nje

Nje (Њ њ; italics: Њ њ) is a letter of the Cyrillic script.
It is a ligature of the Cyrillic letters En ⟨н⟩ and Soft Sign ⟨ь⟩. It was invented by Vuk Stefanović Karadžić for use in his 1818 dictionary, replacing the earlier digraph ⟨нь⟩. It corresponds to the digraph ⟨nj⟩ in Gaj's Latin alphabet for Serbo-Croatian.It is today used in Macedonian, variants of Serbo-Croatian when written in Cyrillic (Bosnian, Montenegrin, and Serbian), Itelmen and Udege, where it represents a palatal nasal /ɲ/, similar to the ⟨ny⟩ in "canyon" (cf. Polish ⟨ń⟩, Czech and Slovak ⟨ň⟩, Galician and Spanish ⟨ñ⟩, Occitan, Portuguese and Vietnamese ⟨nh⟩, Catalan and Hungarian ⟨ny⟩, and Italian and French ⟨gn⟩).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Dhana ya Local Content imeishia wapi? Kivuko kukarabatiwa nje ya nchi

    Kuna Dhana ilianza kupigiwa debe na Serikali ya kuwawezesha watanzania kunufaika na fursa zilizoko nchini ili kuchochea ajira na kukuza uchumi wa nchi yetu, Leo Bilioni 7.5 zinakwenda kunufaisha nchi jirani wakati angepewa Songoro Marine ambaye ni mtanzania fedha zingezunguka Tanzania. Vijana...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Manusura wa utawala wa awamu ya tano waliokimbilia nje wote ni kama Mwenyezi Mungu amewabariki

    Huwezi amini fadhili za Bwana ni za milele. Manusura wote wa mkono wa chuma wa awamu ya tano waliokimbilia nje ya nchi kuokoa roho zao Mungu hakuwatindikia wao na familia zao. 1. Tundu Antipas Mughway Lissu. Anapanda mwewe daily mitoto iko USA unyamwezini. Yani lisu huyu kawa more international...
  3. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
  4. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kutumiwa pesa na mtu akiwa nje kwa njia ya M-Pesa

    Nina ndugu yangu yuko Marekani anataka kunitumia pesa ila akituma iingie kwenye M-pesa yangu. Ameniambia wazi kuwa angetumia Western Union lakini makato yake ni makubwa. Naombeni msaada hasa nyie watu wa Vodacom hili litawezekanaje?
  5. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mchele kutoka nje na hatma ya wakulima wetu

    Mchele kutoka nje. Je tumejiridhisha kwamba uliopo nchini hautoshi? Je uzalishaji wetu wa mchele ni kiasi gani, mahitaji kiasi gani na upungufu kiasi gani Hizo tani elf 90 za mchele zitaingizwa kwa muda gani Je wakulima walioko shamba kwa sasa mchele wao watauza wapi wakikutana na huo wa nje...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Manesi wanahitajika: Kama wewe ni nesi ajira ya nje nje hii hapa tuma maombi nenda mkachape kazi

    Nurse Position at Milvik Bima Location : Dar es Salaam, Tanzania MILVIK BIMA Founded in 2010, MILVIK BIMA is democratising healthcare in emerging markets through technology that enables affordable and accessible healthcare solutions, while empowering people to take control of their health. With...
  7. Moha Mfinanga

    JamiiForums Tanzania Fursa Ya Ajira kwenye Magari makubwa ya Mikoani na nje ya nchi

    Mwenye fursa naomba tupeane connection
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yataka maelezo juu ya zuio la Zanzibar la kutouza nje Sukari na Mchele

    Zanzibar wamestuka Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikitangaza zuio la uuzaji nje ya nchi bidhaa ya sukari na mchele, Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) kimeitaka itoe maelezo ya kina juu ya marufuku hiyo. Kimesema uamuzi huo umefanyika wakati ambao, Serikali ya Mapinduzi ya...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kumkamata Aliyepiga picha watoto wakiwa chini ni kumuonea, zipo shule nyingi watoto wanakaa chini

    Kufuatia sakata la picha liyopigwa ikionesha wanafunzi wa Shule ya Sekondari Sinde wakiwa wamekaa wakisoma chini bila madawati na Serikali ikionekana kung'aka kwa kumuweka ndani anayesemekana kupiga picha hiyo ni sawa na mbuni kujifunika kichwa huku mwili ukiwa nje na akidhani kajificha. Soma...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu acha kupanick, jibu hoja za Luhaga Mpina. Kwanini utumie reserve ya dola kujengea madarasa nje ya bajeti? Mbona awali hukusema kweli?

