nia

  1. Gabeji

    JamiiForums Tanzania G55 ya watia nia wa chadema ni waroho wa madaraka. Wamesahau watanzania wangapi wamepoteza maisha kwasbb ya uchaguzi feki!

    Ivi watanzania sijui ni nani alie tuloga? NYERERE angekuwa na roho ya uoga kiasi hiki mpaka leo tusingepata uhuru. Nimesoma hoja zao hao G55, hazina mashiko zaidi ya uroho,ubinfsi, na tamaaa, za madaraka. HAWA G55 wamesahau ni watanzania wangapi wamepoteza maisha ,kutekwa, vilema, masikini...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Lissu hajaanza kuwasikiliza watia nia wa ubunge na udiwani kabla ya yeye kuanza kuongea? Ni udikteta?

    Nikiwaangalia watia nia ni kama hawako pamoja na Lissu, masikio yao "yanamkataa" Lissu. Nadhani alitakiwa kwanza awasikilize kabla ya kuanza kuwahubiria mambo yake. Uongozi wa up-down ni wa kidikteta.
  3. City Of Lies

    JamiiForums Tanzania Waafrika elfu 70 waonyesha nia ya kuhamia kwa 'Trump' USA

    Hatua ya Marekani imejiri kufuatia tuhuma za ubaguzi dhidi wa Afrikaner uliohusishwa na utawala wa rais Ramaphosa kupitisha marekebisho kwenye sheria za umiliki wa ardhi na kuipa serikali mamlaka ya kutwaa ardhi kutoka watu binafsi waliodhaniwa kufanya unyakuzi. Rfi
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TAMWA yataka wanawake watakaojitokeza kutia nia kwenye Uchaguzi waungwe mkono

    Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) Joyce Shebe amesema wanawake watakaoonesha nia ya kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 wanapaswa kuungwa mkono na jamii ili waweze kutimiza ndoto zao za kuwa viongozi. Ushauri huo ameutoa Jijini Dodoma katika...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Watu wenye nia njema, mapenzi ya kweli na thabiti na nchi yetu Tanzania ni hawa

    1. Askofu Bagonza 2. Freeman Mbowe 3. Ansbert Ngurumo Kuna mmoja , lakini his recent dealings zinanipa mashaka!. Sitamtaja kwa sasa.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Nia na madhumuni ya rais Trump ni yapi hasa?

    Heshima kwenu nyote wana jamii forum. Nimekuwa nikifuatilia matakwa na makusudio ya rais Trump toka aingie madarakani, matamanio yake yamekuwa yakiniachia maswali ya kujiuliza pamoja na kwamba hata walengwa wake wamekuwa wakimtolea nje. Mfano alianza na kutaka kuinunua Gaza,ikafuatiwa na kutaka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mchome ahofia nia ovu Chadema

    Baada ya kugundua nia yenu ovu mliyokua mmeipanga nikifika makao makuu, sasa kuna jambo mnaniandalia ofisin makao makuu muda huu. Nipo tayari kupokea. Mimi ni kiongozi mwenye address na address yangu inafahamika Ameandika ktk X yake
  8. Mr Ballo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwenza wa Maisha — Mwenye nia ya dhati tu

    Habari zenu wanajamii, Natumaini mko salama. Nimeamua tena kuweka tangazo hili kwa lengo la kukutana na mwenza wa maisha mwenye nia thabiti na malengo ya dhati. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi Dar es Salaam. Natafuta mwanamke Mkristo mwenye umri wa miaka 25 hadi 35, mwenye...
  9. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kuzuia Watia Nia Mapema: Kuminya Demokrasia au Kuthibiti Nidhamu ya Chama?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka masharti yanayowazuia wanachama wake wanaotaka kugombea nafasi za uongozi kuanza kampeni mapema kwenye majimbo yao. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mustakabali wa demokrasia ndani ya chama na haki ya msingi ya kugombea nafasi za uongozi. Kwa mujibu wa...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtia nia nafasi ya Urais CHADEMA: Cha kwanza nikishinda Urais nitabadilisha mfumo wa talaka. Nitahakikisha talaka haimuumizi mwanaume!

    Wanaume mpo? Kuna huyu mgombea wa nafasi ya Urais huko CHADEMA, Romanus Mapunda amesema kuwa kama akishinda kuwa Rais atabadilisha mfumo wa kupeana talaka. Mapunda amesema kuwa atabadilisha mfumo wa talaka kwamba usimuumize mwanaume. Amesema kuwa mfumo wa uliopo wa kugawana 50/50 na mwanamke...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini watia nia nafasi ya Urais wanaruhusiwa kuonyesha nia zao mapema lakini wagombea ubunge na udiwani wanaonekana kama wanatenda jinai ?

