Nchi za Magharibi zinapaswa kuimarisha ulinzi huku mzozo wa Ukraine ukiendelea, Waziri Mkuu Sanna Marin amependekeza
Nchi za Ulaya zingekuwa katika hatari sasa kama isingekuwa kwa Marekani kubeba jukuu katika mzozo wa Ukraine, Waziri Mkuu wa Finland Sanna Marin alidai Ijumaa. Pia aliwataka...
Sina ndoto za kuimba milele, nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa bilionea.
Ni maneno yake hayo aliyoyatoa hivi karibuni msanii Diamond Platnumz, ni maneno ya kuonyesha kwamba kwa sasa kaona wazi kabisa zama zimebadilika na muda umeenda, badala ya kuendelea kulazimisha game kwa nguvu ameona ni...
Inavyoonekana kupata uongozi ndani ya ccm ni jambo la kufa na kupona ndio maana uchaguzi wao una vitimbi na vituko vingi Kwa kiwango cha kufuatiliwa sana na wafuasi na wasiowafuasi.
Kilichonitisha ni misuli inayotumika kushinda uchaguzi. Misuli hii inawajengea ccm uzoefu wa kushinda kwa njia...
WanaJf,
SALAAM!
Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK
1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura;
2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia...
Changamoto ya wanaume kuhangaikia nguvu za kiume imekuwa kubwa. Baadhi huamini kuwa supu ya pweza ni jawabu tosha, jambo lililomfanya samaki huyu ajipatie umaarufu mkubwa katika kunusuru ndoa na urafiki wa kimapenzi wa vijana wengi.
Kuna ukweli wowote kuwa supu ya pweza husaidia kuongeza...
WanaJf,
SALAAM!
Mara nyingi ikitokea viongozi wastaafu wa nafasi za juu kulalamikia jambo fulani kuhusu uendeshaji wa nchi - huja vijana wa chama maarufu kwa UVCCM na makundi mengine ya wanufaika wa enzi hizo kushambulia hoja, maoni na mtizamo wa mtu.
Kama ilivyotokea kwa kundi la CDE Kinana...
Naombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana.
Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na kuongea kwa Bashiru ni pigo kwa CCM.
Dkt. Bashiru ana nguvu sana tena sana ni Mara 100 ya nguvu ya...
Naona namna ambavyo wanadada wasiyo na makalio wanavyodharaulika mtaani. Nawaonea huruma. Wanapitia wakati mgumu sana katika maisha yao.
Kwa kwali miungu iwatie nguvu. Ukiangalia kila sehemu hamwonekani kuwa na thamani. Hata hamheshimiki, hata wanaume hawawaoni kama ni wanawake, mnaonekana tu...
Soka ni mchezo unashabikiwa na kuangaliwa na watu wa rika zote wakiwemo watoto hivyo basi popote linapojitokeza jambo ambalo linaweza kushusha heshima ya mchezo huu ni lazima lipigwe vita kali.
Kuna habari kwamba kocha wa makipa wa timu kubwa hapa nchi amekutwa na mzigo wa madawa ya kulevya...
Kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa wanaume waliyofayiwa tohara hupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pindi wanapokua, na ni kundi ambalo lipo katika hatari ya kupata maambukizi ya VVU kwa urahisi ukilinganisha na wale ambao hawajafanyiwa tohara.
Ukweli upoje?
Habari wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza sipati jibu, maswali machache niliyo jiuliza yalinifanya nifanye utafiti ili kupata majibu ya maswali yangu. Miongini mwa majibu niliyoyapata kwenye utafiti wangu ni haya:
1) Kwanza nimegundua wanaosumbuliwa na matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume wengi ni...
Sorry my fellow ladies, najua mtaona like I'm snitching you.
Mungu alipo iumba dunia hii alimuumba mwanaume awe mtawala na sisi tuwe wasaidizi.
Mwanaume alifanya kazi za uwindaji, kufukuzana na wanyama huko maporini kisha wakatuletea chakula tupike.
Kazi ya baba nyingine ilikuwa ni ulinzi wa...
Kuvaa viatu vya mpambanaji na mtu wa vita, yapaswa na wewe uwe mtu wa vita ikiwezekana Mara mbili yake, kama alikuwa haruhusu sharubu zake ziguswe, kwa wewe iwe marufuku hata kusogelewa tu na kinyamkera chochote, kwani mazoea ni mabaya.
Kwa nini imekuwa ni vigumu sana kuondoa umaarufu wa...
Tanzania na baadhi ya Nchi za kiafrika viongozi wetu hawana utamaduni wa kuwajibika pale ambapo wameboronga.
Na Sisi wananchi tunabaki kulalamika tu huku watu wakiendekea kufanya madudu.
Nawakubali sana waarabu wanamsimamo na wamesonga mbele. Wao huwa ni ambushi mwamzo mwisho wasipomtaka...
Umempenda mtu fulani kwa sababu kupenda huwa ni kabla ya kukutana kimwili.
Sasa baada ya mahusiano ya muda mmekutana kimwili unakuja kugundua kuwa jamaa hawezi, je, unaweza kudumu nae kwa sababu ya kumpenda?
Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club Africaine ya nchini Tunisia?
Vipi tumeshachungulia kwa Babu au?
sina mengi ,
Tayari tarehe mbili Imefika naamini Kabisa Ile Nguvu Yanga wanayotumia wakikutana na Simba,
Wakiitumia angalau nusu yake tu basi wanaingia makundi!
Kama Kuna ahadi , au mambo yanafanyika yanga inapoelekea kucheza na simba basi yakifanyika nusu yake tu,
Game inaisha Kwa mkapa...
Hawa Wacongo wangejitambua enzi za Lumumba wakifanikiwa sana wameamua kutumia nguvu ya umma kuungana na kuandamana kuutangazia ulimwengu kwamba wanaibiwa madini yao mwizi wanamfahamu ,na bahati nzuri mwizi anajulikana.
Nawatakia kila kheri kwenye MAPINDUZI .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.