nguvu

  1. JamiiForums Tanzania Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

    Wanabodi, CCM ndio chama tawala na kwa Tanzania, tukubali tukatae, CCM ni chama dola. Tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa rais na wabunge October 25, mgombea akiishapitishwa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM, then huyo ndio tayari ni mshindi, zoezi la uchaguzi ni kukamilisha tuu taratibu za uchaguzi ili...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani au nguvu gani husababisha kuwa na mahusiano?

    Kuna utafiti nataka nifanye kuhusiana na mahusiano; nataka nijue ni kwa nini jinsia tofauti (Ke na Me) zikikaa sehemu moja kwa muda mrefu, lazima waanzishe mahusiano. Equation x (me) anataka afanye huu utafiti na binti yeyote mrembo (ke) wakae sehemu moja kwa siku thelathini (30) tu wakiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Zijue faida ya matumizi ya mafuta ya zaituni (olive oil)

    Mafuta ya Zaituni Olive Oil Mafuta ya zaituni yana manufaa mengi katika mwili na maisha ya binadamu kwa ujumla kama ifuatavyo; (1)Mafuta ya zaituni hutibu maumivu ya tumbo kwa kunywa kijiko 1 mara 2 kwa siku kwa muda wa siku 7 hadi siku 11 inshaallah...
  4. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Penzi la Mwanamke (The Power Of The Pussy)

    PDA-Mwanamama Kara King,aliandika kitabu cha ,If Men are Dogs ..This Is Animal Control. The Power Of The Pussy ,How To Get What You Want From Men:Love ,Respect ,Commitment ". Ukurasa wa 61 ,"Jinsia ya kike ni bidhaa ambayo haiwezi nunuliwa kama haina thamani, Unaweza kuweka jinsia ya kike...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani kutumia Jeshi kuzima Maandamano. Je, Mapigo mangapi yamebaki kwa Marekani ili kumuondolea nguvu ya kiuchumi?

    The governor of Minnesota called up the state’s entire national guard Saturday for the first time since World War II, awaiting what could be a fifth night of violent protests brought about by the death of an African American man in police custody For the past four nights, protesting has led to...
  6. JamiiForums Tanzania Wapinzani unganane. Ni kweli umoja ni nguvu utengano ni udhaifu

    Good morning people. Ni dhahiri kabisa kwamba uchaguzi wa mwaka huu utakua mgumu sana kwa vyama vya upinzani kutokana na hulka ya Rais aliyemadarakani ya kutopenda kucheza fair. Sote tumeona jinsi polisi na idara ya usalama wa taifa wakiipigania CCM kufa na kupona kwa kuteka, kubambikia kesi na...
  7. JamiiForums Tanzania Uchawi na nguvu za giza katika nchi za SADC pamoja na uwezo wa Mitume na Manabii

    Nilikutana na dada mmoja Mnigeria, katika maongezi nilimfahamisha kuwa mimi ninatoka Tanzania. Tulipozidi kuzoeana aliniambia kule kwenu kuna namba mbovu sana ya uchawi, nilimjibu kuliko nyinyi? Alisema sisi ni waropokaji tu lakini uchawi mnaujua nyinyi ila hamjitangazi. Alinipa hadith fupi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hiki kiburi, jeuri na dharau Prof. Kitila Mkumbo nguvu anaipata wapi

    Hivi majuzi, Katibu wa Siasa na Itikadi Ndg Humphrey Polepole, Kwa niaba ya Chama aliongea na wandishi wa habari Kama mlivyomsikia alisema, 1) Wale wasaka Ubunge wanaovuruga majimbo ya CCM hawatateuliwa maana ni walafi wa madaraka. 2) Wale walioteuliwa na Rais katika majukumu mbalimbali mfano...
  9. JamiiForums Tanzania Thread titlejamanii Naomba kuuliza nini kinasababisha mtoto kutosimama

    Message…habari Nina tatizo la mtoto kachelewa kusimama ana mwaka na miezi hata ukimsimamisha hasimami kabisa sijui tatizo litakua nini nimeenda hospitality wakaniambi calcium iko chini ana dawa anatumia nimempeleka kwenye vipimo Nairobi wanasema hana shida daktari kaniambi nimpeleke kwenye...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima Atoa Kali, Aomba Kibali Serikalini Kuponya Wagonjwa wa Corona Mahospitalini, kwa Kutumia Miujiza ya Nguvu za Mungu!

