Nguruwe ni wanyama wa familia Suidae. Nguruwe-kaya hufugwa kote duniani. Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato zilizogawanyika. Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri.
Kuna kipindi Senzo akiwa mtendaji mkuu wa yanga alikwenda kuipokea timu kutoka south Africa ilikuja kucheza na Simba kwenye mashindano ya klabu ya klabu bingwa Afrika.
Kitendo cha Senzo kukutana na timu ya south Africa kabla ya mechi ya Simba kilichukuliwa kwa hisia tofauti, wakati washabiki wa...
Katika kipindi hiki, mimi binafsi naendelea kujikita kikamilifu katika harakati zangu za kutafuta mabanda ambayo naweza kuyakodisha kwa lengo la kuanzisha shughuli za ufugaji wa nguruwe. Katika kutimiza lengo hili, nina tamanio kubwa la kupata mabanda ambayo yapo Dar es Salaam au katika maeneo...
Naombeni umshauri wale ambao mnaifahamu kuhusu dini Mimi ni muislamu Jina kwa maana siswali Ila familia yetu ni waislam.
Katika kutafuta Biashara ya nyumbani hisiyo na usumbufu sana nikagundua NGURUWE wanafaa sasa ninaamini kwamba nikifuga nitatengwa au nitaonekana nimehasi dini.
Sasa...
Wakuu habari za mchana?
Nikiwa nime tune tv kufuatilia kipindi changu pendwa cha sports cha kipenga extra ni shtushwa na neno Kimoja cha nguruwe likitamkwa na mgeni Mjata Mjata shabiki kindaki ndaki wa Makolo wakiwa wanaongolea matokeo ya Man United.
Naona imebidi kipindi kifutwe kabisa saizi...
wadau niko kwenu hapa najaribu kufikiri kuanza UFUGAJI Sasa nawaza kuhusu UFUGAJI WA NGURUWE au kuku SASO naombeni ushauri wenu nataka kutengeneza pesa za ada mwakani.
NIKO MKOANI NA MTAJI WANGU NI LAKI TANO
Ni moja ya kanisa linaloendelea kufuata sheria za agano la kale ikiwemo kuheshimu sheria zilizowekwa na Mungu kuhusu uchambuzi wake wanyama wa kula pamoja na kuendelea kuamini Pombe ni chukizo kwa Mungu, Siku yao ya kuabudu huanza ijumaa jioni hadi jumamosi kama ilivyo kwa wayahudi wanaoabudu...
Nauliza tu maana kwangu mm kitimoto nakula ila Nina ndugu zangu ni waislam
Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?
Watu kadhaa ambao hutumiwa na Urusi kueneza propaganda wakiwemo wanahabari wakumbana na vichwa vya nguruwe kwenye milango yao, sijaelewa kwanini itumike kichwa cha nguruwe maana hawa sio wafuasi wa ile dini ya mwarabu ambayo huogopa sana nguruwe.........
Hawa mapropaganda ni hatari sana, kuna...
Staa wa TikTok kutoka nchini Indonesia, Lina Mukherjee amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kutokana na video aliyo-post inayomuonesha akisema neno linalotumiwa na Waislamu la ‘Bismillah’ kabla ya kula nyama ya nguruwe, jambo ambalo limelaaniwa vikali nchini humo.
Neno hilo hutumiwa na...
Kamati ya Bunge ya VVU/UKIMWI ya Uganda imepokea taarifa hiyo kutoka Mamlaka ya Taifa ya Dawa Nchini humo ambayo imekiri kufahamu Dawa za Kurefusha Maisha na Kunenepesha zimekuwa zikitumika kwa Wanyama na haikuchukua hatua zozote.
Mkaguzi Mwandamizi wa Dawa kutoka NDA, Amos Atumanya amesema...
Figo ya nguruwe ambayo ilipandikizwa katika mwili wa Binadamu kwa zaidi ya mwezi mmoja, imefanya kazi kwa ufanisi ikiwa ni hatua ambayo Madaktari wa upasuaji wana matumaini makubwa kwamba siku moja wataweza kutumia aina hii ya upasuaji kuokoa maisha ya Binadamu ambao ni Wagonjwa.
Upasuaji huo...
#HABARI Mtoto aitwaye Haruna Mwanakatwe anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kumi (10) mwenye ulemavu wa viungo na mkazi wa mtaa wa Edeni B Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ameuawa kwa kuliwa na Nguruwe nyumbani kwao.
Tukio hilo limetokea jana Juni 25, 2023, baada ya mtoto huyo kubaki ndani...
Wakuu habari?
Kama title inavyosema, maelezo zaidi ni kama ifuatavyo.
Idadi: 10
Umri: Miezi miwili na nusu.
Bei: @120,000/= (Maongezi yapo)
Eneo: Arusha, Themi Hill.
Karibuni wakuu!
UPDATES: Done deal..! Shukrani kwa ushirikiano wenu.
Utafiti unasema
Ulaji wa vipande vitatu vidogo vya nyama ya nguruwe kila siku badala ya kula mara moja tu unaweza kusababisha kuongezeka kwa hatari ya saratani ya utumbo kwa asilimia 20%
Pia SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE Wanasema:
Nchini Tanzania nyama ya nguruwe ni maarufu katika maeneo...
Katika dini ya Ukristo, maandiko matakatifu ya Biblia yanapinga ulaji wa nguruwe kwa sababu inachukuliwa kuwa ni mnyama najisi.
Hii inapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11:7-8 ambapo inasema " Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. .Hamtakula...
Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee.
Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na...
Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee.
Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.