Sababu kuu za Mmarekani kuhamasisha kwa nguvu sana ushoga Afrika na siyo mabara mengine

Adolph Jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
5,552
8,626
Ni muda sasa suala la ushoga na habari zake zimeendelea kuchoma na kuumiza masikio na macho ya waafrika na wengi wetu kukerwa na wengine kuhuzunishwa.

"kwanini Afrika kwa sana"?.

"Kwanini Mmarekani ndiye anaongoza kwa kuhamasisha na je una manufaa gani kwake kama siyo udhalimu tu dhidi ya binadamu"?.

Jibu hili hapa..

The issue of the LGBTQ movement has been a contentious one in Africa and around the world. While some countries have made strides towards equality, many African nations still hold strong conservative values that conflict with LGBTQ rights. However, the United States has been pushing African countries to accept the LGBTQ movement, and in this article, we will explore why.

Firstly, it is important to understand that the United States has a history of advocating for human rights and equality around the world. LGBTQ rights are considered to be part of this larger conversation about human rights, and the US government has made it clear that they see the rights of the LGBTQ community as a priority.

Secondly, the US government has been providing aid and assistance to African countries for many years. In exchange for this aid, the US often requires countries to make certain changes or concessions. In recent years, the US has begun to tie aid to LGBTQ rights, meaning that countries must show progress towards accepting the LGBTQ community in order to receive aid.

Thirdly, many African countries are members of international organizations that promote LGBTQ rights, such as the United Nations. By pushing African countries to accept the LGBTQ movement, the United States is aligning itself with these international organizations and promoting a global agenda of LGBTQ equality.

Fourthly, the US is also motivated by the belief that accepting the LGBTQ community is good for business and economic growth. The LGBTQ community is a significant market and by promoting equality, the US is opening up economic opportunities for American businesses in Africa.

However, it is important to note that the US’s push for LGBTQ acceptance in Africa is not without controversy. Many African nations see this as an example of Western imperialism and argue that it goes against their cultural and religious values. Some also argue that the US is using aid as a tool to push its own agenda, which may not necessarily align with the needs and priorities of African nations.

In conclusion, the United States’ push for African countries to accept the LGBTQ movement is motivated by a combination of factors, including a commitment to human rights, international alignment, economic interests, and the desire to promote equality. While this push is not without controversy, it is clear that the United States sees the rights of the LGBTQ community as a priority and is willing to take steps to promote acceptance and equality around the world.

Kwa wenzangu na mimi "kwetu pakavu tia mchuzi" sababu kuu ni mbili...

-Haki za binadamu.
-uhusiano mwema na mataifa ya Afrika.

-Usawa.
-Biashara.

Je ni kweli....??

Wazo la mdau..

Ukikubali ushoga kwao ni faida, ila kwetu ni hasara, ukikataa ushoga pia kwao ni faida, ila kwetu ni hasara kubwa tena mno, kwa nini ni faida kwao endapo utakubali kwanza malengo yao ya kueneza na kutetea mashoga kwa kivuli cha haki za binadamu yatakuwa yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa, na endapo utakataa pia watakuwa wamefanikiwa kwa sababu masharti waliyokupa umeshindwa kutekeleza kwa hiyo misaada yote itasitishwa, lakini kwa maono ya viongozi wetu wanaona ni bora tuendelee hivyo hivyo kwa sababu kujitegemea kwa kila kitu ni vigumu kwa sababu mapato yetu ya ndani ya nchi viongozi wetu wanayafisadi kwa ubadhirifu mkubwa mno ikiwemo misaada, mapato kutokana na rasilimali zilizopo kama madini, mbuga za wanyama, milima, bandari, mikopo na mengineyo na mfano mzuri wa ufisadi muulizeni Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa.

Asante
 
Ni muda sasa suala la ushoga na habari zake zimeendelea kuchoma na kuumiza masikio na macho ya waafrika na wengi wetu kukerwa na wengine kuhuzunishwa.

"kwanini Afrika kwa sana"?.

"Kwanini Mmarekani ndiye anaongoza kwa kuhamasisha na je una manufaa gani kwake kama siyo udhalimu tu dhidi ya binadamu"?.

Jibu hili hapa..

The issue of the LGBTQ movement has been a contentious one in Africa and around the world. While some countries have made strides towards equality, many African nations still hold strong conservative values that conflict with LGBTQ rights. However, the United States has been pushing African countries to accept the LGBTQ movement, and in this article, we will explore why.

