no reforms no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gombo: Hakuna kususia Uchaguzi, tukapige na kuzilinda Kura

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, amewaasa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kupiga kura, akisisitiza kuwa ndio njia pekee itakayowezesha kumchagua kiongozi wanayemtaka. Pia mgombea urais huyo ameitaka Tume huru ya uchaguzi kutenda haki na usawa...
  2. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Kupitia kikao cha mtandaoni CHADEMA, Joseph Mbilinyi asema wanaikataa No reforms, No election

  3. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa tatu wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 10, 2025

    Utetezi wa tatu wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 10, 2025. Utetezi wa Siku ya Pili upo hapa: GE2025 - Utetezi wa Pili wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Ugaidi, Septemba 9, 2025 === Kesi imeanza Kasimama Wakili Nassoro...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya kina ya No Reforms, No Election

    Habari watanzania Bila kupoteza muda ningependa niende moja kwa moja kwenye mada ninayotaka kuongolea. Kila mmoja nadhani atakubaliana nami kwamba swala la NO REFORMS NO ELECTION limeibua hisia tofauti akilini mwa watu, Kiuhalisia mjadala wa NO REFORMS NO ELECTION si jambo dogo kwa kuwa ni...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wapinzani anzisheni kampeni nyingine, hii ya No Reforms No Election imebuma. Hii slogan imefeli kwa 100% uchaguzi upo palepale

    Mtu anakaa kwenye daladala na kasimu kake ka mkopo anaandika NO REFORMS NO ELECTION then anasubiri kusikia INEC imesogeza uchaguzi mbele. This is totally madness. Sheria za uchaguzi ziko wazi. Uhalali wa uchaguzi haupo kwa wingi wa watu waliojiandikisha kupiga kura au kwa wingi wa watu...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rasmi, Mahakama yafuta amri ya Msajili wa vyama ya kuzuia ruzuku kwa CHADEMA na kutotambua viongozi

    Wakuu, Mahakama Kuu Kanda ya Manyara yafuta amri ya Msajili wa Vyama Vya Siasa ya kuzuia Ruzuku ya Chadema na kutowatambua Katibu Mkuu, Manaibu wake na Wajumbe Watano wa Kamati Kuu waliothibitishwa na Baraza Kuu Januari 22, 2025 baada ya Uchaguzi Mkuu wa ndani ya Chama.
  7. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA kuandika barua UN, US, EU, AU, EAC kuomba waje wakague mifumo ya uchaguzi Tanzania

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ametaja maazimio matano ya chama hicho, akisema wataandika barua kwa jumuiya za kimataifa wakiziomba zitume waangalizi kuja kukagua mifumo ya uchaguzi inayolalamikiwa kuunganishwa na CCM ili kukipa ushindi. Madai ya mifumo ya Tume Huru ya Taifa ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania ACT sawa yawapate, Chadema ikisema NO REFORMS NO ELECTION mnakuja na TUTALINDA KURA badala ya kuunganisha nguvu za NRNE

    Kukiwa na reforms wanazozipigania CHADEMA, haya yote yasingelikuwepo! Badala ya kuunganisha nguvu, mnaleta mzaha wa ujinga wa tutalinda kura. ngoja kiwapate, safi kabisa. AU mnacheza mchezo huu na wadau wenu kuhalalisha Samia kutokuwa na mpinzania!
  9. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Boni Yai ameikana 'No reforms no election' asema wapo tayari kwa uchaguzi

  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania Alichokijibu Muliro alipoulizwa kuhusu "Oktoba Tunatiki" na "No Reforms No Election"

    Wakuu, Huyu hapa ya Kamanda Muliro alipoulizwa kuhusu hizi slogan mbili ya No Reforms No Election pamoja na ile ya Oktoba Tunatiki Hapa Muliro amesema kwamba ya Oktoba Tunatiki inafuata sheria maana kupiga kura ni jambo ambalo lipo kwenye katibas meanwhile hii ya No Reforms No Election...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Ofisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais Wa Zanzibar: Kama mtu alisema atakinukisha naona kama sasa hivi ananuka yeye

