The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
Wakuu,
Hatimaye Tundu Lissu amefichua alifhoenda kuzungumza na Balozi wa Norway:
Lissu kupitia ukurasa wake wa X amesema:
"Balozi Tine Tonnes wa Norway ametukaribisha kwa mazungumzo kwenye makazi yake rasmi mjini Dar. Tumepata fursa ya kumweleza Balozi Tonnes juu ya hali ya kisiasa nchini na...
October ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba.
Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae kushiriki kikamilifu tendo hilo muhimu la kidemokrasi kwa mujibu wa katiba.
Vipo vyama mbalimbali vya...
Nashukuru sana wanasiasa mahiri walio saidia kurahisisha ujumbe na inazidi kuwa ngumu kwa matapeli kudanfanya tena. Tuna chaguo mbili tu! Hakuna chaguo la tatu
1. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 zilikuwa na huru na haki. Wewe basi pigania kupiga kura
2. Kama una amini chaguzi za...
Wakuu,
Makubwa haya! Wameenda kumnong'oneza sikioni au?
====
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa qa Songwe Bi Fatuma Mnahwate amesema ameongea na Wenyeviti wa Vijana wa Vyama vyote Vya Upinzani nchini ikiwemo kutoka ACT na BAVICHA na wamepinga kauli iliyotolewa na viongozi wao wakuu wa Chama Hicho...
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
Wanabodi
Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election. https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x
Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa...
Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika, amedai kuwa kuna juhudi za kuhamisha mwelekeo kutoka kwenye kampeni ya 'No Reforms, No Election'. Kupitia ujumbe wake kwenye mtandao wa X, Mnyika amesisitiza kuwa maamuzi ya Baraza Kuu la CHADEMA yaliyofanyika tarehe 22 Januari 2025 ni halali, kwani yalihusisha...
Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM
Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya.
Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado anaamini kwenye MAANDAMANO na CIVIL DISOBIDIENCE, vitu ambavyo wabongo hawako tayari kufanya kwa sasa kwa...
Wakuu,
CHADEMA imeamsha matumaini ya Watanzania hasa baada ya Lissu kupiga krosi moja matata na kuwa Mwenyekiti Taifa. Watanzania walioonesha kuchoshwa na uchawa, ubadhilifu wa mali za umma na mazonge mengine yanayotokea nchini wameanza kupata matumaini huenda mambo yatabadilika for good...
Inawezekana kuna watu bado hawajaelewa vizuri maana ya No Reforms No election.
Maana yake ni kwamba:-
1. Hakuna atakayeruhusiwa kugombea nafasi yoyote ile ya uongozi kama Katiba na Sheria bora za Uchaguzi havijarekebishwa.
2. Hakuna atakayeruhusiwa kushiriki kwenye mkutano wowote ule wa...
Leo mheshimiwa Lissu amelihutubia Taifa na kulieleza hatua kwa hatua juu ya uamuzi wa chama cha CHADEMA kuwa KAMA HAKUNA MABADILIKO YA MSINGI KWENYE KATIBA NA SHERIA zinahosu uchaguzi nchini basi CHAMA hicho HAKITAKUBALI Uchaguzi feki ufanyike nchini mwezi october 2025.
Akiongea kwa nukta...
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Amos Ntobi, amesisitiza kuwa CHADEMA haitakubali kufanyika kwa uchaguzi wowote wa kitaifa ikiwa hakutakuwepo na maboresho na marekebisho katika mifumo ya uchaguzi.
Akizungumza na Jambo TV kuhusu kauli ya...
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora, Felix Liata, ameendelea kusisitiza msimamo wa chama hicho wa kutoshiriki uchaguzi bila kufanyika kwa mageuzi ya kisiasa na kisheria, akiwataka wanachama na viongozi kusimama pamoja katika msimamo huo...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameshauri serikali kuitisha Bunge la dharura kufanya marekebisho ya sheria za uchaguzi, akisisitiza msimamo wa chama hicho wa ‘hakuna uchaguzi bila mabadiliko'.
Vilevile, chama hicho kimetoa...
“Nimemuona Mzee Wasira, amekuwa Serikalini kwa zaidi ya miaka sitini sijui sabini tangu akiwa na miaka sijui ishirini mimi sijazaliwa, anataka atengeneze kwamba anataka kutengeneza kama mabishano flani na Mwenyekiti wetu wa Taifa, kwamba Wasira amshughulikia Lissu, Mzee Wasira Lissu sio saizi...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa chama hicho hakitaruhusu kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 endapo hakutakuwa na mabadiliko ya matukio yatakayolenga kuhakikisha chaguzi huru na za haki nchini.
==
"Kuanzia 2015 hakuna ushindani, hawataki uchaguzi na ukweli wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.