nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TCRA: Laini zote ambazo hazijasajiliwa kwa namba za NIDA zitafungwa kufikia Desemba 31, 2019

    Mamlaka hiyo imesema kwamba hakuna laini ya simu itakayofungwa kabla ya tarehe hiyo. Aidha, imesema wananchi wanatakiwa kwenda kusajili laini zao kwa kutumia vitambulisho vya uraia, na kuthibitisha usajili huo kabla ya muda uliowekwa kwa kuwa hakutakuwa na mabadiliko ya kuzifunga. Akizungumza...
  2. KENZY

    JamiiForums Tanzania Tamko la Rais mkoani Morogoro kuhusu NIDA mpaka sasa hivi mrejesho wake ni upi..?

    Mbona kama NIDA bado haieleweki hata baada ya rais kutoa tamko kule morogoro kwa kumtaka mkurugenzi wa NIDA kutatua changamoto hii ya upatikanaji wa huduma ya vitambulisho vya taifa..? Nini mrejesho wa NIDA kuhusu utekelezaji wa kusambaa wilaya zote ili watu wapate vitambulisho kabla ya azimio...
  3. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Hivi namba za NIDA kwa tuliojaza Ajira Portal tangu zamani tunaziweka sehemu gani?

    Habari waungwana? Kuna nafasi ya kazi nimeiona utumishi, nataka kuiomba but nasikia siku hizi ID au namba za NIDA ni muhimu katika kujaza Ajira Portal. Mimi nilijaza kitambo, je naweza kuomba nafasi mpya bila kuweka number za NIDA? Kama ninataka kuziweka naweka sehemu gani? Asanteni.
  4. sayoo

    JamiiForums Tanzania NIDA wanapataje hela za kutoa gawio kwa serikali?

    Naomba kuuliza hivi hawa NIDA wanapataje pesa za kutoa gawio kwa serekali?
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Huduma za NIDA ziwe kila Wilaya au NIDA watoe hela ya 'guest' kwa Wananchi. Ukiona bei ya mahindi iko juu, kalime yako

    Rais Magufuli amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dkt. Arnold M. Kihaule kufika Mkoani Morogoro leo na ikiwezekana akae Mkoani humo hata siku tatu ili kushughulikia tatizo la Watu wengi kukosa Vitambulisho vya Taifa huku Mkoa mzima ukiwa na ofisi moja pekee ya NIDA. Rais Magufuli ametoa agizo...
  6. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania Hili tatizo la RUSHWA kwenye ofisi za NIDA wahusika wanajua?

    Kuna kudaiwa rushwa kulikovuka mipaka katika hili zoezi la vitambulisho vya taifa, Hali imekuwa mbaya zaidi baada ya vitambulisho hivyo kutumika kusajili simu ambapo mwisho ni Desemba mwaka huu. Yalinikuta binafsi ila nikaamua niachane na kitambulisho na line nimesajili kwa kitambulisho cha...
  7. kagombe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa NIDA unahitajika

    Nauliza hivi, toka nipate number yangu na copy ya kitambulisho inachukua muda gani kupata kitambulisho halisi maana nikiwatumia ujumbe katika email yao najibiwa hivi: Ujumbe wako haujatufikia, tafadhali jaribu tena.
  8. Dusabimana

    JamiiForums Tanzania Watu wasio kuwa na sifa za kuwa raia wa Tanzania upo uwezekano wa Wao kupata vitambulisho vya NIDA

    Kama kichwa cha Habari ulivyo soma hapo juu.Ni kwamba kuna changamoto katika utoaji wa Vitambulisho vya Taifa,hasa kwa Mikoa inayo pakana na Nchi jirani. Mfano ni Mkoa wa Kigoma, unakuta baadhi ya Watu wana wamiliki Warundi kwa miaka mingi na kuwafanyisha kazi za Majumbani,Mitaani na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Umihimu Wa Kitambulisho Cha NIDA ni nini?

    Mi swali langu limenyooka sana. Umihimu wa kuwa na kitambulisho cha NIDA ni nini? Maana tukienda kutengenezesha Passport mpya tunahitajika ku wasilisha vyeti vya kuzaliwa na vinginevyo. Mimi kwa akili yangu nilikuwa nafikiria kuwa tukishapata Kitambulisho cha NIDA basi tena kutakuwa hakuna...
  10. Mwana Mpotevu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awarudisha nyumbani mabalozi 6, amtimua Mkurugenzi NIDA. Madeni Kipande afukuzwa kazi!

    Rais Magufuli ameamuru kurudi nyumbani mabalozi wawili haraka akiwemo Dr Batilda Buriani, Dr James Nsekela wa Italia na Peter Kalaghe wa Uingereza Pia Mkurugenzi mkuu wa NIDA Bw Mwaimu amesimamishwa kazi kuanzia sasa. Akitangaza hatua hiyo, Katibu mkuu kiongozi Ombeni sefue amesema Batilda na...
Back
Top Bottom