nguruwe

Nguruwe
Nguruwe ni wanyama wa familia Suidae. Nguruwe-kaya hufugwa kote duniani. Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato zilizogawanyika. Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri.
  1. Engager

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislamu. Kivipi Nguruwe ni haramu kwenu ingali Ngamia mnakula?

    Mimi ni mkristo. Katika ukristo, imendikwa wanyama wote wasiocheua na/au wenye kwato zisizo gawanyika pande mbili si ruhusa kuwala wala kugusa mizoga yao kwa maana ni najisi (Walawi 11:3-4) Mnyama wa kwanza kabisa aliyetajwa kwenye biblia kuwa najisi na hafai kuliwa wala mzoga wake kuguswa ni...
  2. tinWyn

    JamiiForums Tanzania 10m capital/mtaji -Mpango wa mradi wa ufugaji wa nguruwe na biashara ya butcher

    Jumla ya Bajeti: Tsh 10,000,000 1. Malengo ya Mradi 1. Kufuga nguruwe wa kisasa kwa ajili ya kuzalisha na kuuza nyama. 2. Kuongeza mtaji wa butcher ili kuongeza mzunguko wa mauzo. 3. Kujenga uthabiti wa kifedha wa familia kupitia kipato cha kilasiku (Butcher) na cha muda mrefu (Ufugaji). 2...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio kirutubisho bora cha nguruwe chenye matokeo chanya

    Je Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?, vifo vya mara kwa mara? wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus group...
  4. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Hili la Salim Kikeke kuhusu masoko ya Nguruwe mnalionaje ndugu zetu waislamu?

    Kada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge. Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya...
  5. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Salim kikeke Mkombozi wa nguruwe Moshi vijijini

    Mashallah! Kiukweli Salim Kikeke ni kama baraka ya Allah kwa wananchi. Yaani Allah huwa anamtuma mtu spesho kabisa kuwasaidia watu — na kwa sisi wa Moshi vijijini, Kikeke ametokea kuwa mkombozi hasa. Huyu jamaa atatufungulia milango ya masoko ya nguruwe kule Zanzibar ambako soko bado liko wazi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salim Kikeke: Nitaongeza thamani ya Soko la Nguruwe Jimboni

    Mtia Nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Salim Kikeke amesema kuwa atasaidiana na wadau mbalimbali kutafuta soko na kuongeza thamani ya Nguruwe katika Jimbo hilo ikiwa pamoja na kuvutia wawekezaji na hatimaye mfugo huo upate soko la Kimataifa. Soma > Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa...
  7. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa nguruwe unalipa: Huu ndio muda sahihi wa kuanza! 🐖💰

    Katika harakati zetu Rubaba Media kuelimisha na kushauri wakulima na wafugaji kote nchini, tukishitikiana na Koudijs safari yetu ya hivi karibuni ilitufikisha mkoani Mara — hasa maeneo ya Tarime, Nyamongo, na vitongoji vyake. Tulikutana na wafugaji wapya na waliopo tayari waliodhamiria kwa dhati...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini utaweza kutafuta soko la nguruwe?

    Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi. Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia rizki , kuwezesha kulipa kodi na...
  9. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania WAISLAMU WANARUHUSIWA KULA NGURUWE KWA MAZINGIRA HAYA

    Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo. Maana katika maandiko...
  10. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Tupeane machimbo kunapouzwa kitimoto. Pia tubasilishane ujuzi wa mapishi

    Wapendwa, mambo vipi? Tuko hapa kibadilishana mawazo, maarifa, na kujulishana machimbo wanakouza Kitimoto 🐖🐷🐽 katika mikoa mbalimbali na wilaya zake
  11. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Anzisha biashara Yako sasa ya sausage 🌭🌭 za nguruwe (pork sausage)

    Kutengeneza sausage ya nguruwe nyumbani ni rahisi ukiwa na viungo sahihi. Hii hapa ni njia rahisi: Viungo: 1 kg ya nyama ya nguruwe (mafuta na nyama, iliyo sagwa) 1 kijiko cha chai chumvi 1 kijiko cha chai pilipili manga 1 kijiko cha chai paprika (hiari) 1 kijiko cha thyme au oregano (hiari)...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwapatia iron injection kwa vitoto vya Nguruwe

