nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha NIDA kwa mara ya pili

    Inasikitisha sana wakuu
  2. JamiiForums Tanzania Mstaafu anakwama sababu ya kukosa ID ya NIDA

    Wakuu heshima kwenu, Mbali na kuwa ana namba ya kitambulisho cha NIDA mzazi wangu aliyefikisha umri wa kustaafu anakwama kufwatilia process zote ndani ya halmashauri anapofanyia kazi kwakuwa anakosa kitambulisho cha NIDA. Wahusika wanaopokea barua zake wamekataa kutumia namba ya NIDA wanataka...
  3. JamiiForums Tanzania Mama kasema tukosoe na tushauri suluhu: "Bure Bure" ya NIDA inatuchelewesha

    Kufuatia wito wa Mh. Rais kwamba vijana tutumie mitandao kukosoa lakini pia tupendekeze suluhisho la yale tunayoyakosoa, leo nina pendekezo juu ya suala zima la utoaji wa vitambulisho vya utaifa kupitia NIDA. Utangulizi; Ninafahamu hali ya kifedha ya baadhi ya watanzania wenzetu ni ngumu sana...
  4. JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha NIDA si kigezo cha uraia - Waziri

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa mwananchi kuwa na kutambulisho cha NIDA haina maana kwamba hicho ndicho kinachoonesha uhalali wa uraia wake kwani vitambulisho hivyo hata wananchi wasiowazawa wa Tanzania wanavyo. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna nini NIDA hadi vitambulisho havitoki tena?

    Nchi zetu changa zinapelekeshwa kila siku na ubeberu. Ukiwepo mpango wowote wenye maslahi kiuchumi kwa umma ila unakinzana na maslahi ya ubeberu au vikaragosi vyao unakwama. Ni vigumu mtu kuamini sababu zinazotolewa kila siku kwanini mpango wa Serikali kuwapatia wananchi wake vitambulisho...
  6. JamiiForums Tanzania Nataka kutumia jina tofauti kwenye Kitambulisho cha NIDA

    Heshima Yenu Wakuu, Hongereni kwa majukumu ya kuijenga mama Tanzania. Nahitaji msaada wa mawazo yenu na pia kwa aliyekutana na hii changamoto anipe usaidizi pia iwafikie wahusika Serikali pamoja na NIDA. Nipo kwenye mchakato wakupata kitambulisho cha taifa (NIDA). Changamoto yangu iko hapa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Kupata kitambulisho cha NIDA siyo mwarobaini wa kutokuulizwa uraia wako

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameeleza kuwa kuwa na kitambulisho cha Utaifa (NIDA), hakuhalalishi mtu kuwa ni Raia wa Tanzania. Pia soma > Mbunge :Wasiojua vema mashairi ya wimbo wa Taifa na Kiswahili wanaambiwa siyo raia wa Tanzania Simbachawene ameeleza hayo leo Mei 4...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kupata API za NIDA

    Habarini wapendwa, nahitaji kupata API za NIDA kwa yeyote ambaye amewahi kuzipata naombeni procedures
  9. JamiiForums Tanzania Waraka Maalumu kwa Rais Samia Suluhu Hassan juu ya hujuma zinazofanywa na Watendaji wako NIDA

    WARAKA MAALUM KWA MH. SAMIA SULUHU RAIS WA TANZANIA JUU YA UTAPELI NAOFANYIWA NA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA(NIDA Salaam kwako Mkuu wa Taifa la Tanzania, naitwa DON NALIMISON ni Mwanamuziki na Mjuvi wa Falsafa, malalamiko yangu nayafikisha Mbele ya Kiti chako Cha Ikulu ili niweze...
  10. JamiiForums Tanzania Jamani naombeni msaada hivi ukitaka kupata namba yako ya NIDA unafanyaje?

    Jamani msaada ukitaka kupata namba yako ya nida unafanyaje kwa sasa hivi manake nimejaribu ussd code(*152*00#) imekataa sehemu ya nida siioni.
  11. JamiiForums Tanzania Hili la Viwanja na NIDA lisisubiri hadi Julai 2021

    Kama nilichokisikia ni kweli, naipongeza serikali kwa kubuni njia nzuri ya kupambana na ufisadi kwenye sector ya ardhi. Lukuvi anasema ataunganisha namba ya mmiliki ya NIDA na taarifa za kiwanja/viwanja anavyomiliki. Niliwahi kushauri kwenye thread moja iliyohusu kuondoa na ku-descourage...
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu nisadieni jinsi ya kupata copy ya kitambulisho cha NIDA ni muhimu sana

    nina shida sana na copy ya kitambulisho cha kwaajili ya bank akaunt nilipewa emaili ya meneja wa NIDA wa Iringa lakini maeneo ya kazi wanakwepa kutuma barua ya dharula kwa njia ya email kuna anayeweza kunitolea copy ya kitambulisho cha nida humu sipo sana coz simu kubwa sina ni very serious...
  13. JamiiForums Tanzania Uhamiaji, NIDA na RITA, mfungulieni Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond Platnumz kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anye

    Salaam Wakuu, Vyombo vya Serikali viache double standard. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM...
  14. JamiiForums Tanzania HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

    Abdul Razaq Badru Mkurugenzi wa Bodi amefafanua kwamba mnufaika ataanza kulipa baada ya miezi 24 [miaka 2 ] kama hana ajira. Baada ya hapo Deni linakuwa kwa 10% kila mwaka. Watu ambao hawajaajiriwa kwenye sekta rasmi wanapaswa kurejesha 100,000/= au ASILIMIA KUMI 10% ya pato analolipia kodi...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha NIDA na Hati ya Kusafiria kutumika katika kupiga Kura Oktoba 28

  16. JamiiForums Tanzania Kuhitajika namba za NIDA wakati wa application SUA

    Wadau, wakati nafanya application SUA. Nimekutana na kipengele kinachohitaji namba ya NIDA.. Sasa kama hauna inakuwaje hapa.!!, kuna mtu yeyote kakutananacho hiki kipengele..?
  17. O

    JamiiForums Tanzania Muda wa Kupata Passport ya Kusafiria

    Nauliza
  18. JamiiForums Tanzania NIDA bado tatizo: Wafanyakazi wa NIDA wanachukulia watanzania hatuna akili

    Wanajamii, nafikiri wafanyakazi wa NIDA wanachukulia watanzania hatuna akili. Binafsi nimejiandikisha tangu mwaka jana mwezi wa 3 lakini kila nikifuatilia kitambulisho naambiwa kwa sasa wanatoa namba tu vitambulisho wamesitisha. Kwa akili ya kawaida huu ni upumbavu uliokithiri kwa sababu; 1...
  19. JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Wakuu Salaam; Ofisi ya Rais-Tamisemi imefungua rasmi dirisha la kutuma maombi ya ajira kwa sekta ya elimu. Kila aliye na sifa anaweza kuomba ajira hiyo kupitia link ifuatayo :https://ajira.tamisemi.go.tz/ . Kigezo cha kua na kitambulisho au namba ya NIDA kimejumuishwa kama msingi kwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania NIDA IIala ni aibu na fedheha kwa Serikali

    Wadau nimekuwa nikifuatilia kitambulisho changu cha uraia tangu mwaka jana, Kila siku umekuwa danadana. Kilichonifanya nilete Uzi huu no uzembe wa mamlaka pale unapokatika umeme kushindwa kutimiza majukumu yao kwa kisingizio cha kukatika umeme wakati wanayo standby generator. Nilipouliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…