nguvu

  1. Surya

    Nguvu za kiume na nguvu za kike, wanaume hatulalamiki

    Tendo la ngono lina mambo mengi aisee na sababu nyingi sana. Kiukweli nimekua na tabia ya kumuuliza hili swali mwanamke ambaye nimehisi katokea kuvutiwa na mimi ama hela zangu. Lazima niulize unahisia na mimi kweli tusije kwenda kusumbuana tu, au hisia zako zipo kwenye pesa yangu tu? Iko hivi...
  2. NetMaster

    Waziri Mkuu wa Uingereza ndiye mwenye nguvu zaidi kuzidi Mfalme/Malkia

    Mwenye nguvu zaidi ni Waziri mkuu, ndie kiongozi wa shughuli za Serikali, Executive power ipo kwa Waziri Mkuu, pia akiwa kama kiongozi wa chama chenye majority Bungeni hii ni nguvu ya ziada kuwa na legislative power Mfalme yupo zaidi kama figure head lakini real power ipo kwa Waziri Mkuu.
  3. T

    Nguvu iliyotumia CCM kujiimarisha ingetumika nusu yake tu kuimarisha uchumi wa nchi tungekuwa mbali sana kiuchumi kama taifa

    Ccm inajisufu na kujitutumua kuwa ni chama kikubwa sana Afrika, kwa kuangalia historia wafuasi na mtindo wake wa kubadili viongozi wao kwa njia ya amani na utulivu. Hata hivyo makusudi makubwa ya chama chochote duniani ni kwa ajili ya kushinda uchaguzi ili kuunda serikali na kushika dola. Lengo...
  4. Kaluluma

    Anayehitaji saidia fundi, fundi seremala mwanafunzi au msaidizi wa kazi yeyote inayohitaji nguvu Dodoma anisaidie

    Habari za leo wakuu. Napitia kipindi kigumu sana kiuchumi Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kibarua cha malipo ya siku au vyovyote vile nipo tayari. Naweza kufanya saidia fundi au kazi yoyote ya nguvu. Nina uwezo wa kutumia cherehani kwa ufasaha kabisa Au kama unaweza kunielekeza...
  5. Chagu wa Malunde

    Kazi inaendelea, kilichobaki ni kwenda na Rais Samia. 2025 ni kumuunga mkono kwa nguvu zote

    Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia. Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania. 2025 Twende na Rais Samia.
  6. BLACK MOVEMENT

    Kiti cha Rais Samia kanisani Vs Rais Ruto kanisani Homa Bay, Kenya

    Nimeona picha ina trend ya kiti cha Raisi kuingizwa kanisani kwamba hawezi kalia kiti kingine tofauti na cha kwake kutoka Dodoma. Baada ya hapo nikakumbuka picha ziliozo triend za Raisi Ruto akiwa Homa Bay mwezi ulio pita, alikalia kiti kilicho chanika na akaona sawa, na hata Maaskofu...
  7. Artifact Collector

    Jifunze kuwa invisible, kuwasha nuru yako ya rohoni na kutumia nguvu ya ardhi na anga ili ufanikiwe

    Uandishi sio mzuri sana UTANGULIZI Kwanin watu ambao ni devoted kwa Mungu inawawia ngumu sana kufanikiwa mfano kwanin waimbaji wengi wa kwaya au injili hawafanikiwi kama wasanii wanaoimba nyimbo za Dunia, kwanin ni ngumu sana kukuta tajiri na ameokoka hata kama unamafanikio kitendo Cha kusema...
  8. KING MIDAS

    Mizimu inapata wapi nguvu za kuleta mvua?

    Halafu mtu akifa anageuka kuwa mzimu, kesho mnaenda kumuomba alete mvua, huu upuuzi tumeupata wapi? Mfu anapata wapi Nguvu za kuleta mvua?
  9. Meneja Wa Makampuni

    Tuunganishe nguvu tuwavutie wawekezaji kwenye haya maeneo ya mafuta na gesi tusiichie serikali pekee inatingwa

    Taifa letu lina maeneo mengi wazi ya kuwekeza katika sekta ya mafuta na gesi. Maeneo muhimu sana nayoyaona mimi ni yafuatayo: 1. Vituo vya kujaza mafuta mijini na vijijini (Fuel and service stations in cities and rural areas). # 2. Vituo vya kujaza gesi iliyoshindiliwa (CNG) mijini (CNG...
  10. Carlos The Jackal

    Fahamu madhaifu makubwa ya wanawake, unayoweza kuyatumia kumpata bila nguvu kubwa!

