Mapropaganda wa Urusi wakutana na vichwa vya nguruwe kwenye milango yao

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,674
48,448
Watu kadhaa ambao hutumiwa na Urusi kueneza propaganda wakiwemo wanahabari wakumbana na vichwa vya nguruwe kwenye milango yao, sijaelewa kwanini itumike kichwa cha nguruwe maana hawa sio wafuasi wa ile dini ya mwarabu ambayo huogopa sana nguruwe.........
Hawa mapropaganda ni hatari sana, kuna mmoja aliomba Urusi ianze kuua raia, na moja kwa moja ikaanza kupiga hadi bembea za watoto....

Russian propagandist media reported that columnist Timofei Sergeitsev, photojournalist Mikhail Tereshchenko and "military expert" Konstantin Sivkov have all found severed pig heads on their doorsteps.

Sergeitsev received a package with a pig's head inside on 26 September, Sivkov on 20 September, and Tereshchenko on 19 September.

Four more packages containing pigs’ heads were reportedly found during a search at the home of the deliveryman who had delivered the package to Tereshchenko.

It is not known who is behind these acts. All three of the recipients have received threats before.
 
kwanini itumike kichwa cha nguruwe maana hawa sio wafuasi wa ile dini ya mwarabu ambayo huogopa sana nguruwe.........
Wazee wa makobazi na vipedo wanazuga tu hawaogopi hiyo kitu wala nini,mbona wanagonga kwa kwenda mbele wakiwa chimbo?🤔
 
Watu kadhaa ambao hutumiwa na Urusi kueneza propaganda wakiwemo wanahabari wakumbana na vichwa vya nguruwe kwenye milango yao, sijaelewa kwanini itumike kichwa cha nguruwe maana hawa sio wafuasi wa ile dini ya mwarabu ambayo huogopa sana nguruwe.........
Hawa mapropaganda ni hatari sana, kuna mmoja aliomba Urusi ianze kuua raia, na moja kwa moja ikaanza kupiga hadi bembea za watoto....

Russian propagandist media reported that columnist Timofei Sergeitsev, photojournalist Mikhail Tereshchenko and "military expert" Konstantin Sivkov have all found severed pig heads on their doorsteps.

Sergeitsev received a package with a pig's head inside on 26 September, Sivkov on 20 September, and Tereshchenko on 19 September.

Four more packages containing pigs’ heads were reportedly found during a search at the home of the deliveryman who had delivered the package to Tereshchenko.

It is not known who is behind these acts. All three of the recipients have received threats before.
🪖 The moment of the liquidation of AFU militants

Before dying, the militant began to shout: "guys, I surrender", but in reality at that moment he was taking out a grenade. A #Russian warrior destroyed the militant before it exploded.
 
Back
Top Bottom