    Habari wafugaji Leo tutajifunza juu ya utoaji wa iron injection kwa watoto wa nguruwe 🔴 UMUHIMU WA KUWAPA IRON INJECTION VITOTO VYA NGURUWE; 1. ✅ Kuzuia anemia (upungufu wa damu): Nguruwe wachanga huzaliwa na kiwango kidogo cha chuma, hivyo bila iron injection wanaweza kuishiwa damu. 2. ✅...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa homa ya mapafu kwa nguruwe (swine pneumonia)

    --- 🐖📌 ELIMU KWA WAFUGAJI Ugonjwa wa Homa ya Mapafu kwa Nguruwe (Swine Pneumonia) --- 🔍 Ugonjwa huu ni nini? Ni maradhi yanayoathiri mfumo wa upumuaji wa nguruwe. Husababisha shida ya kupumua, ukuaji hafifu na huweza kusababisha vifo iwapo hautadhibitiwa mapema. --- 🔬 Visababishi Vikuu...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tofauti na nguruwe wanyama gani wingine wamekatazwa kuliwa katika Quran?

    Wayahudi wao katika agano la kale waliwekewa vigezo vya wanyama wasiotakiwa kula vikiwemo wanyama walio na kwato zisizopasuliwa na wasiocheua, ndio maana hawali hata ngamia, sungura n.k kuna vigezo waliwekewa pia kuhusu ndege na samaki wasiotakiwa kuliwa. Nilitegemea kuwe na mfanano na...
  15. Stability

    JamiiForums Tanzania Naungana na Dr Hayaland, ulaji wa ugali ni mateso, no wonder wenzetu wanalishia nguruwe na ng'ombe

    Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo. Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania FAIDA YA KUHASI (CASTRATION) KWA NGURUWE DUME.

    --- 🐖📌 Elimu kwa Wafugaji – Kuhasi Nguruwe (Castration) Karibu kwenye somo letu kuhusu umuhimu wa kuhasi nguruwe dume. --- 🔍 Kuhasi ni nini? Ni mchakato wa kuondoa korodani za nguruwe dume wachanga ili kudhibiti uzalishaji wa homoni za kiume. --- 🗓️ Muda Sahihi wa Kuhasi: ➡️ Week ya 3...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Faida ya kukata mikia nguruwe (Piglet ) wako

    📌 Faida za Kukata Mikia kwa Nguruwe (Piglets): Karibu kwenye elimu ya huduma bora kwa piglets wako. 🗓️ Muda sahihi wa kukata mikia: Siku ya 3 hadi 5 baada ya kuzaliwa. 👉 Zoezi lifanywe mapema kabla ya mfumo wa neva kuwa na hisia kali, na kabla ya mikia kuanza kuwa migumu. --- ✅ Faida Muhimu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtambua nguruwe wako kama yupo joto

    Habari za muda huu natumaini wote ni wazima,Leo nitaenda kutoa elimu ya kujua Kama nguruwe wako yupo kwenye joto. 👉Note. Nguruwe ambaye yupo kwenye joto hukaa ndani ya masaa 72 (siku tatu) ✅Njia za kumtambua nguruwe aliye joto: 1. Test ya "standing reflex": - Mweke mikono yako juu ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Aina ya mbegu za nguruwe

    Habari za muda huu wafugaji, natumaini wote ni wazima wa afya .Leo napenda kutoa elimu juu ya aina Bora za mbegu kwenye shamba lako la mifugo. ✅ AINA YA MBEGU ZA NGURUWE; --- 🐖 1. Duroc Rangi: Nyekundu-kahawia Ukuaji wa haraka na misuli mingi Toleo bora la nyama (lean meat) Tabia: Watulivu...
  20. Richie Henry

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa nguruwe

    Jamani habarini tena! Napenda kusaidiwa kwa wazoefu juu ya hili jambo, je eneo la robo ekari linatosha kwa kuanzia UFUGAJI WA NGURUWE.?
Back
Top Bottom