nigeria

  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Waislamu 11 Wakamatwa Nigeria kwa kutokufunga Mfungo wa Ramadhani

    Polisi wa Kidini nchini Nigeria wamekamata watu 11 siku ya Jumanne kwa kuonekana wakila chakula mchana katika mwezi wa Ramadhani. Watu hao wamekamatwa katika jimbo la kaskazini la Kano. Kano ina idadi kubwa ya Waislam, ambapo sheria ya kidini – Sharia- inatumika pamoja na sheria za kawaida za...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Nigeria wapinga Uwanja wa Ndege kupewa jina la Rais Bola Tinubu

    NIGERIA: Wananchi kutoka katika jimbo la Niger wamepinga uamuzi wa Serikali kubadili jina la Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Minna na kuuita jina la Rais Bola Tinubu kwa maelezo ya kutambua mchango wa kiongozi huyo katika maendeleo ya jimbo hilo. Pia, Msemaji wa Serikali ya Jimbo hilo, Hajia...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Staa wa Nollywood, Mr Ibu aliyefariki kufikishwa Mahakamani kwa Kula Hela za michango

    Ulimwengu wa Filamubza Nigeria 'Nollywood' umempoteza nyota wao wa filamu hasa za Vichekesho, John Okafor maarufu kwa jina la Mr Ibu (62) chanzo kikitajwa ni kupata Mshtuko wa Moyo ikiwa ni baada ya kuwa mgonjwa kwa muda mrefu. Mr Ibu aliyeigiza zaidi ya filamu 200 amefariki wakati alipokuwa...
  4. greater than

    JamiiForums Tanzania Kumbe hapa ndipo wanapotuzidia Kenya na Nigeria

    IDADI YA VYUO VIKUU KWA NCHI KUSINI MWA SAHARA 1.Nigeria -262 2.Kenya -129 3.Afrika Kusini - 123 4.Ethiopia -73 5.Ghana - 70 6.Uganda - 69 9.Tanzania - 52 Hakuna ubishi kama elimu ni muhimu katika maisha ya watu. Taifa ni ngumu kujinasua kiuchumi kama haija jipambanunua kielimu. Hizo takwimu...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Uti wa Mgongo waua Wanafunzi 17 nchini Nigeria

    Takriban wanafunzi 17 katika shule tano katika jimbo la Yobe kaskazini-mashariki mwa Nigeria wamefariki baada ya mlipuko wa homa ya uti wa mgongo, mamlaka imethibitisha. Miongoni mwa waliofariki ni wanafunzi wa shule za msingi na wengine katika shule za upili za bweni, kamishna wa elimu wa...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nigeria yaanzisha tozo ya kila mwaka kwa wafanyakazi wa kigeni

    Nigeria imeanzisha ushuru wa lazima wa kila mwaka kwa mashirika yanayoajiri wafanyakazi kutoka nje, inayowahitaji kulipa $15,000 (£12,000) kwa watu wenye cheo cha mkurugenzi na $10,000 kwa vitengo vingine.. Hatua hiyo inakusudiwa kuhimiza makampuni ya kigeni kuajiri wafanyakazi zaidi wa...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Davido kutoa Tsh. Milioni 500 kwa vituo vya watoto yatima vya Nigeria

    Mwanamuziki wa Afrobeats wa Nigeria, Davido ametangaza kuwa atatoa Naira 300m ($197,000) kwa vituo vya Watoto yatima nchini mwake. "Mimi na taasisi yangu tunaahidi jumla ya Naira Milioni 300 kwa Vituo vya Watoto yatima kote Nigeria... kama mchango wangu wa kila Mwaka kwa Taifa...maelezo ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Raia walia na hali ngumu ya maisha chini ya Rais Tinubu

    15 FEBRUARY 2024 Kano City, Jimbo la Kano Nigeria WATAASI RAIA, HALI NGUMU YA MAISHA KASKAZINI, WAMECHOKA AHADI ZETU VIONGOZI https://m.youtube.com/watch?v=F_dw0D2tcP0 Watuma ujumbe mzito, raia sasa wagombania makabi ya mpunga badala ya mchele kutokana na ughali wa maisha na kumtahadharisha...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Saini ya Rais wa zamani wa Nigeria yaghushiwa na kutolewa Tsh. Bilioni 15

    Nigeria inatafuta usaidizi wa Interpol ili kuwakamata washukiwa Watatu wanaodaiwa kuiba Dola 6.2m (Tsh. Bilioni 15.1) kutoka Benki Kuu ya Nigeria kwa kutumia sahihi ya kughushi ya aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Muhammadu Buhari. Mamlaka zinaamini washukiwa walikula njama na aliyekuwa Mkuu wa...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Ivory Coast, Nigeria na Afrika Kusini wapewa zawadi nono na serikali zao.

