Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria Stanley Nwabaly, amekumbwa na kitisho baada ya kuifanikisha timu yake ya Taifa ya Nigeria kuwatoa Afrika kusini kutinga fainali ya michuano ya AFCON inayochezwa mwaka huu 2024 nchini Ivory Coast.
Inaelezwa kuwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini Afrika Kusini wanamtumia ujumbe wa vitisho wakisema asirudi tena Afrika Kusini ndani ya klabu yake ya Chippa United Kwa sababu watamfanya kitu kibaya.
Nini maoni yako?