The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
CCM twende na wakati ,kila nyakati na watu wake na changamoto zake, kijana wa 1960s sio wa kijana wa leo, wengi wameenda shule na wanajua kinachoendelea duniani,
Wananchi wazalendo na wanaCCM wenzangu msiwe na hofu kuhusu hii kampeni ya kijinga iliyoanzishwa na mwanamke katili asiye na utu kwa jina la Mange. Ni kampeni ya kijinga sana kuwahi kutokea. Mbaya zaidi imeanzishwa na mtu asiye na utu.... Mange ashaharibu maisha ya watu wengi sana hivyo kwa sasa...
Kupitia Instagram story yake Msemaji mkuu wa serikali na katibu mkuu wa wizara ya habari utamaduni sanaa na michezo Gerson Msigwa ameweka ujumbe unaojibu tukio la kuzomewa jukwaani na wanafunzi wa UDOM wakisema 'No reforms, No election' kwa chochote alichothubutu kukisema jukwaani hapo, ambapo...
Nguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe
Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi
Tunaona, hata miswaada mingi kwenye mabunge, huamriwa na nguvu ya hoja na kuungwa mkono na watu wengi ndipo inapita, na ikishindikana hivo...
Kama kweli watanzania tuna nia ya mabdiliko ya kweli ya uchaguzi, ili kura zetu zithaminiwe na wabunge watuheshimu sisi wapiga kura na tusiitwe tena kenge,
ili bunge linapoona kuna sitofahamu katikati ya jamii ya kitanzania na mamlaka husika kuwa kimya kama ilivyo sasa basi liweze kupaza...
Juzi Alhamisi nilifika Muheza Tanga usiku.
Nilipokuwa home umeme ulikatika kama mara mbili hivi huo usiku.
Kesho yake ijumaa simu ikawa inakaribia kuisha chaji. Nikatoka kwenda kununua waya wa chaji mana sikuja nao nilipokuwa huko nilipotoka.
Ile ijumaa Umeme ulikatika saa 5 asubuhi kama...
Habari za jumapili;
Kuna mgongano wa makundi mawili;
Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi. Maoni yako ni yapi?
Kila kundi Lina haki ya kimtazamo kuamini kile linachoamini.
Hivyo yeyote asichukuliwe mbaya kwa...
Usiku wa kuamkia leo kupitia kwa kinachoitwa tamasha la mama, Gerson Msigwa akiwa UDOM amekumbana na zomea zomea hadi kutoa vitisho.
Zomea zomea hiyo ilikuwa akianikizwa na maneno "No reforms No election"
Amepewa za uso, kila alilosema likawa linajibiwa kwa shubiri.
Watz wamevamia posts za Rais Samia kama nyuki. Namuona akifunga comments kwa posts ijayo
Msigwa anatukana watu huku amefunga comments
Post yeyote ya public figure watu wanavamia kama manyigu na NRNE, wapo mpaka pages za Simba na Yanga. Hawa watu mimi sijui wametokea wapi. Insta inatisha...
Huko Mwanzoni angetumwa Kaka, lakini sasa hivi anatumwa Makamu wa Rais.
What a U Turn!
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR Philip Mpango leo tarehe 07 Juni 2025 ameondoka nchini kuelekea Ufaransa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhukwenye Mkutano...
DAR. Kufuatia wimbi la wananchi kujibu posti za viongozi wa Serikali na watu maarufu kwa kampeni ya No Reforms No Election inayotumiwa na CHADEMA, Msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ni upuuzi akiwataka wajiepushe na kampeni zisizo na tija.
No Reforms No Election ni kampeni...
Leo Juni 7,2025 baadhi ya viongozi wamezuia eneo la comments kwenye account zao za mitandao ya kijamii kufuatia wimbi la wafuatiliaji kuandika kauli ya 'No Reforms No Election' kwenye kila post iliyorushwa.
Hali hiyo imekwenda kwenye akaunti za vyombo vya habari kwa kila maudhui kumiminika watu...
kumbe kuna kampeni za unfollow mtandaoni ngoja na mimi nika unfollow samia na watu wote serikalini kuunga mkono damu zilizo mwagika na mabadiliko.
Nasimama mstari wa mbele kuunga mkono wote waliotekwa na kuuwawa walio dhurumiwa mali zao ikiwemo wakina gwajima kwaajili ya kuwatetea watanzania na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida lakanusha taarifa zinazozambaa kuwa limemkamata na kumshikilia Shekhe Zuberi Nkokoo (53) mwalimu wa dini ya Kiislam kutoka Taasisi ya Islamic Foundation ambaye aliripotiwa kupotea Juni 02, 2025 majira ya saa 5:30 usiku akiwa karibu na Sheli ya Lake Oil iliyopo...
Wakuu mpo wazima hapa.
Binafsi nimeamua kuwapa elimu ya NO REFORMS NO ELECTION babu na bibi yangu pia wazazi na wajomba na mashangazi. Kwa wingi wa vijana wa kitanganyika na zanzibar tunao uwezo wa kuifikisha NO REFORMS NO ELECTION kila kona ya nchi yetu.
Tuna weza na tutawafikia wote...
"Chadema tunachokitaka tunataka uchaguzi wa kistaarabu sisi diwani tunapata ,wenyeviti wa mitaa tunapata na mbunge tunapata lakini tunapata kwa maumivu makubwa sana"
"Ndiyo maana tumesema hatutaki uchaguzi wa kumwaga damu kwa sababu ili nishinde ubunge wa mikumi kwa mfano na wananchi kama...
Wakuu!
Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii.
Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
ccm
comments
gani
hali
inaweza
instagram
kisasi
kuelekea 2025
kung'atuka
kura
kusitishwa
magufuri
makamu
mikutano
na rais
ndani
noreformsnoreformsnoelection
picha
post
rais
rekodi
samia
samia suluhu hassan
siku
spika
spika tulia
wake
wapinzani
wasiwasi
Mchana wa leo saa saba, June 06,2025 Makamu Mwenyekiti Mhe. John Heche, akizungumza na wananchi wa Kata ya Ruaha-Jimbo la Mikumi Mkoani Morogoro
#NoRefomsNoElection
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.