Ni kitu gani au nguvu gani husababisha kuwa na mahusiano?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,399
40,296
Kuna utafiti nataka nifanye kuhusiana na mahusiano; nataka nijue ni kwa nini jinsia tofauti (Ke na Me) zikikaa sehemu moja kwa muda mrefu, lazima waanzishe mahusiano. Equation x (me) anataka afanye huu utafiti na binti yeyote mrembo (ke) wakae sehemu moja kwa siku thelathini (30) tu wakiwa wanaishi wao wenyewe; nia ni kujua ni kitu gani au nguvu gani inayosababisha kuwa na mahusiano.

Kufanikisha huu utafiti, anatakiwa apatikane ke, ...kama upo karibu nyoosha mkono juu.

Je katika utafiti huu, mnahisi ni kitu gani au nguvu gani husababisha kuwa na mahusiano?
 
Pesa ndo sex binder
ha ha ha ha,kwa mfano uko wewe na akaletwa jinsia tofauti na wewe na mkafungiwa sehemu moja kwa muda mrefu, na katika mazingira hayo mnaonana nyie wawili tu,je hautaanzisha mahusiano?
 
Uwo utafiti unafanya wewe au Je unavyo vitendea kazi kama mjengo wakukaa huyo Me na Ke, pesa za kujikimu nk

Kama unavyo hivyo nipo tayari kuwa Sample aina ya ME.
 
ha ha ha ha,kwa mfano uko wewe na akaletwa jinsia tofauti na wewe na mkafungiwa sehemu moja kwa muda mrefu, na katika mazingira hayo mnaonana nyie wawili tu,je hautaanzisha mahusiano?
Chaputa wao dakika 30 tu sabuni imekwisha chooni kwako, akitoka chooni mnara wa voda upo 5G.😁


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom