Nguvu ya Penzi la Mwanamke (The Power Of The Pussy)

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
PDA-Mwanamama Kara King,aliandika kitabu cha ,If Men are Dogs ..This Is Animal Control. The Power Of The Pussy ,How To Get What You Want From Men:Love ,Respect ,Commitment ".

Ukurasa wa 61 ,"Jinsia ya kike ni bidhaa ambayo haiwezi nunuliwa kama haina thamani, Unaweza kuweka jinsia ya kike kwenye soko la Hisa na kufanya vyema kuliko Almasi na dhahabu.

Jinsia ya kike ina uwezo wa kichawi kuweza badili fikira za wanaume ," huyu ni mwanamama Kara King,inawezekana kabisa Wanda Nara, alisoma kitabu hiki na kujua thamani yake ,kuanza kufanya anavyotaka na kutaka anavyofanya kuhusu wanaume. "

Wanda Nara,ni mrembo mwenye asili ya Argentina,aliyezaliwa 10 December 1986 ,na kwa sasa ana umri wa miaka 33 ,huyu ni wakala wa wachezaji ,"Media Personality" na "Showgirl "

Mrembo huyu ,tarehe 28 May 2008 aliolewa na mchezaji wa Sampodira,Max Lopez,na kuzaa naye watoto wa kiume watatu,Valentino Gaston Lopez Nara ,aliyezaliwa 20 February 2009,Constantino Lopez Nara aliyezaliwa 18 December 2010 na Benidicto Lopez Nara,aliyezaliwa 20 February 2012

Max Lopez na Marco Icard,hawa ni marafiki na wanatoka nchi moja ya Argentina,Max Lopez anacheza Sampdoria na Marco Icard,akicheza Inter Millan,na wote ni raia toka Argentina,

Kwenye mapenzi unayempenda akikochoka anakuonyesha ishara tatu za usaliti : anaposema anaongea uwongo, wakati anakuahidi anaweka ahadi ambazo hawezi tekeleza na wakati unamuamini yeye anavunja uaminifu wake

Wanda Nara,alianza kumsaliti Max Lopez dhidi ya Marco Icard ,na vyombo vya habari vya Italy,viliandika usaliti huu wazi sababu ya Mwanamke kutengeneza utafauti kati ya Max Lopez na Marco Icard

Penzi Jipya ni tamu ,Wanda Nara,alimtaka anavyojisikia Marco Icard na Marco Icard alimtaka anavyojisikia Wanda Nara. Mwanamke umri miaka 33, mwanaume umri miaka 27,Kijana anapewa asivyoomba na anapokea asivyohitaji sababu ni Power of Puss y na ubunifu wa Wanda Nara

Max Lopez,ndiye mwanaume mpweke na aliyenyang'anywa mke na watoto wake watatu ,tarehe 14 April 2014 ilikuwa ni mechi kati ya Lopez's ,Sampodoria na Inter Millan ya ,Mauro Icard,magazeti yakaandika na kuita "Wanda Derby".

Kwenye mechi hii kwenye "line Up " wakati wachezaji wanasalimiana, Max Lopez ,aligoma kumpa mkono Marco Icard,sababu alimpoka mke na wake watoto

Tarehe 27 May 2014 ,Marco Icard na Wanda Nara,wanafunga pingu za maisha katika mji mkuu wa Argentina Buenos Aires,kitu ambacho Diego Maradona,alimuita msaliti.

Wanda Nara,akamzalia Marco Icard,mabinti wawili,Francesca aliyezaliwa 19 January 2015 na Isabella ,aliyezaliwa 27 October 2016,mrembo huyu mwenye umri wa miaka 33 kwa sasa ana watoto watano,wanaume watatu na wakike wawili.

Nyuma ya mkataba mpya wa Marco Icard ,wenye thamani £52 Million kutoka club yake ya Inter Milan kwenda PSG ,umekamilishwa na wakala wake ambaye ndiye mke wake Wanda Nara.

Huyu ni mwanamke mtundu,mbunifu na fundi anayejua nini anachotaka na anatakaje sababu ya wake urembo na thamani ya bidhaa yake na "Power of Pussy".

Wakati wakala wa Neymar,ambaye ni baba yake Neymar da Silva Santos Júnior,alisema,"Neymar ni mwanangu akiwa nyumbani,akitoka nje ya nyumba tu ,sio mwanangu bali ni bidhaa na biashara ndio maana uhamisho zake zote nimepata jumla ya £100 Million."

Leon Messi,wakala wake katika meza ya maridhiano ya mikataba ni baba yake mzazi ,Jorge Messi ,yeye amenufaika na jumla ya £ 75 Million.

Marco Icard ,wakala wake ni mke wake sababu kupanga ni kuchagua.

Mwanamke ,aliyemzidi mwanaume umri huwa amemzidi vitu vingi mwanaume ndio maana wanaume wengi walioa wanawake wenye umri mkubwa huwa wanawekwa chini ya uvungu kwa utulivu bila kelele na ndoa ya Wanda Nara na Marco Icard ,inasadiki kauli hii.

Mtu hutunza kitu anachokipenda ndio maana Max Lopez aliachwa sababu penzi lilikishwa na kupewa Marco Icard .

Namaliza na moja ya maneno ya mwanamama Kara King,katika ukurasa wa 116,

Don't Forget Variety "Date a variety of Men.If you only date young guys ,date and older guy for a change.If you always date thugs ;try to going out with a clean cut.

Sina la ziada zaidi ya unayempenda na yeye kuna mtu anampenda pia ,Max Lopez, ni bora kuwa mpweke kuliko kuwa kwenye ndoa na mwanamke anayekucheat.

The Power of The Pussy Get What You Want From Men...kitabu bora chenye siri ya wanawake walaghai.

Bela ciao Wanda Nara ,Solo se vive una vez

Benjamini James
Tukuyu
Mbeyanian
 
Back
Top Bottom