    Kwanini wagombea urais wanapenda sana wafahamike kwa wananchi mapema zaidi hata mwaka kabla ya uchaguzi lakini ni marufuku kwa watia nia ubunge na udiwani kuonyesha nia zao? Hali hii ipo kwenye vyama vyote vya siasa nchini na ukanda wa Afrika. Mfano kwa sasa mgombea Urais au mtia nia ACT...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Lissu ana nia njema, lakini hatoboi Uchaguzi M/kiti CHADEMA

    Lissu hawezi kamwe kushinda uchaguzi Mwenye kiti CHADEMA hapo januari 2025, licha ya uchaguzi kuwa wa wazi. Sababu ni zifuatazo: 1) Sasa hivi, hii imekuwa ni vita kati ya CHADEMA kanda moja tu (asilia- Mbowe) na CHADEMA Tanzania iliyobaki (Lissu). Haitatokea kwa mazingira Lissu...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa madhila ya awamu ya 5 yanayosemwa na Erick Kabendera, anayebeza maridhiano ya awamu ya 6 alaaniwe na kila mtu mwenye nia njema

    Kwa niliyosikia akisema Erick Kabendera, halafu unasikia mtu anabeza maridhiano na kuyaita upuuzi. Taifa lote tusimame na kumpuuza kwa nguvu zote. Kama nchi, tumepiga hatua kubwa kutoka katika hali ile. Tuwapongeze Mama Samia na Mbowe.
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vita Kawawa achia jimbo, unapinga maendeleo hata kwa ambao hawajatangaza nia ya kugombea. Achia Namtumbo yetu tunateseka sana

    Mheshimiwa Juma Zuberi Homera ambae ni mkuu wa mkoa wa mbeya ameonyesha kuwa kiongozi aliyejitolea kuleta maendeleo na mabadiliko chanya popote anapohudumu tangu yupo TUNDURU na baadae KATAVI. Uongozi wake umekuwa na mchango mkubwa katika kuinua maisha ya jamii, na ameacha alama ya kudumu kila...
  15. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Yanga tukatae hawa waamuzi wenye nia ya kutuchafua Kuna kitu wanatengeneza

    Lilianza goal la mkono jamaa alipiga ngumi kabisa. Mwamuzi akatupa lile goal. Jana ile haikuwa penalty kabisa. Kabisa haikuwa penalty tuseme tu ukweli bila ushabiki. Mwamuzi akatupa penalty. Lengo ilikuwa jana tushinde bao 5. Tunapambana kuwafikia mikia. Lakini tucheze na kushinda kwa halali.
  16. Decree Holder

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu hakutangaza nia mapema ya kugombea uenyekiti wa Chama taifa?

    Inawezekana kabisa TAL aliamua kugombea uenyekiti wa Chama taifa mapema zaidi lakini hakutangaza kutokana na historia ndani ya chadema. Historia inaonesha viongozi wote ndani ya chadema walioonesha kuutaka uenyekiti mapema waliundiwa zengwe na kupewa kesi za usaliti kuwazuia kugombea uenyekiti...
  17. Wilson Gamba

    JamiiForums Tanzania Nionavyo juu ya watia nia ndani ya CHADEMA-UENYEKITI

    Mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa ila ni mfatiliaji mzuri wa masuala ya siasa.Mbowe na Lisu ni viongozi wazuri na wote wamepitia mengi sana ila kwa ukomavu na utulivu wa mambo nafasi ya mwenyekiti bado mbowe atabaki kuwa the best.Niishie hapo ni mtizamo wangu tu mawazo bila...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chongolo awavuruga vigogo CCM asema sijaja kutangaza nia yoyote

    Wakati joto la Uchaguzi Mkuu katika nafasi za Udiwani na Ubunge unaotarajiwa kufanyika hapo mwakani 2025 likiendelea kupanda, imeelezwa kuwa baadhi ya wanasiasa waliopo madarakani wameanza kupata shida kwenye maeneo yao kutokana na vigogo waliowahi kushika nafasi mbalimbali na wengine ambao bado...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ajibu kuhusu Freeman Mbowe kutangaza nia ya Uenyekiti CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amejibu juu ya Mhe. Freeman Mbowe kama atachukua fomu ya Uenyekiti wa Chama hicho, wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiwatangazia wanachama juu ya uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania NATANGAZA NIA YANGU YA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI IFIKAPO 2025 PANAPO MAJALIWA YA MUNGU.

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka kuiona Tanzania inapiga hatua za kimaendeleo katika kila nyanja,nimeona ifikapo mwakani na mm...
Back
Top Bottom