nhif

The NHIF Civil Servants Scheme Scandal is an alleged scandal, relating to irregularities that were revealed in the Kenya Civil Servants Scheme at the National Hospital Insurance Fund, in early 2012.The alleged irregularities included payment to ghost clinics, unprocedural selection of clinics and creation of an unapproved unit at the NHIF.The scandal was subject to a probe by the Health Parliamentary Committee. Most of the alleged claims were found to be incorrect with time by various enquiry commissions, however investigations are still going on.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NHIF: Mfumo wa uwasilishaji wa kadi kwa watumishi kupitia halmashauri ndio changamoto

    Meneja wa mfuko wa bima ya afya ya NHIF Mkoani Tabora, Salum Adam amesema NHIF haina changamoto ya uchelewashaji wa vitambulisho isipokua kuna changamoto ya kimazingira na mfumo wa uwasilishaji wa kadi kwa watumishi kupitia halmashauri. Akizungumza na waandishi wa habari meneja wa NHIF amesema...
  2. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania NHIF wameomba game ya mzunguko wa pili warudiane wiki ijayo waishane.

    kuna watu wameshtuka presha zikapanda ni NHIF sio IHEFU. timu hiyo ya wafanyakazi ya taasisi wameomba warudiane na timu ya NSSZ ya Zanzibar wiki ijayo.
  3. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania NSSF na PSSSF zipambane soko moja, NHIF itafutiwe mshindani

    Ni muda muafaka sasa kwa Serikali kuruhusu mifuko ya mafao kama NSSF na PSSSF kushindana katika soko. NSSF iongezewe wigo wa kuvutia wanachama toka Serikali, na PSSSF pia ipewe nafasi ya kuingiza wanachama toka sekta binafsi. Vivyo hivyo kuwapo kwa mfuko mmoja wa Bima ya Afya ya Taifa, ni kosa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania NHIF mnatuchanganya

    Nimempeleka bimkubwa katika mojawapo ya hospitali ya serikali hapa jijini Dar. Ana shida ya mgongo, vidonda vya tumbo, na presha. Leo alipaswa aonwe na madaktari watatu, daktari wa moyo, mifupa na utumbo. Kwa sababu hospitali hii ina daktari bingwa wa mifupa na daktari bobezi wa moyo...
  5. tpaul

    JamiiForums Tanzania Serikali: Huu ndio ushauri wa mwisho kwa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    Katika siku za karibuni Bima ya Afya ya Taifa imekuwa gumzo kila kona, hasa inapodaiwa kwamba mfuko huu wa bima unaotoa matibabu kwa watumishi wa umma na familia zao, unakaribia kukata roho. Naomba kutangaza masilahi (declare interest) kwamba mimi ni mnufaika wa mfuko huu kupitia wazazi wangu...
  6. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Taarifa mpya ya NHIF kuhusu Toto Afya Kadi

    Ujue ukweli kuhusu Toto Afya Kadi.
  7. Saimora

    JamiiForums Tanzania Nyongo: Wananchi wajue NHIF haifi leo wala kesho

    Wanananchi wameombwa kujiunga na huduma za Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kwa kuwa ndio suluhisho katika upatikanaji wa huduma za matibabu nchini. Mbali na hilo, umma umehakikishiwa kuwa NHIF iko imara na inaendelea kujiimarisha ili kufanikisha lengo la kutoa huduma bora kwa wanachama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Bima ya Afya (NHIF): Wekeni uwiano mzuri kwa wanufaika wa wachangiaji wa mfuko huo

    Napenda kuishauri NHIF kuwa kama utaratibu unaruhusu watu sita (6) kwa mchangiaji basi aruhusiwe kuwaweka bila vipingamizi ilimradi wasizidi idadi hiyo inayokubalika. Mfano kama mchangiaji hana watoto wanne aruhusiwe kuwaweka wengine bila kikwazo. Kama mchangiaji hana wazazi wote au mmoja...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Hasara za NHIF kila Mwaka: Sababu nyingine ni baadhi ya watendaji kujimilikisha mfuko

    Si kosa wala si vibaya kuwapa mamlaka ya kiuongozi vijana ili kuandaa viongozi wa kesho wenye weledi katika taifa hili lakini vijana hawa wanaoaminiwa na taasisi wamekua chanzo cha kuitia hasara serikali na kurudisha nyuma mipango mizuri ya serikali yetu kwa tamaa ya maendeleo ya haraka, uzembe...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania NHIF yazidi kupata hasara, PIC yaonesha kutoridhishwa na utendaji wake

    KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imeonyesha kutoridhishwa na mwenendo wa ukusanyaji wa mapato na matumizi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) . “Imekuwa ikifahamika kwamba mfuko huu umekuwa ukipata nakisi mwaka hadi mwaka 2019/20 walipata nakisi ya bilioni 49...
  11. MAMESHO

