nhif

The NHIF Civil Servants Scheme Scandal is an alleged scandal, relating to irregularities that were revealed in the Kenya Civil Servants Scheme at the National Hospital Insurance Fund, in early 2012.The alleged irregularities included payment to ghost clinics, unprocedural selection of clinics and creation of an unapproved unit at the NHIF.The scandal was subject to a probe by the Health Parliamentary Committee. Most of the alleged claims were found to be incorrect with time by various enquiry commissions, however investigations are still going on.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania NHIF huwezi katia bima wategemezi waliopo kisheria mfano mama akibadili jina

    Majina ya mama yako/mama mkwe wako yako tofauti ya yaliyoandikwa kwenye cheti cha kuzaliwa. Yaani kama mama wakati anakuzaa alikuwa anaitwa Anastazia Tatu Peter (jina la babake au Mme wa zamani) na sasa kwenye cheti chake cha NIDA au cha kura anaitwa Anastazia Tatu Mahendeka. NHIF hawampi bima...
  2. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Meneja wa NHIF Dodoma na Watumishi waliokiri kuiba fedha hawajachukuliwa hatua za kisheria na kinidhamu

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Afya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Mwaka 2022 zililipotiwa taarifa za Wizi wa fedha za Umma zilizosganywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma pamoja na Watumishi wa Mkoa huo kufanya ubadhirifu wa fedha za...
  3. DullyJr

    JamiiForums Tanzania NHIF hili ni tatizo la kiufundi, mnaibiwa au mnajiibia?

    Inakuwaje napokea taarifa za kutumika kwa kadi yangu ya bima ya afya wakati sijaenda hospital na kadi ninayo? Tarehe 11 mwezi huu nimeenda hospital X nimepatiwa huduma na nimepata notification msg kuwa kadi yangu imetumika katika hospitali hiyo, nimechukua kadi yangu nimeondoka nayo. Leo...
  4. platozoom

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanachama wa NSSF wasajiriwe NHIF

    Naipongeza Serikali kwa kuja na mpango wa Bima ya afya kwa wote. Pamoja na kuwa na wazo zuri lakini utekelezaji kama jambo lolote kubwa utakuwa na changamoto. Na moja ya changamoto yake ni kiwango cha fedha kwa kwa mchangiaji mwenye familia kwa kuzingatia hali halisi ya kipato. Kutokana na...
  5. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nashuhudia mfuko wa NHIF haufanyi kazi

    Siku ya leo nilienda hospital fulani hapa mjini lakini cha ajabu waka tuambia mfumo wa NHIF haifanyi kazi kwahiyo tuache Kadi. Wakatuambia pia kwamba iwapo mfumo hautafanya kazi basi watatutafita na itatulazimu kulipa kwa cash.
  6. Singo Batan

    JamiiForums Tanzania NHIF mmeacha lengo la msingi na kujiingiza kwenye biashara

    Mwanzoni wakati mfuko huu unaanzishwa ulikuwa unafanya vizuri sana kwasababu ulikuwa unachangiwa na Watumishi wa umma na kuwahudumia watumishi wa umma. Mfuko ulikuwa stable sana. Tatizo lilianza mlipoingiza tamaa za kuufanya kuwa mfuko wa biashara badala ya huduma. Haikupaswa taha kidogo...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mfumo wa Bima ya NHIF waharibika, wagonjwa wakwama hospitaini

    Wagonjwa waliopo katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta na vituo vya afya Jijini Nairobi Nchini #Kenya wamekwama kwa siku mbili kutokana na mfumo wa mtandaoni wa Bima ya Afya wa NHIF kukwama kwa kugoma kupokea malipo ya mtandaoni. #NHIF wametaja sababu ya kukwama kuwa ni kutokana na mfumo wa...
  8. Ghalib01

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kirusi cha NHIF

    Nakala hii nitazungumzia KIRUSI CHA NHIF kimaana TATIZO LA MFUKO WA BIMA YA AFYA LINALOPELEKEA KUFA KWA NHIF. Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika kukizungumzia KIRUSI CHA NHIF lakini kabla ya kwenda kwenye MADA kwanza tuijue hii Sayansi ya Uumbaji ni nini!? Sayansi ya Uumbaji ni MSINGI wa DUNIA...
  9. Merci

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kuwa na Bima ya Afya kwa wote na kuikuza NHIF

    Mheshimiwa Rais, naomba upokee maoni haya kuhusu NHIF. Ili kufikia lengo la afya kwa wote na pia kuwa na NHIF stable, ni vema kila raia wa Tanzania mwenye NIDA hadi watoto wasajiliwe na kuwa wanachama wa NHIF. Michango ya NHIF iwekwe kwenye mfumo wa TOZO kwenye bidhaa kama umeme, maji na mizigo...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mbeya: NHIF Yabaini ubadhirifu, wahusika watoweka kusikojulikana