    Huu ni ukweli ambao hata wao wanawake hawaupendi, in fact masuala kama haya huwa naandika kwenye magroup yangu yenye wanaume wenzangu tu. Hii kitu naandika hapa, ni kwa mwanamke yoyote yule hapa chini ya jua, bila kujalisha dini, rangi, elimu, kipato, race, ni chibonge, ni mwembamba, ni mrefu...
  11. Nyankurungu2020

    Ufisadi na ubadhirifu unaondelea nchini kuipatia CHADEMA nguvu za kisiasa tena. Awamu ya 5 CHADEMA ilipotea baada ya ufisadi kudhibitiwa

    Kwa namna Mapato ya Serikali yanaonekana kuwa hayatumiwi vyema ili hali Serikali inakusanya mapato mengi kupitia kodi, tozo na faini pia hata ada kibao. Wakati wa hayati JPM alidhibiti mianya ya upotevu wa pesa za umma. Aliweza kuwa na ukusanyaji madhubuti wa pesa za umma na zote zikatunzwa...
  12. Ali Nassor Px

    Kijana wa kiume usitumie nguvu nyingi katika kumtongoza mwanamke ambaye huna malengo naye na wala haeleweki ukiamini utambadilisha

    Usitumie nguvu kubwa sana katika kumtongoza mwanamke, unaweza ukamkosa ukapoteza mda wako. Ila unaweza ukampata ukapoteza mda na pesa zako. Usimtongoze mwanamke kwa mategemeo ya kumbadilisha ni kweli wapo wanawake ambao wanabadilishika ila kama mwanaume usifanye hiyo kazi utapoteza mda wako...
  13. L

    Nguvu ya Michezo

    Katika mashindano ya mbio za Marathon ya Berlin 2022, bingwa wa dunia wa mbio za marathon, Eliud Kipchoge amevunja rekodi yake ya dunia aliyokuwa akiishikilia mwenyewe na kutwaa ubingwa huo kwa muda wa saa 2, dakika 1 na sekunde 9. Kikomo cha uwezo wa binadamu kimevukwa tena. Kwa Wachina wengi...
  14. M

    Diaspora wa Uingereza walikuwa wanaringa sana kwa nguvu ya Pauni, sasa hivi tunawacheka

    Mzuka Wanajamvi! Enzi hizo kwa Bibi wee. Mambo ya Sterling pound pesa iliyokuwa na nguvu. Yani diaspora wa uingereza enzi hizo wacha wee full kujiinua hasa wakituma au kuchenji hela zao. Sie wa akina krone, krona na kroner tulidharaulika sana. Kujiinua taratibu zinakwisha. Na walivyomuweka...
  15. William Mshumbusi

    Mwigulu Akiendelea kuwa waziri Basi ndie Rais ajae tutake tusitake. Atakuwa na timu Bora na zaidi ya Tillion 2 kibindoni

    Wanaomchukulia Mwigulu kirahisi rahisi wanakosea Sana. Siwezi zungumzia uadilifu wake lkn najua anavyojua kusaka pesa akiwa kwenye mamlaka. Alipokuwa naibu tu Wizara ya fedha kwa miaka 2 tu aliunda pesa za kutosha. Mwaka 2015 Akaanza kampeni za uraisi kirahisi Sana. Akalipia matangazo ya redio...
  16. NetMaster

    Nguvu ya kielimu kwa makabila kama wahaya waliyotumia kujazana maofisini inapungua, Wakiendelea kutegemea ajira wamekwisha !! wajipanue kibiashara

    NB: Wachaga wameelimika ila niwaweke pembeni hawa hawategemei ajira pekee. Tofauti na zamani tulivyozoea makabila yaliyoelimika na kutegemea ajira kwa asilimia kubwa kama wahaya kujazana maofisini kwa vyeti vyao, kwa sasa hali ni tofauti kabisa.. Zamani elimu ilikuwa inapatikana kwa uchache...
  17. hempustler_007

    SoC02 Nguvu ya Bangi na Hempu kwa Afrika

    “Fikiria watu wanalima hempu na wanazalisha kila kitu kuanzia chakula mpaka nishati bila petroli”- Josh Tickell Wakazi wa Afrika hawakati miti na kutumia vinyesi vya wanyama kupika kwa sababu hakuna mbadala wa kuni na kinyesi cha wanyama, kupitia mtambo wa gasifaya. Kila kaya inaweza...
  18. L

    Fadhili Mpunji: Mipango hewa ya juhudi za Umoja wa Ulaya kudhoofisha nguvu ya ushawishi wa China barani Afrika zaonekana kugonga mwamba

    Mkutano wa kilele kuhusu Afrika Kuzoea mabadiliko ya tabia nchi kuzoea mabadiliko ya tabia nchi “African Adaptation Summit” ulifanyika mwanzoni mwa mwezi Septemba mjini Rotterdam Uholanzi. Mkutano huo ni sehemu ya juhudi za nchi za Ulaya kuimarisha ushirikiano na nchi za Afrika la kukabiliana na...
  19. BARD AI

    Vyeo 9 vya nguvu alivyoshika Uhuru Kenyatta kabla ya kuwa Rais

    Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta aliwashukuru Wakenya kwa fursa nyingi walizompatia kuhudumu katika majukumu mbalimbali ya umma katika miongo miwili na nusu iliyopita. Akihutubia Taifa katika Ikulu mnamo Jumatatu, Septemba 13, Rais anayeondoka alikumbuka safari yake katika utumishi wa Umma...
  20. Alexander Lukashenko

    Usajili kuongeza nguvu Yanga

    Baada ya kuitazama Game yetu jana tar 11 sept 2022, tukimgaragaza mtu goli nne kwake. Nilifanya analysis yangu nikaona kuna maeneo yanahitaji kuongezwa Nguvu ili tufike mbali kimataifa. Tunahitaji kuongeza baadhi ya wachezaji ili kuimarisha kikosi chetu kwa ajili ya mapambano. Naamini GSM na...
Back
Top Bottom