    We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi. Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti. Sasa hivi unadai kutumia reserve ya dola zenye thamani ya tril moja kujenga madarasa. Tukuamini kwa...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mwigulu mzee wa proffesional ya uchumi. Kama pesa za Uviko zilijenga madarasa Mbona ulitumia bil 124 nje ya bajeti? Acha kumshambulia shujaa Mpina

    Kelele kibao na kejeli. Eti wewe ni mjuvi wa uchumi? Mbona umeshindwa kusimamia fiscal policy na kudhibiti bei ya maharagwe? Eti tujadili uganga? Wewe ndio una amini uchawi? Pesa za uviko zilijenga madarasa na mkatuambia yanatosheleza. Sasa kwa nini udokoe bil 124 nje ya bajeti?
  12. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Bungeni amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350

    Waziri Mwigulu bungeni Februari 1, 2022 amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350 kama ilivyosemwa na wabunge. Swali ambalo Mwigulu hakulijibu Symbion amelipwa shilingi ngapi? Pascal Mayalla na wachambuzi wengine tusaidieni majibu na uelewa maana tumeambiwa watanzania...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Wadau wa kanuni na sheria za fedha na bajeti za wizara bungeni,suala la matumizi ya fedha nje ya bajeti ya wizara limekaaje?

    Kazi iendelee kwema jamani. Jana nimemsikia waziri wa wizara mmoja bungeni akijibu swali kuhusu matumizi ya fedha nje ya bajeti.Amejibu majibu rahisi as if anawajibu watu wa gani sijui na kinachonishangaza wabunge wameridhika na kukaa kimya. Kitu kingine kinachonisikitisha ni kuwa sheria na...
  14. vibertz

    JamiiForums Tanzania Nashauri Yanga itafute mtu wa sheria kutoka nchi za nje

    Kuna sakata kama tatu zimejitokeza kuhusu mikataba, Morrison, Fei toto, na sasa ni sportpesa. Sitaki kuchimbua sana lakini ukiangalia kwa umakini unaona kabisa mtu anayesimama kwenye kusainiana mikataba ni mtu asiye na maono, asiyekuwa na uwezo wa kufikiria na asiyejua kusimamia mikataba yenye...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kufungua biashara iliyo nje ya taaluma yako, ni upotevu wa ada kwa yule aliyekusomesha

    Wengi tunaamini kuwa, tunachokisoma mashuleni na vyuoni, ndivyo tunavyoenda kuviishi huko mtaani. Tunategemea mtu aliyesoma fani kama udaktari wa kutibu, uhandisi, uanasheria, uhasibu, ugavi, masoko n.k aende akaishi kile alichokisomea, iwe kwa kuajiriwa au kwa kujiajiri. Changamoto iliyopo...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya uteuzi iwe makini na uteuzi wa Mawaziri wa maeneo haya

    Wasalaam JF, Nitoe rai na angalizo kwa maslahi mapana ya usalama, ulinzi yazingatiwe, vizazi na vizazi vya hao watu na iwe Mvua, iwe jua, iwe mbalamwezi iwe Giza totoro, kuchunguza muhimu sana, sina wivu na mtu bali kwa maslahi ya taifa, utaifa na uzalendo. Sio kila mtu ni wa kumpeleka wizara...
  17. Trevor Belmont

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ndani na nje ya Tanzania, nina shahada na uzoefu na kazi za bandari

    Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo Leo. Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi dar es salaam nime hitimu bachelor degree in shipping and logistics management mwaka 2022 Nina...
  18. Trevor Belmont

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ndani na nje ya Tanzania, nina shahada na uzoefu na kazi za bandari

    Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo Leo.... Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi dar es salaam nime hitimu bachelor degree in shipping and logistics management mwaka 2022 Nina...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Nje Kimya, Wizara ya Habari kimya, Hivi hamjui Kimataifa huko Tanzania inaonekana kuna "Civil unrest"?

    Mnamuacha Mpaka Mkuu wa Majeshi ndio Aongee?? Kweli ?? Kweli kabisa?. Tukisema hamjui majukum yenu na kwambaz vyeo vyenu ni matokeo ya Baba zenu ,tunakosea??.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Bado natafuta broker wa stocks na ETFs za nje

    Habari wakuu. Niliweka hii post kule kwenye jukwaa na hoja mchanganyiko lakini sikupata jibu lolote. Nataka kuwekeza kwenye Exchange Traded Funds (ETF) lakini kampuni haina option kuwekeza kwa watu wasiokuwa wakazi wa Marekani. Kama kuna broker ambaye naweza kufungua akaunti kupitia kwake naomba...
Back
Top Bottom