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt, Godwin Mollel amesema wamebaini kuwa Polyclinic moja imetoweka na Tsh. Millioni 137 za NHIF ambayo waliibaini kutoa huduma kwenye nyumba ya wageni na walipoifuatilia ili kuwakamata wahusika walitoweka kusikojulikana hadi hii leo. Pia akiwa katika kikao cha Kamati ya...
  11. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Msaada Natafuta kazi NHIF Data clark. Karani wa kuingiza taarifa za NHIF

    Habari wakuu Natafuta kibarua cha kuingiza taarifa za mfuko wa Bima ya afya wa Taifa NHIF. Naweza kufanya member authorization. Naweza kufanya Eclaim- kudai malipo ya kituo kwa mwezi husika. Naweza kujaza kitabu cha Dawa cha wagonjwa wa Bima ya NHIF. Nina ujuzi wa kutumia computer. Sikusoma...
  12. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kufilisika haiwezi kutatuliwa kwa mipango ya Ummy Mwalimu

    Wanabodi, Katika kipindi hiki ambacho Shirika la Bima ya Afya Tanzania (NHIF) linafilisika, ni vyema kufahamu jitihada zinazo chukuliwa na serikali kuhakikisha kwamba watanzania walio jiunga na mfuko huu wanaelendea kupata huduma. Kwanza kabisa tujaribu kuangalia athari ya shirika hili...
  13. Deogratias_01

    JamiiForums Tanzania SoC02 Yafanyike haya kuikomboa NHIF

    Chanzo: Picha na JamiiForums Yafanyike haya kuikomboa NHIF Katika kutekeleza dhima na dira ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika kutimiza majukumu ya utoaji wa huduma ya Afya kwa kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo (2025), Sera ya Afya ya mwaka 2007, Mpango Mkakati wa Tano wa Sekta...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la NHIf ni mpango kazi

    Tatizo la NHIF mpango kazi wao hauendani na mapato yao, na hii ni kwa sababu hakuweka watu sahihi katika kutengeneza, mpango kazi katika shughuli zao za kila siku na mipango yao ya muda mfupi na muda mrefu. Pili, inaonyesha pia wajumbe wa bodi pia unamapungufu katika kusimamia na kuthibitisha...
  15. J

    JamiiForums Tanzania NHIF kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36, pia itatumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo

    Ili kuboresha huduma na uimara wa mfuko NHIF inakusudia kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36. Kadhalika mfuko utaanza kutumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo Kwa taarifa zaidi wasiliana nao hapa hapa Jamii Forums wapo. Source: Kipima Joto, ITV
  16. R

    JamiiForums Tanzania Unene sio sifa ni ugonjwa, kwa hii speed NHIF itaelekea kubaya. Tubadilike

    Habari wana JF, Kadri siku zinavyozidi kwenda watu wenye uzito ulipitiliza wamekuwa wakiongezeka kwa kasi sana. Kwa Nchi za wenzetu wanauchukia sana unene kutoka na athari zake lakini cha kushangaza Tanzania ni Tofauti mtu anaponenepa hupewa sifa nyingi sana ikiwemo kuonekana maisha ameyapatia...
  17. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania NHIF mjue kwamba jinsi nchi inavyoendelea ndivyo magonjwa ya kuambukiza yanavyopungua na yale yasiyoyakuambukiza kuonekana zaidi

    Inashangaza kusikia NHIF ikilalamika kuwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza (NCDs) yameongezeka sana, gharama ya matibabu yake ni kubwa sana na yanafilisi mfuko. Na kwamba NHIF inakusudia kuacha kugharimia matibabu ya magonjwa haya yasiyo ya kuambukiza. Kama tetesi hizi ni za kweli, basi hakuna...
  18. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Tanzania Kunani NHIF!

    Habari zenu wana-jf wenzangu. Siku hizi za karibuni hapa, waziri wa afya amekuwa akieleza kuhusu mfuko huu, kwamba unajifia kutokana na kuelemewa na madeni! Na sasa imetoka habari hiyo hapo chini! Je, nini hasa maana ya haya yote?!
  19. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Wagonjwa kurudia kufanya vipimo mara kwa mara katika hospitali tofauti moja ya sababu kuyumba kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema chanzo cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuyumba ni pamoja na kuwepo kwa matumizi yasiyo na tija kwa wagonjwa ikiwemo kurudia kufanya vipimo mara kwa mara katika hospitali tofauti. “Kwanini NHIF iko katika hatari? ni sisi wenyewe wananchi. Leo...
  20. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania NHIF mje na mfumo mpya

    Kumekuwa na taarifa zikiripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari ya kwamba mfuko wa bima ya afya kukumbwa na changamoto mbalimbali za ukwasi, na hii inadhihirishwa na NHIF wenyewe walivyokuja na mwongozo kwa wanufaika wa idadi ya siku za kwenda kupata matibabu kwa mwezi na baada ya siku chache...
Back
Top Bottom