Firstly, it is important to understand that the United States has a history of advocating for human rights and equality around the world. LGBTQ rights are considered to be part of this larger conversation about human rights, and the US government has made it clear that they see the rights of the LGBTQ community as a priority.

Secondly, the US government has been providing aid and assistance to African countries for many years. In exchange for this aid, the US often requires countries to make certain changes or concessions. In recent years, the US has begun to tie aid to LGBTQ rights, meaning that countries must show progress towards accepting the LGBTQ community in order to receive aid.

Thirdly, many African countries are members of international organizations that promote LGBTQ rights, such as the United Nations. By pushing African countries to accept the LGBTQ movement, the United States is aligning itself with these international organizations and promoting a global agenda of LGBTQ equality.

Fourthly, the US is also motivated by the belief that accepting the LGBTQ community is good for business and economic growth. The LGBTQ community is a significant market and by promoting equality, the US is opening up economic opportunities for American businesses in Africa.

However, it is important to note that the US’s push for LGBTQ acceptance in Africa is not without controversy. Many African nations see this as an example of Western imperialism and argue that it goes against their cultural and religious values. Some also argue that the US is using aid as a tool to push its own agenda, which may not necessarily align with the needs and priorities of African nations.

In conclusion, the United States’ push for African countries to accept the LGBTQ movement is motivated by a combination of factors, including a commitment to human rights, international alignment, economic interests, and the desire to promote equality. While this push is not without controversy, it is clear that the United States sees the rights of the LGBTQ community as a priority and is willing to take steps to promote acceptance and equality around the world.

Kwa wenzangu na mimi "kwetu pakavu tia mchuzi" sababu kuu ni mbili...

-Haki za binadamu.
-uhusiano mwema na mataifa ya Afrika.

-Usawa.
-Biashara

Asante
PUMBAFU? Kwahiyo unakubaliana na huo ujinga kwa hizo sababu ulizozielezea?
 
Lengo wala si hilo lengo kuu kuwatawala tu ili wachukue mali kwa kuwapa ninyi wenyewe, chukulia waziri anaesaini mkataba na Marekani shoga na anajua ndio taifa lililompigania kupata uhuru zaidi kwa ujinga huo atakosa kua mtumwa kwao?
 
Ndiyo biashara hiyo ...Yaani kutuvuta upande wake
 
Lengo wala si hilo lengo kuu kuwatawala tu ili wachukue mali kwa kuwapa ninyi wenyewe, chukulia waziri anaesaini mkataba na Marekani shoga na anajua ndio taifa lililompigania kupata uhuru zaidi kwa ujinga huo atakosa kua mtumwa kwao?
Sikubaliani na hiyo sababu. Nafikili lengo ni kuua nguvukazi. Mwanaume akishalegezwa anatoa wapi nguvukazi? Na kukishakuwa hakuna nguvukazi, tutakuwa watu wa kutawaliwa milele na hilo ndio lengo lao kuu
 
Wazo zuri ila jiulize..

"Yeye mmarekani ananufaika vipi na nguvu kazi ya Afrika kuanguka.?..

-Je baada ya nguvu kazi yetu kuanguka haoni kama na taifa lake litadorora kiuchumi.?..
maana marekani ni mchanganyiko wa watu wa mataifa mbalimbali ikiwemo Waafrika tofauti na Russia, na china.

-Kumbuka mataifa yaliyoendelea yanakodolea na kutamani maliasili za Afrika ikiwemo kutegemea nguvu kazi kuzizalisha.

Sasa ni vipi anataka kuua nguvu za Mwafrika?
 
Wazo zuri ila jiulize..

"Yeye mmarekani ananifaika vipi na nguvu kazi ya Afrika kuanguka.?..

Je baada ya nguvu kazi yetu kuanguka haoni kama na taifa lake litadorora kiuchumi.?..
maana marekani ni mchanganyiko wa watu wa mataifa mbalimbali ikiwemo Waafrika tofauti na Russia, na china.

Kumbuka mataifa yaliyoendelea yanakodolea na kutamani maliasili za Afrika ikiwemo kutegemea nguvu kazi kuzizalisha.

