njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Njia za kutumia ukiwa hujisikii kufanya kazi kazini

    Saa zingine unaenda kazini ila hujisikii kufanya kazi, hizi ni baadhi ya njia ambazo unaweza tumia ili kupata wasaha kidogo usukume siku iende ujafanya kitu. Unawaza jitafakari, kutumia muda wako kujua kwanini hujisijii kufanya kazi siku hio, Umechoka? unamsongo wa mawazo? kuna mazingira ya...
  2. JamiiForums Tanzania Umeme na Sukari ni njia pekee ya mafisadi kuwaibia Watanzania. Hawatakubali kutatua tatizo hili

    Hata Bwawa la JNHP likamelike na kutoa Mw 2100 bado watafanya mchongo kuliibia taifa. Mfano watatengeneza mgawo na kupiga kupitia hata ukarabati wa njia. Japokuwa unatakiwa kuwa endelevu. Sukari huwa dili la mafisadi wa CCM na wafanyabiashara wakubwa ambao uhaba ukiwepo huagiza Sukari kwa bei...
  3. JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

    Matokeo yapo kama hivi Civ C Bio C Chem B English B Phy D Math D History B Kisw B Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
  4. JamiiForums Tanzania LATRA imeshindwa kutuletea usafiri wa daladala njia ya Tegeta/Bunju-Kawe Ukwamani kupitia barabara ya Mwai Kibaki?

    Januari 2023 LATRA ilitangaza maombi ya leseni kwa wadau wenye vyombo vya usafiri kwa ajili ya kusogeza huduma ya usafiri kwa wananchi wanaotumia barabara ya Mbezi Chini inayojulikana kama Mwai Kibaki. Route hiyo ilikuwa inaanzia Bunju na Tegeta, inakuja kuingilia Afrikana Mbezi, na kwenda...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna vijana wanatamani kuacha uzinzi lakini hawawezi, tumieni njia hii

    Ni ukweli ulio wazi kuwa zinaa inaleta mikosi, inarudisha vijana nyuma kimaendeleo. Na kubwa zaidi ni kwamba zinaa ni dhambi ambayo imepelekea vijana wengi kufa wakiwa wabichi. Uzinzi ukikomaa kwa kijana maisha yake huenda yasiwe marefu (sizungumzii vifo vya magonjwa ya zinaa hapa). Kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Bibi Titi Mohamed Shujaa Mwongoza Njia

    SIKU YA MWANAMKE DUNIANI Gazeti la Mwananchi la leo limechapa makala ambayo walinitembelea Maktaba nami nikawazungusha katika mitaa ambayo wanawawake wa Tanganyika walikuwa hawapunguia katika harakati zao za kupigania uhuru. Naanza na kipande hicho hapo chini kinachomjulisha Bibi Titi miaka ya...
  7. JamiiForums Tanzania Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

    Waswahili husema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, mchezaji wa Azam, Prince Dube ameandika barua ya kuvunja mkataba ambao umebakiza miaka 2! Jambo hili sio jambo zuri hata kidogo kwenye soka letu, suala la mchezaji kukosa tu furaha na akaamka asubuhi na kuandika barua ya kuvunja mkataba...
  8. JamiiForums Tanzania Dereva malori anaepita njia ya KIGOMA via UVINZA kuja Dar anahitajika

    Habari ndugu? Nina mchele Kigoma Malagarasi(Musoma) nahitaji namba za dereva muaminifu anibebee kuja Morogoro. Zipo gunia 8 za kilo 100. Karibu Pm. NITALIPIA
  9. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa tumbo kubwa kwa mwanamke na matumizi ya vijiti au njia za uzazi wa mpango?

