nia

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo shule za Tanzania hazifundishi watoto IT, majirani wanaonesha nia wanapewa grants kujipanua na kulamba mishahara takehome milioni 20+ majuu

    Wenzetu jirani Kenya, Uganda, Rwanda wamestuka kwamba Technology is the future, hawana budget kubwa kama mbele ila si haba wanapambana wasipitwe sana, wanaandaa watoto shule za msingi kujifunza kutenegendeza programs, mifumo ya computer, robots, n.k. mtoto anajengewa msingi imara kuvijua vitu...
  2. Fundi kipara

    JamiiForums Tanzania Nahisi GSM na Hersi wana nia mbaya kwa mashabiki wa Simba. Ukweli wote huu hapa

    As-Salaam Alaykum (Peace Be Unto You) Natumai Hamjambo Na Mko Vyema Karibuni Sana Katika Uzi Huu. Ukituskiza Vizuri Mashabiki wa Yanga Tukiwa Tunaongelea Mpira, Hasa Timu Yetu Wallah Nakuapia Tunakeraaa Sie na Ujichanganye Kusikiliza interview za Coach GAMONDI ambaye ungependa kusikia...
  3. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa kuwapiga tunao, sababu ya kuwapiga tunayo na Nia ya kuwapiga tunayo!

    Hii ndiyo kauli mbiu bora kabisa kutoka kwa mjangwani mwenzetu. Hakika tunaenda kuwagaragaza simba hawa wa manjano pale kwa mkapa. Karibu tuburudike. Dominika njema!
  4. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania NHIF kwa orodha hii ya dawa ambazo hazimo kwenye kitita chenu ni dhahiri hamna nia njema ya kuwasaidia Watanzania

    Dawa zote muhimu kwa wananchi wa mijini na vijijini hazimo kwenye orodha ! Hata bomba za sindano na plasta na antibiotic karibia zote hazipo kwenye kitita sasa mnamalengo gani? Oneni wenyewe picha hizikkw
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ya Mamelodi Sundowns yana nia ovu kwa Yanga

    Huwezi kufanya mazoezi huku mmejifunika uso, halafu mnapiga mashuti yasio ya kawaida. Mnafanya mazoezi huku mnalia sana, mnaomba mechi iwe hata kesho, hii sio sawa
  6. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania CCM toeni tamko kwamba dirisha kwa mwanachama yeyote kutia nia kuwania urais kupitia CCM limefunguliwa rasmi

    Nimeona chama changu Cha mapinduzi na Seketarieti ya chama, kamati kuu na mawaziri wote wakiongozwa na waziri mkuu ,wanapita huku na huku kukusanya pesa za fomu ya urais 2025. Ni kama Wana uoga Fulani kwa sababu muda wenyewe Bado sana! Wameanza hata kumpigia kampeni mgombea mmoja kwamba...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani kujenga bandari Gaza ni kuzuga. Hana nia nzuri na Wapalestina

    Watu wanakufa sasa kwa njaa Gaza na kuna malori ya misaada kwa mamia kwenye mipaka ya Gaza ambayo yameshindwa kuingia huko kikwazo ikiwa ni ruhusa ya Israel. Marekani kwa kujionesha kuwahurumia wanaokaribia kufa njaa imekuwa ikidondosha misaada michache ya michache ya chakula na sasa imesema...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

    Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi yao wameshatamka hadharani kuwa watagombea kupitia hayo majimbo bila kujali mchakato wa katiba ya...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo watangaza nia ya kujitoa SUK

    Hii ndio gia mpya waliyoamua kuja nayo baada ya Chaguzi zao kumalizika Zaidi soma hapa -- Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 8 Machi 2024 jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema viongozi wa chama hicho watakutana na Rais wa Jamhuri wa...
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kwanini mstari huu kwenye ramani ya Kenya umepinda, ilikuwa kwa nia gani?

