Maana nashangaa nashindwa kuelewa watu wanawaitaje hawa watu magenius na utawalinganisha vipi na wale ambao wanaweza kujifunza haraka bila kurudia rudia na wana msaada mdogo wa material na walimu.
Unakuta mwanafunzi topic 1 tu anaiwekea nguvu kubwa mnooo! Yaani anairudia rudia sana ili iwe kama...
Nadhani kwa wakati huu kuliko kilabu ya Simba kukaa tu bila any specific mission au kazi maalum (uzururaji) ingeweza kusaidia nchi katika kutoa maoni na kuhamasisha wananchi kuhusu katiba mpya walau ingekuwa mchango wao katika jamii kuliko kukaa tu huku baadhi ya wachezaji wakianza kuota vitambi...
Nadhani kwa wakati huu kuliko kilabu ya Simba kukaa tu bila any specific mission au kazi maalum (uzururaji) ingeweza kusaidia nchi katika kutoa maoni na kuhamasisha wananchi kuhusu katiba mpya walau ingekuwa mchango wao katika jamii kuliko kukaa tu huku baadhi ya wachezaji wakianza kuota vitambi...
Umasikini ni janga kuliko hata UKIMWI, umasikini unahitaji akili kubwa ili ukabiliwe lakini sio ukimwi,umasikini unamizizi lakini sio ukimwi,umasikini ni chanzo cha kusambaa kwa ukimwi lakini ukimwi ni chanzo cha kuongezeka kwa umasikini kwa kiwango kidogo,umasikini unatisha hata zaidi ya...
Tuangalie makala inayoiangalia University of Dar es Salaam lakini ni hali ktk vyuo vikuu vyote nchini.
Source: https://thechanzo.com/2023/04/24/university-of-dar-es-salaam-is-stuck-its-time-to-save-it/
Nukuu 1:
As the first University in Tanzania, UDSM played a crucial role in shaping the...
Umeshatuma maombi ya kazi miezi mpaka unahesabu miaka lakini hupati kazi.
Unatafuta vibarua vya kujishikiza navyo inakuwa ni mtihani.
Unafanya kila kitu kujaribu kujinasua na mkwamo wa maisha ikiwemo mambo ya kiimani ila bado hupati matokeo. Uvumilivu, kupambana, ubunifu, experience, knowledge...
Kauli ya umma ni kauli ya Mungu. Haijawahi kushindwa popote chini ya jua.
Aungurumapo Simba mcheza nani?
Ni kupata katiba mpya, kuondokana na longo longo za mamlaka, ni kuwawajibisha wabadhirifu, nk?
Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir
Sisi tuko hapa:
Bipartisan talks must end...
Mei mosi oyee!
Ajira katika utumishi wa umma imekua ni ndoto ya wasomi na wasio wasomi wengi hapa nchini, wengi wa watu hawa hulenga ama kupata kipato na wengine kuhudumu kwa kutoa huduma takwa na wananchi. Serikali kwa kulitambua hilo imekua ikitoa ajira za muda mrefu ama muda mfupi lengo...
Nimeshuhudia Maandalizi mengi ya Klabu ya Yanga hasa ikicheza Michuano ya Kimataifa ila sijawahi kuyaona Maandalizi haya Kabambe na Kufuru yaliyofanywa kuelekea Mechi yao ya Marudiano na Rivers United FC Kesho Mkapa Stadium.
Hata hivyo Wenye Akili tunajua baada ya Yanga SC Kushinda Ugenini (...
Msimu ndio unakaribia kuisha hivyo na kijana huyu kaweza kutupa surprise ya aina yake ligi ikiwa ukingoni
1. Tp Mazembe watamtaka arudi congo ?
2. Atabaki Simba ?
3. Yanga watatumia nguvu ya pesa kumleta jangwani ?
Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea.
Leo hii CCM wamewapanda Watanzania vichwani na wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga...
Maisha yanazidi kuwa magumu Urusi, jameni Putin ameliingiza taifa pabaya..
Putin's invasion of Ukraine IS a flop: Erectile dysfunction pill sales surge in Russia – with young men of conscription age suffering extreme stress
Russian spending on erectile dysfunction drugs surged 75 per cent...
Kuna kitu hakiko sawa katika ajira za Tanzania hasa kwenye upande wa ajira za majeshi.
Hivi walioweka kigezo cha mtu ili apate nafasi ya Uhamiaji, JWTZ, Police, Magereza, na Fire eti lazima awe amepitia JKT waliwaza nini na kwa manufaa ya nani?
Kama tujuavyo siyo kila mtu au mhitimu yeyote...
Binadamu akikosea nguvu za asili za kiume au kike anakosa pia nguvu za asili za kufanya KAZI kwa tija na hivyo uzalishaji kwenye TAIFA ushuka.
Tanzania tumekuwa na wananchi wenye changamoto ya nguvu za kiume na kike. Kuthibitisha au kupata ukweli angalia mabango ya tiba asili, angalia pharmacy...
Ni muda sasa suala la ushoga na habari zake zimeendelea kuchoma na kuumiza masikio na macho ya waafrika na wengi wetu kukerwa na wengine kuhuzunishwa.
"kwanini Afrika kwa sana"?.
"Kwanini Mmarekani ndiye anaongoza kwa kuhamasisha na je una manufaa gani kwake kama siyo udhalimu tu dhidi ya...
Hivi ni kweli kuwa watumiaji wa kompyuta mpakato huku wameipakata mapajani, pamoja na sisi tunaotumbukiza simu zetu zikiwa on air kwenye mifuko yetu ya mbele ya suruali tupo kwenye hatari ya kupoteza nguvu za kiume?
Nguvu nyingi za miguu alizonazo Aziz zinamsumbua sana katika kukadiria kupiga mpira kutoa pasi na hata kulenga lango, yaani mpira unakwenda kasi mno, unaenda mbali au unapaa juu ya lango hata kama akiugusa kidogo tu.
Hata yeye anashangaa kwanini mpira hauendi pale alipoukusudia. Yeye anaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.