    Habari za leo wakuu, Nasikia watu mtaani wakisema matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama kuweka vijiti huchangia wanawake kuwa na matumbo makubwa, Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
  10. JamiiForums Tanzania Israel inasubiri mateka wake kwa njia ya mazungumzo. Kwa vita imeshindikana kuwapata

    Vita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana katika historia ya vita. Misikiti na hospitali zote zimevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini wapi! Kila wakipiga na kuua watu wanajikuta mikono mitupu, hakuna Hamas wala mateka. Imebidi...
  11. JamiiForums Tanzania Njia ambazo mtu anaweza kusaidia kupunguza mabadiliko ya tabianchi

    Tabia Nchi inahusu mabadiliko ya hali ya hewa duniani kwa muda mrefu. Ni matokeo ya ongezeko la gesi chafu katika anga, kama vile dioksidi kaboni, ambayo husababisha joto kuongezeka duniani. Matokeo yake ni mabadiliko makubwa katika hali ya hewa, kama vile kuongezeka kwa joto, mafuriko, ukame...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa njia ya Mtandao

    Habari Wana JamiiForum? Nilikuwa nahitaji kufahamu je ni sahihi kwa watu wanaokopshe kwa njia ya app kuhack phonebook ya mteja na kuanza kuwatumia watu walio kwenye phonebook ya mteja na kusambaza taarifa za mteja kwa kushindwa kulipa deni ndani ya siku walizokubaliana? Na isitoshe wanaotumiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Naweza kukuonesha njia nzuri ya kuipa muonekano nadhifu ofisi au nyumba yako

    Habari zenu wadau, leo nawakaribisha na kuwaambia kwamba sisi kama African businesses tunatoa huduma ya kupamba na kupendezesha ofisi au makazi kwa kwa kutumia mapambo ya mbao na picha pamoja na materials mengine, tunafanya ofisi au nyumba yako kuwa nadhifu kabisa. Gharama zetu ni nafuu sana...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Academic Mikocheni Njia ya Clouds inasababisha Foleni, Utaratibu mbovu wa kupokea magari

    Hii shule ipo njia ya Cocacola -Clouds, karibu kabisa na Bushoke Chips, hapa bhana asubuhi wazazi wanaleta watoto wao shule, basi hakuna parking, magari yanajaa barabarani na inasababisha foleni na usumbufu sana kwa watumiaji wa barabara hiyo. Tunaomba uongozi wa shule uwajibike kuwa na mpango...
  15. JamiiForums Tanzania Ratiba ya msafara wa njia ya Mazishi ya Hayati Edward Lowassa

    Ratiba ya msafara wa njia ya Mazishi ya Hayati Edward Lowassa
  16. JamiiForums Tanzania Video: Umaarufu unatafutwa kwa njia nyingi, angalia huyu jamaa anadai kuwa ni mtoto wa Marioo

    Mimi Mjanja M1 siwezi kujichosha kuandika paragraph kuhusu hii Habari. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako?
  17. JamiiForums Tanzania Ukijifunza kwa waliofanikiwa, hawawezi kukupa njia za mafanikio

    Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝 Imekuwa kawaida sasa kwa watu waliofanikiwa kiuchumi kubaki na siri zao namna walivyo ukimbia ukata, kila Tajiri utakaye muuliza kuhusu mafanikio yake lazima atakuambia: • Nilianza kuuza karanga za kupima. • Nilianza kushona viatu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia ya upepo/pepo?

    Salaam/Shalom TAFSIRI YA UPEPO ,WIKPEDIA; Ni mwendo wa hewa. Husababishwa na joto la jua. Hewa ikipashwa joto na jua, hupanuka kuwa nyepesi na kupanda juu hivyo inaacha nafasi ambako hewa baridi zaidi inaingia kuchukua nafasi yake. Kuna aina nyingi za upepo, Upepo mkali huitwa DHORUBA...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Makonda ni kada siyo mtumishi wa umma hastahili kusafishiwa njia na trafiki kwa kufunga barabara

    Habari wadau Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara! Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa! Siyo mtumishi wa Umma! Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia! Hata kama...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ya Uganda inapendekeza njia ya Tanzania kwenye uagizaji wa mafuta

    Uganda imeanzisha mashauriano na Tanzania kuruhusu Kampuni ya Mafuta ya Kitaifa ya Uganda kuuza na kushughulikia uagizaji wa mafuta. Hatua hii inafuatia kukataliwa kwa leseni ya Kampuni ya Mafuta ya Kitaifa ya Uganda (UNOC) kufanya kazi kama muuzaji wa mafuta wa ndani. Waziri wa Nishati na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…