no reforms no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Moto wa No reforms No election umeanza kuwaingia walimu watanzania, freedom is coming tomorrow!

    Hakika Mungu ni mwema, baada ya miaka mingi kupita sasa walimu wameanza kuelewa na kutumia elimu yao kwa ajili ya manufaa ya Taifa zima. Hii imetokea kwa kukataa na kugoma kujishughulisha na maswala ya uchaguzi na kuwa sehumu ya laana katika vizazi vyao vyote. Tume inayojiita tume huru ya...
  2. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania NO REFORMS NO ELECTION ni kauli mbiu kuu ya wananchi na CHADEMA

    NO REFORMS NO ELECTION ni kauli mbiu kuu ya wananchi na CHADEMA kwa ujumla, yaani ni kwamba hii statement sio ya CHAMA bali tangu 2005 watu walitaka mabadiliko ila watu wenye IQ kubwa kutoka CHADEMA wakaja kuiweka na kuipa moto. Kwasasa kila raia anaijua sio mtoto wala mtu mzima yaan hadi wafu...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: 'No Reforms No Election' ni Lugha ya Kitaa, sio ya Kitaalamu

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa 'no reform no election' ni lugha ya 'kitaa' lakini kwenye lugha ya kitaalamu kinachozungumzia uchaguzi ni katiba inayoelekezea ukomo wa uongozi na namna ya kufanya uchaguzi. Chalamila ameyasema hayo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu...
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania Huyu mjasiramali "Sirjeff" anapewa mashitaka ya uhujumu uchumi siku chache tu baada ya kuanza kampeni ya No reforms No election!

    Vijana wa umri wa 30s ambao wanajipambanua kiuchumi kwa ujasiriamali then from No where wanapewa kesi za uhujumu uchumi. Hivi hili rika letu lina nini cha kuhujumu nchi? Kijana ndo kwanza unajitafuta kimaisha ila kutokana na mambo tu ya kisiasa mmetofautiana unatafuta kesi popote pale ili mradi...
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese: Hivi ndivyo tutakavyozuia chaguzi zote zijazo kuanzia na huu wa 2025

    Ni mjadala unaoendelea huko X/Twitter kati ya Martin M. Masese na Peter Madeleka (wakili). Alianza kwa swali la kejeli Martin M. Masese akamshushia nondo hizi akirejea mavuguvugu mbalimbali yaliyowahi kutokea ktk nchi mbalimbali duniani yakihamasishwa na kaulimbiu (slogans) kali kama ilivyo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 No reforms no election! Tumekaribia Ushindi, No reforms no election ikishinda, Tanzania inakuwa huru!

    Tumekaribia, ng'ambo yetu ile paleee! Ushindi upo upande wetu No reforms no election ina upepo wa Mungu wenye kisulisuli, unaangusha mibuyu na mibuyu Ndani ya CCM, hivi punde watauimba huu wimbo wazi wazi bila kificho, huu mwezi haupiti, Wengi wao wataumgana na waungwana sisi kuimba kwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA kufanya maandalizi ya wagombea Ubunge na Udiwani kwa Siri

    Wakuu, JamiiCheck hii barua ni ya kweli.
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha: Emmanuel Nchimbi afanya kikao kizito na mabalozi wa Umoja wa Ulaya (EU). Je, wameenda kuongelea masuala ya 'Reforms' za Uchaguzi?

    Wakuu, Nimeona Nchimbi ameenda kukutana na mabalozi wa EU. Je hii ina maana kwamba watakuwa wameenda kuzungumzia masuala ya kisiasa nchini na kuhusu No Reforms No Election? Hapa sidhani kama wameenda kuzungumzia mambo ya kiuchumi maana wangemuita Jafo. Ila kama wamemuita Nchimbi maana yake ni...
  9. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Tundu Lissu alisema 'No reforms, No election' sio msimamo sahihi, unaenda kuua chama

  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania No Reforms No Election yatua kwenye harusi huko Mbeya

    Wakuu Mnaoamini kuwa hii kauli mbinu imeisha wakati au utamu mjue kabisa hii ngoma inazidi kupenya katika matukio mbalimbali yanayofanyika katika jamii tazama hii video huko mbeya watu wapo harusini lakini kauli ipo pale pale.
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15 2025

