Jirani yangu Nassoro ni miyeyusho sana yeye na mkewe. Toka Ramadan ilipoanza wao wananifuturisha mihogo na uji kila siku wakati naonaga wamenunua mchele na tambi na nyama.
Natafuta namna ya kumwambia maana kutochangia haimaanishi ndio wanipe mihogo kila siku kama nguruwe.
Habari zenu, kwa mwaka sasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la Sinus tachycardia, nimetumia propranolol miezi kibao ila zimenisaidia kupunguza maumivu tu ila sijapona.
Mwenye tiba ya huu ugonjwa anipe suluhishi maana doctor aliniambia hiyo hali ukitumia dawa itatoweka ila hakuna kilichosaidia...
Wakuu msaada, nahitaji sana kujua kizungu cha kusikiliza hasa cha kwenye movie za wazungu. Najua kusoma na kuandika kiingereza.
Mswahili mwenzangu pia akiongea kizungu naelewa kiaina, kimbembe kipo wakiongea wazungu na black america naambulia kidogo sana.
Napenda sana movies za Hollywood...
Kwanza niombe radhi Kwa mashabiki na Wanachama wenzangu wa Yanga, ambao tumekuwa tukivutana kuhusu kiwango cha Dube
Me ni shabiki mvumilivu mno
Dube havumiliki
Ni mchezaji wa kawaida mno
Dube hawezi kutusaidia mechi ya Ahly, FAR Rabat n. K
Kwa striker huyu tumekwisha wakuu
1996 : Natafuta pasipoti, nataka kusafiri kikafiri, popote nitafika hata south africa, nyumbani nimechoka, nazidi nyanyasika🎶
Sugu alikuwa visionary sanaa, hapa ulikuwa na umri gani?
Wajumbe ni watu wema sana.
Leo wamekula mitungi acha kabisa tangu saa moja asubuhi.
Wamenipigia kangala mixer na kitoko, ambiance, Kigogo na kila kilichopita mbele yao.
Sasa hivi wapo hoi wanasubiri majibu.
Kesho ndio nitaenda kufundisha vijana wenu.
Nahitaji mchumba tupendane kwa dhati, kwa idhini ya Mungu aniite mume nimuite mke
Vigezo vya nimtakae ni hivi.
1 Awe anaishi dar
2 Asiwe na mtoto.
Dini sibagui
Mimi pia naishi dar
Umri wangu 33
Dini yangu muslim.
Wanajamvi kama nilivyotangiliza heading, mara kadhaa nimekua nikikutana na neno KOBAZI kwenye comment mbalimbali humu jamvini, nimejaribu kufuatilia bila mafanikio.
Juzi nimeuliza nikaambiwa ni viatu lakini kila nikiangalia uhusiano kati ya viatu na comment za watu jamvini nakua sielewi kabisa...
Habari za muda mrefu wana jukwaa Jana nilileta uzi wa jirani mlevi ambaye akilewa anatukana usiku, nashangaa leo nimerudi sisikii kelele zako, enewei tuachane na hayo. Siyo lengo la uzi.
Iko hivi, mimi nahisi nimerithi tabia ya uvivu, naweza nikalala usiku nikajisemea moyoni kabisa kuwa kesho...
Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku
Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe
Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio...
Wakuu wa kazi, upweke utaniua mwenzenu na nimeokoka sitaki kuwa na nyumba ndogo
Mwenzangu ni mwalimu huko machakani, elewa neno machakani, ni machakani haswaaa.
Sasa nilijipa matumaini atafanikiwa kuhama baada ya tangazo fulani la msawazo mwaka jana, ila tangu ajaze lile tangazo huu ni mwezi...
Kichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 .
Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki...
Wasalaam wana JF.
Ni muda mrefu sasa (zaidi ya miaka 30) nimekuwa mshabiki wa movie za vita, uhasama, ubabe na umafia kati ya bin adam na bin adam ila imetokea ghafla kuanza kuona hakuna jipya kwani nikutafuta sifa baina ya mtu na mtu au taifa fulani na jingine.
Nimeamua kwenda na hii...
Jamani hali ngumu,
Mwenye uhitaji wa Mpishi wa kupika vyakula mbalimbali hebu tupeane connection.
Nimesoma Hotel Management pale DDC Kariakoo na kufanya kazi sehemu mbalimbali.
Nyumbani kunachosha sana. Mnataka tufe na njaa au?
Niko Dodoma mjini.
Hata kama wataka kupikiwa nyumbani kwako...
Hello waungwana!
Ni sasa kama mwaka wa pili unaenda Niko na jirani yangu hapa kutokana na kuwa kwa Dar es Salaam kuwa ya mgao wa maji muda wote mwaka mzima, basi huyu jirani akiona maji yanatoka kazi yake ni kufunga MITA yangu ya maji ili maji yote yaende kwake.
Ananisababishia hasara...
Nawaza nimtafute sheikh anisomee Dua Kwa uyu mwanaume niliyempata saizi asiniache nimechoka,sitaki aniache nampenda😭😭.
Hofu yangu asije akapita hiv kama wale!! ''comment zenu sizielewi Hadi saizi niombe Dua kwaajili ya uyo mwanaume au niache niingie kichwa kichwa bila Dua?" Ha ha ha ha...
Nimewaza sana hili jambo
Kariakoo sijui wanaingizaje faida ama kuna mengineyo
Unakuta frame kubwa kalii hatareee
Ndani imejaa nguoxa ndani ii tupuuuu
Nje kuna BMW...CX5 KAMA ZOTEE
V8
JE HAWA WOTE Wanaenda kununua nguoo za ndani ama kuna mengineyoo
Kama wanapata faida kila la kheri
KAKA hii siri ya mwisho kukupa nimechoka
Tangulia kitandani kavurunge alivyotandika jifanya umelala na umetawanya miguu yako maana akija kulala akute umevurunga shuka atakuambia umke atandike vizuri kitanda😀📌
Uwe kama ulikuwa umesinzia ujinyooshe😀 kisha uvute shuka, duvet ulilokuwa umejifunika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.