Masese: Hivi ndivyo tutakavyozuia chaguzi zote zijazo kuanzia na huu wa 2025

    Ni mjadala unaoendelea huko X/Twitter kati ya Martin M. Masese na Peter Madeleka (wakili). Alianza kwa swali la kejeli Martin M. Masese akamshushia nondo hizi akirejea mavuguvugu mbalimbali yaliyowahi kutokea ktk nchi mbalimbali duniani yakihamasishwa na kaulimbiu (slogans) kali kama ilivyo...
  20. M

    GE2025 No reforms no election! Tumekaribia Ushindi, No reforms no election ikishinda, Tanzania inakuwa huru!

    Tumekaribia, ng'ambo yetu ile paleee! Ushindi upo upande wetu No reforms no election ina upepo wa Mungu wenye kisulisuli, unaangusha mibuyu na mibuyu Ndani ya CCM, hivi punde watauimba huu wimbo wazi wazi bila kificho, huu mwezi haupiti, Wengi wao wataumgana na waungwana sisi kuimba kwa...
Back
Top Bottom