    Hii kesi itakuwa Mubashara, kwahiyo kila mmoja atajionea Mwenyewe hoja kabambe. Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea Mwenyewe https://www.youtube.com/watch?v=Y-Q-tR8W20U Tundu Lissu amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam kwa ajili kesi ya...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Moto wa No reforms no Election watinga kwenye harusi ya Kamanda

    GT. Moto wa No reforms no.Election hakuna wa kuuzima maana aliyeuwasha amefungwa ukonga na watu wanamwelewa sana.
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama CCM Oktoba wanaenda kutiki hii inamaanisha matokeo yote wanayo mfukoni. CHADEMA wapo sahihi kutoshiriki uchaguzi kama huu

    Wenyewe wanajinasibu kuwa oktoba ni kutiki tu na wala sio kuchagua. Hii nini maana yake? Wana matokeo yote ya uchaguzi kuanzia rais, mbunge hadi diwani. Zoezi lililobakia ni kutiki tu. Chadema ya Lissu ipo sahihi kabisa.
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa Maagizo ya leo ya Rais Samia kwa Wakuu wa Mikoa wapya, ni dhahiri Tanzania hakuna Chaguzi Huru. Chadema wako sahihi na No Reforms No Election

    Akiwa anawaapisha Wakuu Wapya wa Mikoa Ikulu Dodoma, Rais Samia kawasifia kuwa wengi wao wamelelewa tangu chini na Chama cha Mapinduzi na kwa sababu mwaka huu ni wa Uchaguzi wakahakikishe wanasimamia Uchaguzi vilivyo na kuwadhibiti vilivyo Wapinzani. Hakuishia hapo katoa Maelekezo maalum kwa...
  15. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bunge lahitimishwa - Je, 'No Reforms' ya CHADEMA imezikwa rasmi?

    Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekamilisha rasmi shughuli zake tarehe 27 Juni 2025 kwa Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia. Bunge hilo litavunjwa rasmi Agosti 03, 2025 litakapokamilisha kipindi chake kikatiba. Baada ya hatua hiyo itafungua rasmi dirisha la kuelekea uchaguzi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania No reforms, No election. Huo ndo msimamo wa wananchi

  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Sijaona nchi ambayo Wananchi wanadharauliwa na Viongozi kama Tanzania. Chadema wako sahihi sana na No Reforms No Election

    Juzi kwenye kongamano la Wanawake Arusha aliyekuwa Spika wa Bunge kasema haya; Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Samia alisema haya; Sidhani kama hapa duniani kuna nchi ambayo Wananchi wanadharauliwa na kikundi kidogo cha watu wachache wanaoitwa Viongozi...
  18. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania Hivi ni chama kipi cha siasa kati ya hivi ACT, CCM na CHADEMA kinaweza penda kuenguliwa kwenye mchakato wa uchaguzi na kikavumilia?

    Ndugu zangu, nimekaa na kutafakari, nikaona hebu tujadili pamoja suala hili la uchaguzi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumbukumbu tulizonazo tangu tuanze mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, na uchaguzi wake wa kwanza mwaka 1995 pamoja na mapungufu yake makubwa. Kuna kitu kinaitwa...
  19. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms No Election ni kulinda msingi wa Katiba, Wananchi tuilinde Katiba kwa nguvu zetu zote

    Katiba yetu ya nchi inatamka wazi kabisa kuwa mamlaka yote ya utawala yatatoka kwa wananchi kupitia uchaguzi ulio wa haki. Hivyo kitendo chochote cha kuzuia uhuni wa kupokonya mamlaka ya wananchi ya kuamua nani awaongoze, ni ukiukaji wa msingi wa katiba yetu. Wananchi tusikubali kuwa sehemu ya...
  20. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa kauli hizi unaendaje kupiga kura. Bora nikae na kura yangu tu

    Kwa kauli zenye kujirudia kwa miaka na miaka kutoka kwa viongozi wa CCM kuwa hata wasipo pigiwa kura hawa stuki watashinda tu. Lazima ujiulize. 1. Unajikuta unaona kuna maana gani ya mimi kwenda kupiga kura..? 2. Kama mshindi anajulikana kwanini nikapige kura..? 3. Wanaopata kuongoza ni wale...
Back
Top Bottom