Sasa ni vipi anataka kuua nguvu za Mwafrika?
Hii ni thread ya promotion . Member katuletea kutushawishi. Hatari sana
 
Lengo kuu LA movement ya Ushoga ni kuondoa vijana ambao wataweza kuleta mapinduzi Kwa watawala either Huko USA au huku Afrika. Ukiwa na vijana walaini kama Akina JUNIOR... "Dady I want to this" lini atawaza kupambana hata serikali Ukimletea udhalimu. So it's necessary Kwao na kwa utawala wadunia ijayo kuwa na wanaume laini sana ili iwe rahisi wao kutawala na kumleta shetani wao MPINGA KRISTO.
Why wametutolea jicho afrika zaidi jibu lipo kiroho zaidi na wao wanajua ila sisi hatujui.
Wazungu ni WAPAGANI tangu waanze kutokea duniani they are barbarian. They don't know God. They never knew him until they came to Africa(then wakafanya Yao kila kitu kukawa vice versa) . So wajua sisi ndio tutakuwa the last standing ndo maana vita Yao kubwa ipo huku kwetu.
And kosa tulilofanya sisi kwanza ni kujikataa then tukamkumbatia Mtu mweupe na mambo yake kuanzia majina mpk jinsi ya kuishi it means tukamkumbatia MPAGANI na mambo yake wakati tulishakatazwa.
Now mtu mweupe ameamua kutojificha Tena anajionyesha rangi yake halisi na anachokisimamia Devil with his intentions!! Sema kwetu ni too late maana tukabeba majina Yao yenye Miungu Yao ya kipagani aka BAAL the. Tukabeba na hizo Roho zao za kishoga/kisagaji.
But Mungu atamsamehe AKOBI atamkumbuka so watajitahidi ila Atatupigania maana KISASI NI CHA KWAKE.
 
Hii ni thread ya promotion . Member katuletea kutushawishi. Hatari sana
Mbuzi wanaofirana Vingunguti Aliye washawishi nani??
Kama huyu ni mgonjwa! Mnamfunga miaka.30 bila kumpima afya ya akili!; na walio mfira wapo huru
JamiiForums211776221.jpg
 
Lengo kuu LA movement ya Ushoga ni kuondoa vijana ambao wataweza kuleta mapinduzi Kwa watawala either Huko USA au huku Afrika. Ukiwa na vijana walaini kama Akina JUNIOR... "Dady I want to this" lini atawaza kupambana hata serikali Ukimletea udhalimu. So it's necessary Kwao na kwa utawala wadunia ijayo kuwa na wanaume laini sana ili iwe rahisi wao kutawala na kumleta shetani wao MPINGA KRISTO.
Why wametutolea jicho afrika zaidi jibu lipo kiroho zaidi na wao wanajua ila sisi hatujui.

Wazungu ni WAPAGANI tangu waanze kutokea duniani they are barbarian. They don't know God. They never knew him until they came to Africa(then wakafanya Yao kila kitu kukawa vice versa) . So wajua sisi ndio tutakuwa the last standing ndo maana vita Yao kubwa ipo huku kwetu.​

And kosa tulilofanya sisi kwanza ni kujikataa then tukamkumbatia Mtu mweupe na mambo yake kuanzia majina mpk jinsi ya kuishi it means tukamkumbatia MPAGANI na mambo yake wakati tulishakatazwa.
Now mtu mweupe ameamua kutojificha Tena anajionyesha rangi yake halisi na anachokisimamia Devil with his intentions!! Sema kwetu ni too late maana tukabeba majina Yao yenye Miungu Yao ya kipagani aka BAAL the. Tukabeba na hizo Roho zao za kishoga/kisagaji.
But Mungu atamsamehe AKOBI atamkumbuka so watajitahidi ila Atatupigania maana KISASI NI CHA KWAKE.
Kumbuka wazungu(Wa magharibi) unaowataja ndiyo walileta hii Biblia tunayoitumia (Kupitia utumwa) na vipi tena leo waje kupinga hiyo hiyo Biblia? au baada ya kuisoma sisi tukaelewa sana kuliko wao? 🤔🤔
 
Cha kusikitisha katika global human rights index marekani huwa haiorodheshwi maana inajua hata kulazimisha mila na desturi zao zikubalike na nchi zingine ni kinyume cha makubaliano ya kimataifa ya haki za kibinadamu.
 
Back
Top Bottom