    .
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kiua gugu

    Habari wapendwa, mimi ni mkulima nilipenda kujua kuhusu kiua gugu ambacho kina nguvu zaidi. Dawa ya kuua majani
  12. U

    JamiiForums Tanzania Je, tangawizi ikichemshwa dakika 5 itapungua nguvu yake?

    Wakuu umofia kwenu? Nauliza iwapo nikichemsha tangawizi km dakika 5 hivi , je inaeza kupungua nguvu au virutubisho vyake? Maana nataka niinywe then nikamsugue demu
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yaajiri Madaktari wapya 610 ili kuongeza nguvu katika kuboresha huduma za afya

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imetangaza kuajiri madaktari wapya 610, watakaokwenda kutoa huduma kwa wananchi katika maeneo mbalimbali nchini, pamoja na kusaidia kukabiliana na janga la Virusi vya Corona. Akitoa taarifa mbele ya Waandishi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

    Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema "Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
  15. JamiiForums Tanzania Je, ni msanii gani Tanzania unatumia nguvu kubwa sana kumtetea utafikiri unalipwa?

    Hey Hey! Note: COVID-19 is REAL Chagua kwa uangalifu wa kumskiliza. BACK TO THE TOPIC. Je, ni msanii gani hapa Tanzania umekuwa unaumia sana akitukanwa au kukosolewa na hivyo kupelekea wewe kutumia nguvu kuuubwa sana kumtetea mitandaoni na vijiweni utadhani unalipwa?
  16. N

    JamiiForums Tanzania Neno la Rais lina nguvu; mbuzi wachanganyikiwa mitaani

    kihehere chao kunywa maji yenye corona sasa wamestuka wanajipiga nyungu kwa kwenda mbele
  17. JamiiForums Tanzania Uchawi upo duniani na una nguvu kubwa,lakini aliyeumba vyote chini ya jua ndiye mwenye nguvu zaidi

    Wakuu naimani kwa pamoja tunaendelea kujikinga sisi na familia zetu dhidi ya COVID-19.Ni jukumu letu sote kujikinga,kuwakinga na kuwaelimisha wengine jinsi ya kujikinga. Moja kati ya visa vingi ambavyo nimewahi kukumbana navyo katika maisha ya kuteswa na kutaabishwa na wachawi kwa miaka zaidi...
  18. JamiiForums Tanzania Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

    Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema athibitisha wagonjwa kulazimisha kuondoka katika Hospitali ya Amana kurejea nyumbani. Pia soma > Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe --------- Mkuu wa wilaya ya Ilala...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi Upinzani utakavyoongezeka nguvu katika Uchaguzi ujao

    Mimi ni MCCM damu damu - na hata Idukilo wananijua. Tena wananijua sana - kuanzia wafanyakazi na hata wasio wafanyakazi. Nimejulikana sana kutokana kufanya biashara ya mazao na kukopesha watu wenye shida mbalimbali kwa riba nafuu. Kadri siku zinavyoenda naona dalili hata mimi mwenyewe naweza...
  20. JamiiForums Tanzania Money Heist ni wazungu wanaosukuma bidii agenda zao kwa nguvu

    Habarini wakuu Poleni na taharuki ya COVID-19 Nmeangalia hii tamthilia ya MONEY HEIST (LA CASA DE PAPEL) kama wengi wenu mlivyofanya kipindi hiki cha karantini. Kati ya vitu nlivyogundua ni kwamba mabeberu wako siriaz na agenda zao. Hebu fikiria USHOGA na USAGAJI unavyokuwa displayed kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…