Hakiki kama namba yako ya NIDA imetumika kutengeneza line za wengine *106#

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
NIDA WAMETOA MWONGOZO

KUTOKANA NA MALALAMIKO
KWA BAADHI YA NAWAKALA KUTUMUA NAMBA ZA WATU ZA nida kutengeneza line za watu

Serikali kushirikiana na nida inaomba kila mwananchi kuhakiki kama namba zilizopo n za KWAKE ama.LAH

NENDA *106# hapo elekea namba 2 andika namba ZAKO za nida ukionaa utitiri WA namba usizozijua nenda KARIBU na duka LA TIGO.AIRTEL.VODA NK
WAPE namba hizo wataziblock

Ikumbukwe mawakala wamekuwa wakishikiza watu kidole na KUSEMA network mbovu KUMBE wanasajili line mpya za kuwauzia watu

Zoezi HILI n endelevu leo nimekuta namba TATU sizijiui kwenye list naelekea asbh na mapema kuzifunga namba hizo
 
BASIASI,
Mkuu, nami nimeuliza, nimetajiwa namba mbili. Moja yangu, nyingine siyo yangu, ambayo ni ××××××××××
Kesho nitakwenda Voda kutoa taarifa hiyo!
 
Hii kitu ni muhimu sana kujua kama kuna mtu tayari ametumia namba yako ya NIDA kusajili laini zingine.
 
Nimejaribu haifanyi kazi, nielekeze zaidi if any additional information
Inafanya kazi fanya hivi
Piga hiyo code *106#
Zitatokea options mbili
1.Angalia usajili wako
2.Angalia usajili wako kwa namba ya NIDA

sasa ww utachagua namba 2
Kisha utaona maeelekezo yakisema weka namba yako ya NIDA ukishamaliza utatumiwa ujumbe utaona ikionesha ni namba ngapi za laini zimesajiliwa na hiyo namba yako ya NIDA.
 
Mkuu, nami nimeuliza, nimetajiwa namba mbili. Moja yangu, nyingine siyo yangu, ambayo ni ××××××××××
Kesho nitakwenda Voda kutoa taarifa hiyo!
Nenda shop ya mtandaoni wako unaoutumia lakini hakikisha unaenda na namba yako ya NIDA au kitambulisho kama unacho.
 
Mwe!! Tumepatikana😜 hii ndo maana ya serikali inamkono mrefu nimeanza kuushuhudia😂😂
 
Screenshot_20200209-164752_Messages.jpg


Mapema asubuhi tapeli limeamkia kwangu leo
 
Nenda shop ya mtandaoni wako unaoutumia lakini hakikisha unaenda na namba yako ya NIDA au kitambulisho kama unacho.
Post yangu hapo juu (#2), niliiandika hiyo namba. Baada ya hapo, nikawa kama naitumia M PESA. Daaaah, si nimeona linaandikwa jina langu! Ikabidi nii-edit post yangu haraka, na kuandika ×××××××××!
 
Ukishagundua unanufaika vipi ili kama ni fursa tuitumie si unajua hali tete kitaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kuenda kwa aliyekusajili, na kumpiga mkwala. Hilo ni kosa kubwa sana mbele ya vyombo vya sheria.
Hiyo namba ikihusishwa na uhalifu, wewe unaingia hatiani kirahisi sana. Kuja kufahamika ukweli, umeshaumia!
 
Back
Top Bottom