JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,308
- 5,460
Uwanja wa Stade de la Paix, Bouaké
Mwamuzi wa kati ni Amin Omar, raia wa Misri
Dakika 90 zimekamilika matokeo ni 1-1, sasa zimeongezwa dakika 30, mtnage unaendelea
Nigeria ilianza kwa kupata goli lake kupitia kwa bei wa kati William Paul Troost-Ekong anayeichezea Klabu ya PAOK ya Ugiriki kwa njia ya tuta katika dakika ya 67.
Dakika ya 90, kiungo Teboho Mokoena ambaye anaitumikia Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini aliipatia Sauzi goli la kusawazisha kwa penati baada ya mwamuzi kupitia VAR.
Ball linaendelea
Kadi nyekundu kwa Kikana wa Afrika Kusini, inakuwa faulo.
=========
Ushindi wa penati 4-2 umeiwezesha Timu ya Taifa ya Nigeria kuingia Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kuifunga Afrika Kusini katika mchezo wa Nusu Fainali.
Hadi dakika 90 zinakamilika na kuongezwa 30 za nyongeza matokeo yalikuwa 1-1, William Paul Troost-Ekong akiitanguliza Nigeria katika dakika ya 67 kisha Teboho Mokoena akasawazisha dakika ya 90, magoli yote yakifungwa kwa njia ya penati.
Hivyo, Nigeria inatarajiwa kucheza Fainali mnamo Februari 11, 2024 dhidi ya timu itakayoshinda katika mchezo wa wenyeji Ivory Coast dhidi DR Congo wakati Afrika Kusini ikisubiri kucheza mechi ya Mshindi wa Tatu, Februari 10, 2024.
Muda wa matuta