nhif

The NHIF Civil Servants Scheme Scandal is an alleged scandal, relating to irregularities that were revealed in the Kenya Civil Servants Scheme at the National Hospital Insurance Fund, in early 2012.The alleged irregularities included payment to ghost clinics, unprocedural selection of clinics and creation of an unapproved unit at the NHIF.The scandal was subject to a probe by the Health Parliamentary Committee. Most of the alleged claims were found to be incorrect with time by various enquiry commissions, however investigations are still going on.

View More On Wikipedia.org
  1. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kwanini NHIF imeondoa dawa za bei ya juu kwenye Orodha, Watumishi Octoba 28 Mnajambo lenu

    Kitendo cha shirika la BIMA ya Afya NHIF kuondoa dawa zenye bei juu kwenye orodha imenisikitisha sana, tulitegemea sana ule wimbo kuwa NHIF wameboresha huduma basi ingeenda sambamba na kuongeza dawa zinazotolewa. Haina maana na wala haingii akili kumpatia mtu vipimo halafu suala la dawa...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Magufuli aangalie upya huu mfuko wa NHIF, wanatutesa na kutunyanyasa, wanakuchonganisha na watumishi

    Mh. Rais kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri na iliyotukuka, na hongera kwa kampeni ya kisayansi, kampeni imenoga na watanzania tunakukubali. Mh. Rais kuna jambo yawezekana ukawa unalifahamu ila kwa kuelezwa na wahusika kinafiki ili kufunika kombe, juu ya huduma zitolewazo na mfuko wa bima ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua NHIF

    Wadau naomba kujua kuhusu Bima ya Afya, hivi kama mwanangu ana kadi ya NHIF, na akaandika wategemezi wake ni wazazi wake, inapotokea mimi naumwa je nafaidika na hiyo bima? kwa maana ya matibabu. Naomba majibu ya kistaarabu najua watakuja watu na mapovu yao humu.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NHIF yakanusha kuondoa dawa 138 kwenye Orodha ya Dawa wanazolipia wateja wake

    Kanusho: Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (National Health Insurance Fund-NHIF) umekanusha habari zinazosambaa kwamba Wameondoa dawa 138 kwenye Orodha ya Dawa wanazolipia wateja wake.
  5. G Sam

    JamiiForums Tanzania NHIF yaja na makali zaidi kwa Watanzania, yaondoa dawa lukuki kwenye orodha ya dawa zinazonufaika na malipo ya bima

    NHIF imekanusha taarifa hizi: NHIF yakanusha kuondoa dawa 138 kwenye Orodha ya Dawa wanazolipia wateja wake Makali zaidi, kasi zaidi. Sasa makato yetu yana faida gani? Huu ni unyonyaji wa aina yake.
  6. Dresscode

    JamiiForums Tanzania Maboresho ya Huduma za Matibabu kwa Wanachama wa NHIF

  7. I

    JamiiForums Tanzania NHIF Kinondoni mnakera, Kadi za Bima hazitoki kwa wakati

    May mwaka huu kadi yangu ya NHIF ilisitishwa kwa kuwa nimezidi miaka 18, hivyo mwezi uliofuata nikaamua kujinyima na kulipia bima kutoka kwenye kipato changu. Baada ya malipo nikaambiwa nisubiri mwezi mmoja ndipo nichukue kadi yangu. Cha ajabu ni mara ya 3 sasa tokea mwezi uishe kila nikienda...
  8. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya: NHIF Tatueni Malalamiko Ya Upatikanaji Wa Baadhi Ya Dawa

    Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) imetakiwa kutatua malalamiko ya upatikanaji wa baadhi ya dawa na vipimo kwa wananchi wenye bima ya afya. Hayo yamesemwa jana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati wa kikao na Menejimenti ya Mfuko huo katika ofisi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania NHIF kuna shida gani?

    Habari wakuu, Nitakwenda moja kwa moja kwenye mada. Tulikuwa tukielekezwa kuwa unapojiunga na huduma ya NHIF utakuwa unachangia kiasi fulani kila mwezi kwa walio na vigezo. Pamoja na kuchangia pia, utakuwa na nafasi ya watu wengine wa karibu (I guess 4) kunufuika kupitia uchangiaji wako: mfano...
  10. MATEGUZYO

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa huduma ya Afya NHIF

  11. D

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya ni nini?

    Watanzania wengi hawana elimu ya kutosha kuhusu madhumuni ya mifuko ya Bima ya Afya na jinsi inavyotenda kazi. Kukosa elimu hii huongeza malalamiko kuhusu uchangiaji na kujiunga na mifuko husika. Mimi kama mtanzania niliyebahatika kupata elimu ndogo nimewiwa kutengeneza thread hii kwa nia ya...
Back
Top Bottom