  11. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kukataa mabadiliko ya miswada 3 inayopigiwa kelele na wote ni wazi wana nia ovu. Watanzania tusikubali

    Kama una nia njema huwezi kukataa kitu ambacho watu 99.999% wanakipigania ila wewe tu mmoja unakataa. By necessary implication ni kuwa wewe una nia OVU. Katiak social science kuna WENGI WAPE as opposed to natural science, na hivyo CCM inabidi ikubali matakwa ya wengi. Kuna mambo hayahitaji...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Rais ametoa maelekezo ya kukamilisha ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza. Je, watendaji watatekeleza?

    Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk Je, watendaji wakiwemo wakurugenzi, katibu mkuu na waziri wa uchukuzi Mbarawa hawatamwangusha Rais na kumchafua kanda ya ziwa...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya hii shule ni ya ajabu zaidi kuwahi kuyaona ni private school

    Hii inashangaza. Nimejiuliza maswali mengi. https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/csee/CSEE2023/results/s1475.htm
  14. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Je, kama vyama vingine vya siasa Tanzania vina nia nyingine, kwanini haviondolewi kwenye usajili?

    Kwa mujibu wa sayansi ya siasa, chama cha siasa kina nia moja tu, kukamata dola na kuwahudumia wananchi wote. Mhe. Rais amesema kuna vyama vina nia tofauti. Je, ni tofauti na hiyo nadhalia ya sayansi ya siasa? Au tofauti na nia ya CCM? Je, nia ya CCM inarandana na nia iliyopo kwenye sayansi ya...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nia ya kuwapiga Houth ilikuwepo kitambo. Ziara ya mwisho ya Blinken mashariki ya kati ilikuwa ni kuyakokota mataifa 4 vitani. Yote yalimkatalia

    Kibri cha Marekani na Uiengereza kuyaona mataifa mengine duniani hasa mashariki ya kati yanakaliwa na watu wajinga kinazidi kupata vikwazo katika awamu hizi. Juhudi za kuwashawishi viongozi wa mataifa hayo ya mashariki ya kati kuwapokea wapalestina wa Gaza zilikwama mapema sana.Juhudi hizo...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania DPP: Hakukuwa na nia ya kufungua kesi ya Jinai dhidi ya Pauline Gekul

    Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu amesema hakukuwa na nia kwa Wakili kufungua kesi ya jinai labda kuna sababu nyingine ambayo haijafahamika na alichokifanya kuingilia kesi hii ni kutimiza majukumu yake kisheria kwa sababu leo ni kwa huyu (Mhe. Pauline Gekul) lakini kesho...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kituo cha basi Magufuli hakijabadiliswa jina. Wafuasi wa CHADEMA walipotosha mitandaoni kwa nia ovu

  18. Influenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania India yaonesha nia ya kupata Duma kutoka Kenya, siku chache baada ya kuipa mkopo wa Ksh. Bilioni 38

    Serikali ya India imeonyesha nia ya kupata duma kutoka Kenya wakati wa ziara ya Kiserikali ya Rais William Ruto katika taifa hilo la Asia. Kama ilivyoripotiwa na The Indian Express, Wizara ya Mazingira ya India tayari imewasilisha pendekezo hilo lakini maelezo kuhusu idadi ya duma walioombwa...
  19. Doto12

    JamiiForums Tanzania UDART kama mna nia ya kutoa huduma toeni hizi nauli ni upokaji

    Unavailable wazungu si ndio badi kuweni na utu. Jambo moja msilolijua nchi za mabepali, wanatufanyia ubepali wageni. Lkn kwa raia wao wanafanya welfare huduma kwa wananchi. Istoshe hata sie wageni tunapoingia mataifa haya tunaona. Tiketi ya mkato mmoja itumike kwa masaa kwann nikate kila mara...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini nikimshauri Mtu Jambo Kiupendo na kwa Nia Njema na Kumtahadharisha nalo pia akinipuuza na Likimharibikia ananiona Mchawi na nimemroga?

    Huenda ikawa ni Zawadi ambayo Mwenyezi Mungu amenipa kwa Kuniumba nayo, ila kwa Wanadamu huwa inanipa wakati mgumu Kwao kwani huniona kama ni Mchawi Kwao kwakuwa nikiwashauri Jambo au kuwatahadharisha nalo Wakinipuuza tu na kufanya Wajuavyo huwaharibikia na kuanza kuniona ni Mchawi na...
Back
Top Bottom