Wananchi wa Nigeria wapinga Uwanja wa Ndege kupewa jina la Rais Bola Tinubu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
NIGERIA: Wananchi kutoka katika jimbo la Niger wamepinga uamuzi wa Serikali kubadili jina la Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Minna na kuuita jina la Rais Bola Tinubu kwa maelezo ya kutambua mchango wa kiongozi huyo katika maendeleo ya jimbo hilo.

Pia, Msemaji wa Serikali ya Jimbo hilo, Hajia Binta Mammam amesema mabadiliko hayo ni moja ya mipango ya kubadili majina ya Viwanja 15 vitakavyopewa majina ya Watu mashuhuri wa nchi hiyo wakiwemo Marais wa zamani.

Imeelezwa kuwa Wananchi wengi wamedai hakuna faida yoyote ya Kiuchumi itakayopatikana kwa uwanja huo kupewa jina la Rais Tinubu ambaye atauzindua uwanja huo leo Machi 11, 2024.

============

Nigeria's central Niger state has renamed a newly renovated local airport after President Bola Tinubu, sparking criticism.

The state's spokesperson Hajia Binta Mammam said the Minna International Airport was renamed in recognition of the president's development of the state.

However, some Nigerians have criticised the move, questioning its economic significance.


The Nigerian president is expected to commission the remodelled airport on Monday
Mr Tinubu is expected in Minna, the state's capital, on Monday to commission the remodelled airport and flag off an agricultural processing zone.

The airport was formerly known as Abubakar Imam International Airport, named after a Nigerian writer and journalist, who pioneered the first Hausa language newspaper in northern Nigeria.

Last year, aviation authorities in the country announced plans to rename 15 federal airports after prominent Nigerians, including former presidents.

BBC
 
Back
Top Bottom