Wazungu wana akili na maarifa, Waafrika tuna vipaji na nguvu

Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,491
3,998
Hawa ni moja ya watu waliotumia akili na maarifa kugundua vitu:

1. Isaack Newton
2. Albert Einstein
3. Stive Jobs
4. Eric Yuan
5. Sergey Brin na Larry Page

Hawa ni moja ya waafrika (black) waliovunja rekodi za dunia kwa vipaji vyao.

1. Edison Arantes do Nascimento[Pele] kwenye (mchawi wa soka)
2. Michael Jackson (mfalme wa pop) (music)
3. Michael Jordan (kikapu)
4. Muhammed Ali (ngumi)
5.......

Kwenye suala la vipaji kuvunja rekodi basi Waafrika tuna vipaji vya kuzaliwa na nguvu sana.

Ulishawahi kufanya uchunguzi kwenye vitu hivi?
 
Kaka, kwa kiingereza huitwa, psychological torture. Namaanisha Vita tulipigana zamani sana walituteka na kutuaminisha sisi ni inferior, ungejua historia halisi ya Mwafrika nadhani ungeona umekosea sana hii post.

Waliobuni maandishi, madawa kusoma ni sisi ila kuna uzi tumefumbwa kuhusu sisi hasa ni nani kwa historia zilizofichwa gizani.
 
Nifahamishe kaka
 
Katika hao wahusika uliowaorodhesha mbona karibia wote ni wamarekani?
 
Kaka, kwa kiingereza huitwa, psychological torture. Namaanisha Vita tulipigana zamani sana walituteka na kutuaminisha sisi ni inferior, ungejua historia halisi ya Mwafrika nadhani ungeona umekosea sana hii post.

Waliobuni maandishi, madawa kusoma ni sisi ila kuna uzi tumefumbwa kuhusu sisi hasa ni nani kwa historia zilizofichwa gizani.
Ndugu yang waswahili tunasema "mla mla leo, mla jana kala nini" hiyo uliyosema ni historia tu hakuna aliekuwepo, lkn jamaa mwenye uzi kaja na fact za majina ya watu ambao wamefanya mambo tulio yaona au tunayoendelea kuyaona. Angalizo... I'm not hating Africans cause i'm also African, but here we need the facts.
 
Mkuu hiki ulichoandika unamaanisha au unatania ?
Sisi kama tulikuwa superior kwa nini hatukwenda kuwa colonise wao huko europe?
Katika kuukimbia ukweli , africans tunazidi kujichimbia chini, , matter of the fact ni kuwa jamaa walitutangulia .
 
Kaka, kwa kiingereza huitwa, psychological torture. Namaanisha Vita tulipigana zamani sana walituteka na kutuaminisha sisi ni inferior, ungejua historia halisi ya Mwafrika nadhani ungeona umekosea sana hii post.

Waliobuni maandishi, madawa kusoma ni sisi ila kuna uzi tumefumbwa kuhusu sisi hasa ni nani kwa historia zilizofichwa gizani.
Ni kweli. Ukipiga bomu kwenye mind na self identity umemaliza kazi. Ndicho kilichofanyika.
Walifanikiwa kufanya mtu mweusi ajione almost sio binadamu, ni second grade citizen, hana uwezo hasa wa kiakili, ni tegemezi na hawezi. Ikaingia kwenye mind ya mwafrika. Madhara yake ni down generations.
on the contrary, wakajiweka kwenye nafasi ya kuwa kila kitu chao ndio bora na watu wengine wote wajifunze au waige vya kwao. Ndio sababu unaona mweusi anajichubua awe mweupe, anaona fahari akijua lugha zao au kusoma vyuo huko kwao, anaona fahari akitembelea ulaya, anaona fahari akiwa na tamaduni zao n.k.
ukitaka kujua hilo, fuatilia uhusiano wa congo na Ufaransa.
 
Kumbisalehe kwa elimu uliyotoa mkuu hapa unahitaji ulipwe, sema kama mtu hachanji hawezi elewa yyaaani
 
Ndugu yang waswahili tunasema "mla mla leo, mla jana kala nini" hiyo uliyosema ni historia tu hakuna aliekuwepo, lkn jamaa mwenye uzi kaja na fact za majina ya watu ambao wamefanya mambo tulio yaona au tunayoendelea kuyaona. Angalizo... I'm not hating Africans cause i'm also African, but here we need the facts.
Ndo nilichomwambia , facts haziwi replaced na hearsay au porojo, im Afican too , mweusi haswaa! Ila idea kwamba sisi ni superior naikataa , labda tuifanyie kazi positively.
 
niatuma ebook hapa... mwenye kutaka kuelewa aisome, ila wa kubisha pia anaruhusiwa.. ukitaka kujua more about you, they term you as atheist
 
Attachments

  • the-destruction-of-black-civilization.pdf
    22.7 MB · Views: 18
Ni kweli. Ukipiga bomu kwenye mind na self identity umemaliza kazi. Ndicho kilichofanyika.
Walifanikiwa kufanya mtu mweusi ajione almost sio binadamu, ni second grade citizen, hana uwezo hasa wa kiakili, ni tegemezi na hawezi. Ikaingia kwenye mind ya mwafrika. Madhara yake ni down generations.
on the contrary, wakajiweka kwenye nafasi ya kuwa kila kitu chao ndio bora na watu wengine wote wajifunze au waige vya kwao. Ndio sababu unaona mweusi anajichubua awe mweupe, anaona fahari akijua lugha zao au kusoma vyuo huko kwao, anaona fahari akitembelea ulaya, anaona fahari akiwa na tamaduni zao n.k.
ukitaka kujua hilo, fuatilia uhusiano wa congo na Ufaransa.
Kaka kwa nini sisi hatukuwapiga ao watu weupe ilo bomu.
 
Hoja yako haina tofauti sana kimantiki na kauli wanayoitumia watu wa gender equality , 'Mwanamke akiwezeshwa ,anaweza' in a nutshell kauli hii ni alama ya ushujaa kwa mwanamke , lakini kiundani zaidi , ni kauli inayojieleza kuwa ili mwanamke aweze kumbe , inabidi mwanaume awajibike kumuwezesha kwanza, ni kauli ambayo inamtanabaisha bila kificho kuwa mwanaume ndo shujaa wa kwanza kabla ya mwanamke.

Kwamba wazungu wamefanikiwa kupiga bomu kwenye mind na self identity ya mwafrika , kwan nini sisi hatukuwa wa kwanza kufanya hivyo kwao ili tuwatawale na kuwafanya watumwa wetu?, , ili nao wajione sio kitu kuliko sisi?
Huoni kuwa hoja yako inazidi kumfanya mzungu kuwa alikuwa smart kabla yetu?
 
Back
Top Bottom