Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Bernard Membe amemkaribisha Tundu Lissu nyumbani na kumtaka waunganishe nguvu ili iwe rahisi kuing'oa CCM madarakani.
Hayo yameelezwa na ACT Wazalendo katika ukurasa wao wa twitter
Maendeleo hayana vyama!
Mikoa ya Kusini ilimtoa mpinzani wa kweli, aliyepinga siasa za Ujamaa na Kujitegemea, Marehemu Oscar Kambona R.I.P. Kambona alipinga waziwazi ujio wa sera za ujamaa. Matokeo yake aliishia kuwa mkimbizi Uingereza. Mikoa ya kusini iliadhibiwa kwa makosa ya Kambona.
Kusini kuna idadi kubwa ya...
MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI
Gari ninayotumia ni Chaser GX100.
Nimesafiri nayo kutoka Dar kuja Iringa na ninatarajia kuitumia kurudi Dar.
Imetokea ghafla steering imekuwa nzito (stiff) ie unatumia nguvu kidogo kukata kona.
Hakuna kelele za belt kwisha, hakuna leakage...
Kwanza nawaomba radhi wana JF kwa kuchelewa kuleta tathmini kuhusu mikoa tajwa hapo juu kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020. Nilipatwa na dharura ya kimaisha iliyonifanya nirudi nyumbani Arusha. Kabla ya kuja huku, nilitembelea mikoa ya Iringa na Mbeya. Nitarejea Moro na tena Njombe...
Zitto Kabwe ni Mwanasiasa mnafiki, mbinafsi, mwongo na mtu wa kumuogopa kama ukoma. Mara zote amekuwa akilenga mambo yanayompa maslahi binafsi na si umma mkubwa wa Watanzania.
Mwaka 2015 wakati Watanzania tukitaka mabadiliko ya kweli, na kuunda Coalition ya UKAWA Zitto alikuwa kinyume chetu...
Mzee wetu mzee Mwinyi, Shikamoo
Mimi ni mtanzania, kwa umri niseme labda ni mjukuu wako, ni Mtanzania, naipenda nchi yangu na ningependa iwe na mustakbali mwema.
Mzee wetu nimekusikia mara kadhaa ukieleza hamu yako ya kumuona Rais aliyeko madarakani akiongezewa muda wa kutawala kinyume cha...
Power of Meditation!
Nguvu ya bangi iko kwenye maficho yake!
Vile mvuta bangi anapovutia bangi chooni hiyo ndo inamfanya awe na mental illness
Vile mvuta bangi anapovutia bangi msituni hiyo ndiyo inamfanya ajione mwamba
vile mvuta bangi anapovutia bang beach, Starehe ya upepo wa beach huzani...
Wasalam.
Mimi sio mtaalam wa Afya wala miti shamba kwa mazingira yetu tunayoishi watanzania wote tumejikuta kwa namna moja au nyingine tunajikuta wote ni wataalamu wa mitishamba hata na Modern medicine.
Tatizo la nguvu la nguvu kiumbe limekuwa neno la kawaida kwa sisi wanaume hivyo kupelekea...
Pale Arumeru Mashariki na Jimbo lililopo kushoto la Hai na Arusha Mjini kunamilikiwa na wanamageuzi ambao wanaitwa nguvu ya Umma nimemsikiliza Nassari ametumia Hekima ya kulazimishwa na kuogopa hivi kama akitukana kama Selasini wa Rombo atapita wapi na huko kwao, nguvu ya Umma ndio inamiliki...
Katika mchakato wa kutafuta mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000, Amani Karume, aliyekuja kuwa mgombea wa chama hicho na baadaye Rais wa Zanzibar, hakuwa mgombea aliyeungwa mkono na wengi visiwani humo.
Kulikuwa na kundi kubwa zaidi lililokuwa likimuunga...
Ni matumaini yangu kuwa kichwa cha habari hii kinatoa tahmini ya jumla juu ya mkoa huu wa Ruvuma. Niko hapa kwa takribani juma moja katika kufanya tathmini binafsi ya kisiasa kuelekea Oktoba mwaka huu. Nimepita Songea na Mbinga; Nikaenda Tunduru na Namtumbo; nikasonga hadi Peramiho na sasa niko...
Kama alivyonukuliwa Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally hivi karibuni "akijimwambafai" kuwa Chama chake cha CCM, kitaendelea kubaki madarakani milele na milele, kwa kutumia vyombo vyote vya dola vilivyopo nchini ambavyo kama alivyonukuliwa yeye mwenyewe kuwa wao ndiyo wanavimiliiki...
Ndugu zangu,
Rejea kwenye post yangu NATAFUTA KAZI MAJI YAMENIFIKA SHINGONI.
nafanya kazi kwenye kampuni moja ya ulinzi GARDAWORLD nalipwa 240,000/= kwa mwezi hapo makato yote yamesha katwa. Japo nina diploma ya uandishi wa habari, nimetafuta kazi inayoendana na elimu yangu takribani miaka...
Simulizi: NGUVU YA MAPENZI
Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Mdada mmoja mrembo sana aliyeitwa Angel alionekana siku hii akiwapeleka wadogo zake kuripoti katika shule mpya maana wadogo zake hao walikuwa ndio wanaanza kidato cha kwanza na yeye alikuwa...
Husna Amri Said na makada wengine wa CHADEMA wameendelea na zoezi la kupandisha bendera za Chama katika Jimbo lote la Chato ambako CCM waliamua kuzishusha.
Mtia nia Ubunge jimbo la Chato bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!
CHadema Kama mnara, Basi kwasasa umesimamia nguzo moja (Mwamba Tundu lissu)
Tundu lissu ndiyo mtu pekee makini anaeungwa mkono ndani ya chama na nje ya chama!
Tundu lissu ndiyo Mtu pekee akiongea wazee kwa vijana hutulia kumsikiliza!
Tundu lissu ndiye...
Bado sijajua siri iliyojificha kwenye chumvi na mkaa. Wengi hutumia kama kinga dhidi ya uchawi na ushirikina. Wengine huweka kitandani au nani ya unga na mchele ili kuzuia chuma ulete.
Matumizi ya mkaa na chumvi yanajulikana kite kama kinga dhidi ya nguvu za Giza. Swali ni je kuna nini ndani ya...
Wanabodi,
CCM ndio chama tawala na kwa Tanzania, tukubali tukatae, CCM ni chama dola. Tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa rais na wabunge October 25, mgombea akiishapitishwa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM, then huyo ndio tayari ni mshindi, zoezi la uchaguzi ni kukamilisha tuu taratibu za uchaguzi ili...
Kuna utafiti nataka nifanye kuhusiana na mahusiano; nataka nijue ni kwa nini jinsia tofauti (Ke na Me) zikikaa sehemu moja kwa muda mrefu, lazima waanzishe mahusiano. Equation x (me) anataka afanye huu utafiti na binti yeyote mrembo (ke) wakae sehemu moja kwa siku thelathini (30) tu wakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.