    JamiiForums Tanzania Huduma Mbaya, Uarasimu na kupotea hovyo mtandao wa NHIF

    Nimekaa hosptali kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi saa sita hapa. Dar Group. NHIF mtandao hausomi. Nimesikitika sana. Naumwa jino nina maumivu makali. Nimeshindwa kupatiwa huduma. Inaathiri muda wa kazi maana nimeomba ruhusa. Tafadhalini fanyeni maboresho hali hii sii njema Naambiwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namba ya huduma kwa wateja NHIF

    Kuna rafiki amepata tatizo la kadi ya mtoto anaambiwa haijalipiwa wakati yeye (mlipaji) anatumia ya kwake bila shida. Nimempa namba za hotline nilizokuwa nafahamu, zote hazipatikani? 0800110063 0800111163 Naomba mwenye namba mbadala please.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa bima ya afya ya Taifa! NHIF

    Hawa vijana mliowaweka kwenye hospitali mbalimbali kuhakiki kadi za bima kwa wagonjwa ni kero kubwa mno. Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwani hawana customer care nzuri na wanauliza maswali ya kijinga Sana yenye kumkerehesha mgonjwa! Mfano wa swali la Leo hii niliulizwa Kama, "hivi...
  14. Heparin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI NHIF yarejesha utaratibu wa kusajili watoto kupitia Mpango wa Toto Afya Kadi

    Kumekuwepo na taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha kuwa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) umerejesha mpango wa kusajili watoto kupitia kifurushi cha Toto Afya Kadi. Taarifa hii ina ukweli kiasi gani maana naona kuna mvutano mkubwa, baadhi wanadai ni kweli na wengine wanasema si kweli.
  15. Ivan Stepanov

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya NHIF, suala hili lina faida lakini angalieni pia changamoto zake

    Habari ya jioni wananzengo, polen kwa msongo wa mawazo wale ambao ikifika jumapili jioninkama hivi raha yote inaisha kwa kufahamu kuwa kesho asubuhi "THE CYCLE REPEATS". Twende kwenye mada na kama kutakua na makosa ya kiuandishi naomba usikwazike, nisamehe bure, jaribu tu kujiongeza. Haya sasa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania NHIF yakamata kadi 1,346 zinazotumika na wasio wanachama wake

    Kumbe si kila anayekwenda hospitali na kadi ya bima ya afya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kupata huduma ni mwanachama wa mfuko huo. Wapo wanaofanya janjajanja ya kuazima kadi za wanachama na hatimaye kwenda kupata huduma ilhali si stahiki yao. Hilo linathibitishwa leo Jumanne Julai...
  17. Rusumo one

    JamiiForums Tanzania Kunyang'anywa kwa kadi ya NHIF na Mwajiri

    Habari za mchana wandugu? Nina shida moja wakuu nina mjomba wangu amestaafu utumishi wa Umma mnamo mwezi wa 4, 2023. Baada ya kustaafu mnamo mwezi huu 7,2023 tarehe za mwanzoni ameitwa na Meneja wake na kutakiwa kuwasilisha kadi za NHIF ambazo alipewa akiwa kazini. Naomba kufahamu utaratibu...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Udanganyifu NHIF, Ndugu Waoana Wapate Kadi ya Bima

    MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umebaini kuwapo udanganyifu unaofanywa na baadhi ya wanachama na viongozi wa dini kwa kufungisha ndoa batili ndugu wa familia moja ili wakidhi vigezo vya kuwamwanachama wa Mfuko huo kama mke na mume. Hayo yalibainishwa jana katika mkutano wa wadau wa mfuko...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia, NHIF inakugombanisha na wazee makusudi kabisa, kinyongo na manung'uniko yao vitakuletea mikosi kwenye uongozi wako

    Kutokana na kadhia ntayoielezea hapa chini ndio niliyasikia manung'uniko ya wazee, kibaya wazee hawajui kama NHIF ina mkurugenzi mtendaji, wazee wanamjua Mama Samia, lawama zote ni Mama Samia,. Hapa ndio kwa mara ya kwanza nimeone wazee waliokunywa maji ya kijani wakiilaani CCM, na mengine...
  20. Mwanga Mkali

    JamiiForums Tanzania NHIF na Toto Afya kadi mashuleni hakuna msukomo wa usajili

    Salaam, Mh. Ummy Mwalimu mwaka 2017 pale mnazi mmoja alizindua Toto Afya kadi kwa lengo la kusajili watoto 10m kati ya 25m walio kuwepo wakati huo ili kunusuru afya za watoto wetu kabla ya maradhi. Kampeni hii ili ishia kushindwa kwa kusajili watoto +240k ambao michango yao ilikuwa si zaidi ya...
Back
Top Bottom