    Wakuu, Hii kauli ya kukiniukisha naona leo imeshamiri kwenye huu Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Huyu hapa Waziri Ofisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais Wa Zanzibar Mhe. Hamza Hassan Juma akiwa anatoa hotuba yake katika mkutano huo amesema: "Kama mtu...
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sugu: Tume ya Taifa ya Uchaguzi isitishe mchakato wa Uchaguzi mpaka tutakapopata reforms

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, Sugu ametoa Ushauri kwa Tume ya Uchaguzi kwamba isitishe mchakato wa Uchaguzi ambao unaendelea mpaka reforms zitakapopatikana Sugu anasema kwamba Samia pia asiingize nchi kwenye Uchaguzi na kupoteza mabilioni ya fedha kwenyejambo ambalo haliungwi mkono na...
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sugu: Tunataka matokeo ya Urais kuweza kupingwa mahakamani

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwa njia ya mtandao, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amesema kwamba moja ya reforms ambazo zinatakiwa kufanyika ni matokeo ya Urais kuweza kupingwa mahakamani Anasema kuwa inatakiwa kama wapinzani hawayaamini matokeo ya Urais basi inatakiwa wawe na uwezo wa...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2025 No reforms no election itatekelezwaje, raia tujiandaeje?

    Usalama kwanza Tusilichukulie poa neno hili la no reforms no election. Watanzania tuna haki ya kujua kama siku hiyo tutarajie kuona, kusikia au kupatwa na kitu gani kutokana na harakati za kuzuia uchaguzi kama hizo reforms hazitatekelezwa ili tujiandae mapema. Kuna wakati nilitaka kuamini kuwa...
  15. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Arusha: Mbowe atoke hadharani na aseme 'No reforms No election'

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure, ametoa wito kwa Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho ngazi ya taifa, Freeman Mbowe, kujitokeza hadharani na kuunga mkono kaulimbiu ya chama ya “No Reforms, No Election”, kwa kuwa ndiye mwanzilishi wa msimamo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mwili wa aliyeimba 'no reforms no election' George Mwingira waagwa, Songea

    Baadhi ya waombelezaji wakiaga mwili wa mtunzi na mwimbaji wa nyimbo za hamasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), George Mwingira aliyetamba na wimbo wa 'No reforms no election.' Waombolezaji hao wameaga mwili wa Mwingira leo Jumamosi, Agosti 16, 2025 nyumbani kwao Matarawe...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Nampongeza Lissu kwa Uzalendo wake, Mungu hatomuacha, aikubali 'No Reforms No Election'

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameonekana kuunga mkono kampeni ya 'No reform No election' ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku akimponge mwenyewe wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ernest Mgawe: Ajenda ya No reforms no Election imeitikisa serikali

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kibamba Ernest Mgawe amesema ajenda ya No reforms no Election imeitikisa serikali bila kupepesa, lakini watu wanaibeza ajenda hii lakini mimi niwapongeze viongozi wangu wa chama kuendelea kuisimamia
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Lissu amepotosha 'No Reforms No Election', hakumwelewa Mbowe

    "Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa yameanzishwa na Mbowe na ndiyo hayahaya, si kweli" Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  20. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Kama unaishabikia NO REFORMS NO ELECTION kidenzi pita hapa

    Kaulimbiu ya "No reforms, no election" (Hakuna marekebisho, hakuna uchaguzi) ni ujumbe wa kisiasa unaotumiwa na vyama vya siasa au makundi ya kijamii kudai mabadiliko ya kimsingi katika mfumo wa uchaguzi au uendeshaji wa serikali kabla ya kuruhusu au kushiriki katika uchaguzi mkuu. Lengo lake...
Back
Top Bottom