    Pesa, nyumba na heshima zinatolewa kwa wanasoka kutoka Ivory Coast na Nigeria, baada ya mchujo wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Jumapili. Kila mchezaji katika kikosi kilichoshinda cha Ivory Coast ataweka mfukoni $82,000 (£65,000) zaidi ya shilingi milioni mia mbili za kitanzania na...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Baada ya AFCON hivi ndivyo wachezaji wa Ivory Coast na Nigeria wanavyokula mkwanja na kupewa nyumba

    Baada ya Ivory Coast kutwaa ubingwa wa Kombe la Matafa ya Afrika (AFCON 2023) kila mchezaji anatarajiwa kupata Dola 82,000 pamoja na nyumba ikiwa ni ahadi ya Rais wa taifa hilo, Alassane Ouattara. Upande wa Nigeria walioshika nafasi ya pili kila mchezaji atapata Tuzo ya Heshima, nyumba na...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: Nigeria 1-2 Ivory Coast | 2024 AFCON Final | Stade Alassane Outtara | 11.02.2024. Ivory Coast abeba ubingwa

    Majira ya Saa 5:00 Usiku kutapigwa mchezo wa Fainali ya AFCON 2024 ambapo Nigeria atawavaa wenyeji Ivory Coast. Ni mchezo unaovuta hisia za wengi hasa kutokana na viwango vya timu zote mbili. Nigeria ikionekana ni timu iliyokamilika huku Ivory Coast unyumbani ukiwasaidia. Kura yako unampa nani...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria atishiwa maisha

    Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria Stanley Nwabaly, amekumbwa na kitisho baada ya kuifanikisha timu yake ya Taifa ya Nigeria kuwatoa Afrika kusini kutinga fainali ya michuano ya AFCON inayochezwa mwaka huu 2024 nchini Ivory Coast. Inaelezwa kuwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini Afrika Kusini...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania AFCON: Nusu Fainali: Nigeria 1-1 (4-2) Afrika Kusini : Februari 7, 2024

    Uwanja wa Stade de la Paix, Bouaké Mwamuzi wa kati ni Amin Omar, raia wa Misri Dakika 90 zimekamilika matokeo ni 1-1, sasa zimeongezwa dakika 30, mtnage unaendelea Nigeria ilianza kwa kupata goli lake kupitia kwa bei wa kati William Paul Troost-Ekong anayeichezea Klabu ya PAOK ya Ugiriki kwa...
  15. Execute

    JamiiForums Tanzania Simba imsajili yule Lookman wa Nigeria na Gilberto wa Angola

    Simba tumtoe pale Atalanta huyu Lookman aje na pia yule Gilberto apewe mkataba. Hivyo tutabeba Caf CL mwakani.
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wanawake zaidi ya 35 watekwa nyara Nigeria wakirudi kumsindikiza Bi harusi

    Takriban watu 35 hawajulikani walipo baada watekaji kuwachukua wageni waalikwa waliokuwa wakirudi kutoka harusini huko kaskazini magharibi mwa Nigeria, mafisa wameliambia shirika la habari la AFP. Utekaji huo wa idadi kubwa ya watu katika jimbo la Katsina unasemekana ndio mkubwa katika...
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nigeria anabeba Ndoo AFCON

    Mapopo wananyanyua ndoo AFCON. Majamaa yana dhiki ya mafanikio
  18. U

    JamiiForums Tanzania Nyimbo ya Harmonize ft Marekabi ni Nzuri , ila beat bado sana kufika level za Nigeria

    Harmonize ametoa wimbo mkali, lakini bado beat na production za Tanzania hazipo kwenye kiwango sahihi na Wala haziendi na wakati, beat ni ya kizamani na production ni low quality. Harmonize alishindwa Nini kupanda ndege kwenda Kwa producers wa Nigeria amtengenezee kitu kali kama zilivyongoma za...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Angola kuzawadiwa Million 20 wakiifunga Nigeria

    Wachezaji wa timu ya Taifa ya Angola wamepewa simu [ Iphone 15 ] na kampuni ya UNITEL hii ni baada ya kufanikiwa kuingia Robo Fainali. Aidha Angolan Bank pia imetoa dola 6,000 kwa kila mchezaji kwa kufika hatua hii ya Robo Fainali. Kama haitoshi Angolan bank, imetoa ahadi ya dola $9,600 sawa...
  20. MKATA KIU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa imekuwa Transactional, Muimba Gospel maarufu Nigeria Moses Blis alalamikiwa na wanawake kwa kumchumbia binti mambo safi na kuwaacha wa kanisani

    habari wadau. baada ya muimbaji wa gospel maarufu nchini Nigeria Moses Bliss kumchumbia Binti wa kighana mwenye uraia wa uingereza ambaye amejuana nae kupitia mtandao wa instagram mwaka jana. Limeibuka kundi kubwa la wanawake wa ki nigeria mtandaoni wakimlalamikia muimbaji huyo kwa...
Back
Top Bottom